Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasara ya nyama yake ni kubwa kuliko faida acha kula kitimotoKwa bahati Nzuri Mshkaji hanaga baya Na mtu! Yeye na mishe zake Tu za kugawa utamu bila choyo!
Kila siku kashfa dhidi yake haziishi ila Jamaa chati inapanda Tu daily. Long live Kitimoto the Clan
Kama angeliwa na kila mtu basi angekuwa hatarini kutoweka.
Chuki yao kwa kitimoto ni kama chuki ya Watanzania kwa Idd Amin Dada... Yaani unazaliwa tu na chuki. Ila ukiulizwa kwanini unamchukia, huna jibu la kueleweka.
mbona Ng'ombe anaeliwa na kila mtu hawaishi!?
Naam... Ni kwa sababu wote ni viumbe vya Allah mtukufuAlafu anafanana na nanihii yule wa humu
Hivi nguruwe ni haramu!?Inatokea kama mkazo , wakristo wanalazimisha kuwataja waislamu kwenye mada zao za Nguruwe ..Utakuta point hazina umuhimu ;nakula nguruwe ila tutawachangia damu waislamu , utasikia waislamu wanakula nguruwe kwa kujificha , utasikia nguruwe ni halali .
Ishu ya wakristo kuwahusisha sana waislamu kwenye ishu ya nguruwe ndiyo inaleta mijadala yote , sehemu kukitajwa nguruwe basi watataja waislamu ili mradi iwe kama uchokozi.
Wapo wanaokula wakiwa na majina ya kiislamu , mambo yale yanafanywa na watu wote...Kuna mkristo anakula kila siku ila siku moja alinitumia whatsapp picha ya nguruwe ''eti karibu shekhe wangu" 😀
Nakuuliza wewe ndio uliyetumia hilo NENO HARAMU kunako reply yako! 🙂Waulize Waislamu
Kula nyama ya nguruwe ni haramu...!Hatimaye sasa umekua kiakili.
Haramu.Hiv
Hivi nguruwe ni haramu!?
Haijalishi mtaipamba vipi hiyo nyama ni haramu kwa mujibu wa mafundisho katika dini ya kiislamu... kama ilivyokuwa pombe kamari nyamafu damu na zinaa
Unajua nn ! sisi binadamu tunapenda sana kuona wengine wakichukia huku tukifurahi ...Fuatilia post za nguruwe ni lazima wakristo watawataja waislamu kwa vile wanataka wachkie tu .Haijalishi mtaipamba vipi hiyo nyama ni haramu kwa mujibu wa mafundisho katika dini ya kiislamu... kama ilivyokuwa pombe kamari nyamafu damu na zinaa
Kila jumapili wanasema msile nguruwe ni haramu?Mbona hata kwenye Biblia yenu amekatazwa? Soma
Walawi 11:7-8 Na NGURUWE kwasababu anazo kwato,ni mwenye miguu iliyopasuka kati,lakini hacheui,yeye ni najisi kwenu.Msile nyama yao wala msiguse mizoga yao.
Au wewe Biblia hausomi? jumapili unaenda tu kuomba toba mbele ya mifuko miwili ya cement na kuondoka kama huyu mwenzako?
View attachment 3266100
Imekaa vizuri sana! Naona mtoa mada ni shabiki wa dini hamna anachojua .Ukisema unachukia nguruwe wewe si muislamu.
Waislamu hawamchukii nguruwe. Bali wana mafunzo kwamba ameharamishwa kuliwa.
Hivo ni vizuri ufahamu tofauti ya kumchukia mnyama na kutoruhusiwa kula.
Na kwanini muislam achukie akitajiwa nguruwe!? Mbona wakitajiwa damu hawachukii!?Unajua nn ! sisi binadamu tunapenda sana kuona wengine wakichukia huku tukifurahi ...Fuatilia post za nguruwe ni lazima wakristo watawataja waislamu kwa vile wanataka wachkie tu .
Ishu ya nguruwe sio dhambi pekee inayochukiwa ila inaleta ushabiki kwa sana ..Dhambi zote zinachukiwa ila ni tabia ya ushabiki ndiyo maan amwezi huu wa Ramadhani unakuta mtu anaacha uhuni halafu ikiisha anaendelea , huu ni unafiki kwa baadhi ya watu wanaopenda ushabiki
Lakini kumpenda nguruwe kama kiumbe wa mungu siyo dhambi.Kula nyama ya nguruwe ni haramu...!
Na ndicho nilichokiwakilisha.... unless umekuwa mvivu wa kusoma🙂🙂Lakini kumpenda nguruwe kama kiumbe wa mungu siyo dhambi.
Kula nyama ya mtu ni haramu, haramu, haramu lakini kumpenda mtu ni kitu kizuri, kizuri, kizuri mno.
Bye bye!
Tuko pamoja👊Na ndicho nilichokiwakilisha.... unless umekuwa mvivu wa kusoma🙂🙂
Siyo waislam wote hawali mdudu! Labda ni wewe tu na wenzako wachache.Kwanini wagalatia waislamu kutokula nguruwe kuna wauma saana?
Ni vile unamuhusisha kwa vile unajua kakatazwa🤣🤣kuna haja gani ya kumuhusisha?Na kw
Na kwanini muislam achukie akitajiwa nguruwe!? Mbona wakitajiwa damu hawachukii!?