Waislam tulio wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji n.k

Ni vile unamuhusisha kwa vile unajua kakatazwa🤣🤣kuna haja gani ya kumuhusisha?

Uislamu hauruhusu kumchukiza mtu ni makruu ...Unatakiwa usome ujue dhambi ,haramu na makruu halafu uje.

Hakuna anayemchukia Nguruwe ila nyie mnapenda kuwahusisha waislamu kwenye mada zenu za nguruwe.

Hizo nyingine mbona zinatajwa kila siku ,nina mwaka sijawahi kusikia hotuba ya ijumaa ikitaja nguwure zaidi ya kukataza; zinaa ,riba ,na kusisitiza kufanya ibada na kusaidiana.
Wapi muislamu kakatazwa nguruwe... Nipe aya au hadithi!
 
Hamna unachojua ,hakuna hadithi inaweza kupingana na uislamu ...Kasome suratul baqra.

Nilijua tu hamna unachojua ...Hadithi ni marejeo ya pili na kama yanakinzana na Qur an basi ni batili...
 
Kulingana Na Biblia tukiacha Quran (Tuliipumzisha)..

Chuki ya Nguruwe Inatoka Huko..Mnyama aliyeandikwa Ni chukizo kwenu Unamzungumziaje?

1. Mambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa kuwa ana kwato, tena kwato zake zimegawanyika katikati, lakini hacheui; yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."

2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Na nguruwe, kwa kuwa ana kwato lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."

3. Isaya 65:2-4
"Nimeinyosha mikono yangu mchana kutwa kwa watu waasi, waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe... watu wale wanaokaa katika makaburi, na kulala katika mahali palipofichika; wale walao nyama ya nguruwe, na supu ya vitu vichukizao vi katika vyombo vyao."

4. Isaya 66:17

"Wale wajitakasao na kujisafisha katika bustani, wakimfuata mmoja aliye katikati yao, wakila nyama ya nguruwe yenye machukizo, na panya, wataangamizwa pamoja, asema Bwana."

Torati ilijumuisha mambo mengi ya desturi na maagizo ya Mungu, ndiyo maana Kristo Masiha aliyependezwa na Baba kuliko manabii wote, alikuja kuikamilisha.

Sikuja kutangua/kuifuta torati bali kuikamilisha:

1. Mat: 5: 43-46
Imeandikwa wapendeni marafiki zenu, wachukieni maadui zenu, mimi nawaambia wapendeni maadui zenu kwa maana mkiwapenda tu marafiki zenu na kuwachukia maadui zenu mnatofautiana na nini na wake wasiomjua Mungu?

2. Math 5:38.
Imeandikwa jino kwa jino, jicho kwa jicho, lakini mimi nawaambieni usimlipizie kisasi mtu mbaya.

NB: Utimilifu wa kila amri ya torati upo katika Kristo Yesu, aliyrkuja kuikamilisha kwenye mapungufu yote.

Ukitaka kujua kuhusu vyakula, sikiliza mtimilifu wa torati ananena nini juu ya chakula.

MATHAYO 15​

1Kisha Mafarisayo na waalimu wa sheria wakafika kutoka Yerusalemu, wakamwendea Yesu, wakamwuliza, 2“Kwa nini wanafunzi wako hawajali mapokeo tuliyopokea kwa wazee wetu? 3Yesu akawajibu, “Kwa nini nanyi hamjali sheria ya Mungu ila mnapendelea mapokeo yenu wenyewe?
7Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu:
8‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu,
lakini mioyoni mwao wako mbali nami.
9Kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya binadamu tu.

(Marko 7:14-23)
10Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni, mkaelewe! 11Kitu kinachomtia mtu unajisi si kile kiingiacho kinywani, bali kile kitokacho kinywani. Hicho ndicho kimtiacho mtu unajisi.”
12Kisha wanafunzi wakamwendea, wakamwambia, “Je, unajua kwamba Mafarisayo walichukizwa waliposikia maneno yako?” 13Lakini yeye akawajibu, “Kila mmea ambao Baba yangu aliye mbinguni hakupanda, utangolewa. 14Waacheni wenyewe! Wao ni vipofu, viongozi wa vipofu; na kipofu akimwongoza kipofu, wote wawili hutumbukia shimoni.” 15Petro akasema, “Tufafanulie huo mfano.” 16Yesu akasema, “Hata nyinyi hamwelewi? 17Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutolewa nje chooni? 18Lakini mambo yatokayo kinywani hutoka moyoni, na hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi. 19Maana moyoni hutoka mawazo ya uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na kashfa.
 
Assalaam alaykum,

Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini....

Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji, kuliko kamari na kadhalika! Kitu ambacho binafsi nimegundua sio sahihi kabisa, TUNAKOSEA MNO, hiki ni kiumbe cha Allah mtukufu, na hajatuamrisha tukichukie!

Hiki kiumbe kama vilivyo viumbe vingine kinaweza kuwa msaada mkubwa sana kwa jamii yetu, "sasaiv" nasikia unaweza kuungwa mguu wake kama wako umekatika🥴 hivyo basi nawasii mno MSIMCHUKIE HANA HATIA KABISA!

Nb:-Allah mtukufu kaharamisha nyama ya nguruwe kuliwa na muumini., kama alivyoharamisha DAMU, NYAMAFU, KAMARI NA ZINAA🙂

Nimeambatanisha na picha ya KIUMBE CHA ALLAH MTUKUFU, kikiwa kimepozi kinakuangalia kwa huruma wewe unaekipiga rungu na kukiua, na wewe unaekichukia bila elimu..! Asanteni kwa kuja🤝

View attachment 3265913
Waislam hatujakatazwa kumtafuna Nguruwe ila tumekatazwa kumtafuna hadi tuvimbiwe.

Kama uwezo wako ni kula nyama kilo moja basi ukikutana na kitimoto unaanrishwa kula nusu kilo tu.
 
Mtu kutokula Nguruwe Siwezi kushangaa.

Lakini kutengeneza Chuki zidi ya Nguruwe, Kiasi kwamba hata kama Jirani yako anafuga Nguruwe huwezi kumtembelea huu nao ni ujinga.
 
Pu
Waislam hatujakatazwa kumtafuna Nguruwe ila tumekatazwa kumtafuna hadi tuvimbiwe.

Kama uwezo wako ni kula nyama kilo moja basi ukikutana na kitimoto unaanrishwa kula nusu kilo tu.
Punguza dhereu... Ukiachana na hiyo pumzi unayoringia kuna AFYA PIA.... MUNGU ANA ASKARI WENGI SANA TENA WA KILA NAMNA😊😊
 
Hamna unachojua ,hakuna hadithi inaweza kupingana na uislamu ...Kasome suratul baqra.

Nilijua tu hamna unachojua ...Hadithi ni marejeo ya pili na kama yanakinzana na Qur an basi ni batili...
Nimekwambia nipe aya na hadithi... unaniambia nikasome al baqara, we umechanganyikiwa!? Haya nimesoma inasema alif lam miim, dhaalikal kutaab laaraibafih huddalilmutaqiin, enhee?!
 
Assalaam alaykum,

Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini....

Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji, kuliko kamari na kadhalika! Kitu ambacho binafsi nimegundua sio sahihi kabisa, TUNAKOSEA MNO, hiki ni kiumbe cha Allah mtukufu, na hajatuamrisha tukichukie!

Hiki kiumbe kama vilivyo viumbe vingine kinaweza kuwa msaada mkubwa sana kwa jamii yetu, "sasaiv" nasikia unaweza kuungwa mguu wake kama wako umekatika🥴 hivyo basi nawasii mno MSIMCHUKIE HANA HATIA KABISA!

Nb:-Allah mtukufu kaharamisha nyama ya nguruwe kuliwa na muumini., kama alivyoharamisha DAMU, NYAMAFU, KAMARI NA ZINAA🙂

Nimeambatanisha na picha ya KIUMBE CHA ALLAH MTUKUFU, kikiwa kimepozi kinakuangalia kwa huruma wewe unaekipiga rungu na kukiua, na wewe unaekichukia bila elimu..! Asanteni kwa kuja🤝

View attachment 3265913
🤣😂🤣😂🤣😂
 
Kulingana Na Biblia tukiacha Quran (Tuliipumzisha)..

Chuki ya Nguruwe Inatoka Huko..Mnyama aliyeandikwa Ni chukizo kwenu Unamzungumziaje?

1. Mambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa kuwa ana kwato, tena kwato zake zimegawanyika katikati, lakini hacheui; yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."

2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Na nguruwe, kwa kuwa ana kwato lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."

3. Isaya 65:2-4
"Nimeinyosha mikono yangu mchana kutwa kwa watu waasi, waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe... watu wale wanaokaa katika makaburi, na kulala katika mahali palipofichika; wale walao nyama ya nguruwe, na supu ya vitu vichukizao vi katika vyombo vyao."

4. Isaya 66:17

"Wale wajitakasao na kujisafisha katika bustani, wakimfuata mmoja aliye katikati yao, wakila nyama ya nguruwe yenye machukizo, na panya, wataangamizwa pamoja, asema Bwana.

Kulingana Na Biblia tukiacha Quran (Tuliipumzisha)..

Chuki ya Nguruwe Inatoka Huko..Mnyama aliyeandikwa Ni chukizo kwenu Unamzungumziaje?

1. Mambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa kuwa ana kwato, tena kwato zake zimegawanyika katikati, lakini hacheui; yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."

2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Na nguruwe, kwa kuwa ana kwato lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."

3. Isaya 65:2-4
"Nimeinyosha mikono yangu mchana kutwa kwa watu waasi, waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe... watu wale wanaokaa katika makaburi, na kulala katika mahali palipofichika; wale walao nyama ya nguruwe, na supu ya vitu vichukizao vi katika vyombo vyao."

4. Isaya 66:17

"Wale wajitakasao na kujisafisha katika bustani, wakimfuata mmoja aliye katikati yao, wakila nyama ya nguruwe yenye machukizo, na panya, wataangamizwa pamoja, asema Bwana."
Kutokana na hizo aya hapo Alieharamishwa ni nguruwe ama nyama yake...!? 🙂
 
Mwanadamu ana haki zaidi ya kuishi kuliko kiumbe kingine duniani....hata ikiwa kula mavi itamuongezea uhai mahala pa njaa ANARUHUSIWA
Manake nguruwe analiwa hajakatazwa,kwanini sasa mmejaza unafiki wakati kumbe analiwa kwani ukichinja kondoo ili ule si unafanya jambo lile lie la kuokoa uhai wako usife njaa.
 
Assalaam alaykum,

Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini....

Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji, kuliko kamari na kadhalika! Kitu ambacho binafsi nimegundua sio sahihi kabisa, TUNAKOSEA MNO, hiki ni kiumbe cha Allah mtukufu, na hajatuamrisha tukichukie!

Hiki kiumbe kama vilivyo viumbe vingine kinaweza kuwa msaada mkubwa sana kwa jamii yetu, "sasaiv" nasikia unaweza kuungwa mguu wake kama wako umekatika🥴 hivyo basi nawasii mno MSIMCHUKIE HANA HATIA KABISA!

Nb:-Allah mtukufu kaharamisha nyama ya nguruwe kuliwa na muumini., kama alivyoharamisha DAMU, NYAMAFU, KAMARI NA ZINAA🙂

Nimeambatanisha na picha ya KIUMBE CHA ALLAH MTUKUFU, kikiwa kimepozi kinakuangalia kwa huruma wewe unaekipiga rungu na kukiua, na wewe unaekichukia bila elimu..! Asanteni kwa kuja🤝

View attachment 3265913
Lakini si mmeambiwa MAMBO YAKIWA MAGUMU KULENI TU..!!??
 
Nani kakwambia Nguruwe anachukiwa? ni suala la amri tu kuwa asiliwe sio achukiwe
 
Kulingana Na Biblia tukiacha Quran (Tuliipumzisha)..

Chuki ya Nguruwe Inatoka Huko..Mnyama aliyeandikwa Ni chukizo kwenu Unamzungumziaje?

1. Mambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa kuwa ana kwato, tena kwato zake zimegawanyika katikati, lakini hacheui; yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."

2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Na nguruwe, kwa kuwa ana kwato lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."

3. Isaya 65:2-4
"Nimeinyosha mikono yangu mchana kutwa kwa watu waasi, waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe... watu wale wanaokaa katika makaburi, na kulala katika mahali palipofichika; wale walao nyama ya nguruwe, na supu ya vitu vichukizao vi katika vyombo vyao."

4. Isaya 66:17

"Wale wajitakasao na kujisafisha katika bustani, wakimfuata mmoja aliye katikati yao, wakila nyama ya nguruwe yenye machukizo, na panya, wataangamizwa pamoja, asema Bwana."
Na ikaja hii
Marko 7:17-23
17Hata alipoingia nyumbani, ameuacha mkutano, wanafunzi wake wakamwuliza habari za ule mfano. 18Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi; 19kwa sababu hakimwingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote. 20Akasema, Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi. 21Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati, 22wivi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu. 23Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi.
 
Kuna connection kubwa sana kati ya uislam na majini.
Na majini yanaogopa sana hii kitu.

Usishangae nguvu kubwa ianyotumika kukipiga vita zaidi ya zinaa na mabaya mengine.
Hata wana wa Israel walikatazwa kwahiyo na wao walikuwa na connection na majina? kama hujui kitu vitu vingine vikupite tu
 
Back
Top Bottom