Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

Umejionesha kwamba wewe ni mtu wa kubwabwaja kwa hisia badala ya kuangalia facts.

Pia ni mtu wa kuendekeza ego, ukikosea huwezi kukubali kwamba umekosea.

Ndiyo maana mazungumzo ya kisayansi huwezi.
 
Kuna msikiti umejengwa jirani na nyumbani kwangu, Kwa kweli inatesa sana watoto alfajili kuwaamsha pasipo lidhaa yao, yaani yaaani[emoji848]
 
Umejionesha kwamba wewe ni mtu wa kubwabwaja kwa hisia badala ya kuangalia facts.

Ndiyo maana mazungumzo ya kisayansi huwezi.
Funny enough we ndo unakimbia hayo mazungumzo ya kisayansi kwa kukomalia hili la GenZ.
Namm ningekomalia hiyo simpleton ingekuwaje?
Mi naona tuachane na hizi personal attacks ambazo wewe ndo umeziasisi, ndomaana nkasema sawa kaka ili yaishe.
 
Nakupeleka ignore list kwa sababu unashusha viwango vya mjadala.

Hutaki kwenda kwa facts, unakwenda kwa emotions, ukikosea hutaki kukubali kwamba umekosea. Sina muda mchafu wa kupoteza nawe.

Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
 
I rest my case.
 
Kwa hyo mkuu hyo kelele ya dakika tano ni sawa na yale makelele ya siku nzima kutoka kanisani mnayotumia kumfukuza pepo kweli nyani haoni kundule kuna dini ina kelele kushinda wakristo na maspika siku nzima
Tena wakiwekaga Makongamano yao kwenye viwanja vya Mitaa yetu. Yani ni Makelele Mtindo mmoja kuanzia Asubuhi hadi jioni.

Watajiliza hapo na Mapepo Mara kutoa ushuhuda, mara kupiga Makofi du. Mikelele tu
 
Vipi na waislamu wasiokuwa na uwezo wa kumiliki vifaa vitoavyo alarm!!
 
Funny enough we ndo unakimbia hayo mazungumzo ya kisayansi kwa kukomalia hili la GenZ.
Namm ningekomalia hiyo simpleton ingekuwaje?
Mi naona tuachane na hizi personal attacks ambazo wewe ndo umeziasisi, ndomaana nkasema sawa kaka ili yaishe.

Sameheaneni bwana
 
Isiishie tu kwenye msikiti bali hata makanisa hasa ya kilokole, walazimishwe kuweka miziki na sauti inayowatosha wao waliopo kanisani. Mikesha yote iwe na sauti za kuwatosha wahudhuriaji waliomo kanisani na si kulazimishwa kusikilizwa na wasiokuwepo.
 
Kea kuwa umeweka hadithi na aliyeiweka hyo hadithi ni sahihi bukhari na waislam wanaifuata.MIMI SINA CHA KUONGEZA.elimu yangu ya dini NI ndogo sana na Mungu anajua zaidi
Hapana, sasa katka hii kuunganisha ukawa unaswali mara 3 kila siku ni sawa?
 
Kea kuwa umeweka hadithi na aliyeiweka hyo hadithi ni sahihi bukhari na waislam wanaifuata.MIMI SINA CHA KUONGEZA.elimu yangu ya dini NI ndogo sana na Mungu anajua zaidi
Wewe huna cha kuongeza kivipi?
Maana kuna WAISLAM hawafuati hizo hadith Sahihi wanajiita wasunni, wao wamegoma kabisa kuunganisha salat.
Na WAISLAM wengine wanazifuata wanajiita washia. Wao kila siku wanaunganisha.

Hakuna option ya tatu, hakuna kuwa neutral hapa...ni lazima uchague upande, kufuata au kutozifuata.
Hii ya elimu yangu ndogo, Mungu anajua zaidi...ni chenga tu ambazo wewe mwenyewe moyoni unajijua unasimamia upande upi.
 
Hadith inaweza kurekebisha Quran ?

Ikitokea mkanganyiko kati ya hadith na Quran unafuata kipi ?
 
Astaghfirullah.haya hayatokei kwa bahati mbaya.
Ndizo zile dalili za mwisho wa dunia.yaani watu wataona uislam unawabana.
Mbinguni hawajui Kama Kuna uislam huku ..njia haraka na rahisi ni kuokoka na kumpenda yesu acheni kelele
 
Jana nililala karibu na guest flan maeneo ya korogwe, kumbe ipo karibu na misikiti. Ukweli ni kwamba zinakera sana, kibaya zaidi ukute spika imejichokea inakoroma kama jogoo kwenye mdondo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…