Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga.
. Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni mwezi mtukufu kwa Waislamu, ambapo wanatakiwa kufunga kutoka alfajiri hadi jua linapozama kwa hiyo msijione nyinyi ni watu muhimu sana katika suala la iman bali wote ni sawa.
Mambo muhimu ya kuzingatia

1. Kuwa smart ( maana unaweza kutana na mtu aliye funga mdomo umekauka utadhani ameishiwa maji mwilini, usifanye hivyo maana kufunga siyo adhabu ya kushinda njaa kutwa zima )
2. Usifunge kwa kulazimishwa na mtu, kwa sababu dini ni suala la imani na siyo kufuata mkumbo kutoka kwa familia yako, kutoka kwa sheikh wako au jamii Fulani.
3. Siyo lazima kila mtu ajue kama upo kwenye mfungo, na punguzeni hasira ukiona sehemu Fulani vyakula vinanukia.