Waislam tulio wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji n.k

Waislam tulio wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji n.k

Ndio kwasababu ni sehemu ya jamii hata maji mchana siku hizi watu hawauzi kama kawaida
Kabisa mkuu. Ila siku za mfungo zikiisha inaweza ikapaa pengine kufidia siku zote.
 
Assalaam alaykum,

Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini....

Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji, kuliko kamari na kadhalika! Kitu ambacho binafsi nimegundua sio sahihi kabisa, TUNAKOSEA MNO, hiki ni kiumbe cha Allah mtukufu, na hajatuamrisha tukichukie!

Hiki kiumbe kama vilivyo viumbe vingine kinaweza kuwa msaada mkubwa sana kwa jamii yetu, "sasaiv" nasikia unaweza kuungwa mguu wake kama wako umekatika🥴 hivyo basi nawasii mno MSIMCHUKIE HANA HATIA KABISA!

Nb:-Allah mtukufu kaharamisha nyama ya nguruwe kuliwa na muumini., kama alivyoharamisha DAMU, NYAMAFU, KAMARI NA ZINAA🙂

Nimeambatanisha na picha ya KIUMBE CHA ALLAH MTUKUFU, kikiwa kimepozi kinakuangalia kwa huruma wewe unaekipiga rungu na kukiua, na wewe unaekichukia bila elimu..! Asanteni kwa kuja🤝

View attachment 3265913
Mkuu ukiangalia
Wakristo wengi wanakula na wanapendanvitamu

Nyie mnaogopa vitamu mnaita harsmu sie ndio starehe zetu

YAAN ukimwona anaogopa papuchi HUYO n mwehu anaogopa kula kitimoto hajielewi

Mkuu hivi sasa inakaribia bei ya SWALA 22000
Kwa sasa kitimoto 15000
 
Unaleta habari za Kuru wakati najadili na wewe mmatumbi...KULA WEWE, kama kila kitu kinafaa kuliwa😅
 
Kwanini wagalatia waislamu kutokula nguruwe kuna wauma saana?
Haituumi bali kinachotuuma ni unafiki wenu eti kula kiti moto hadharani kwenu ni haramu lakini ukila kwa kujificha imeruhusiwa.

Hicho tu ndo inatuuma
 
Si
Mkuu ukiangalia
Wakristo wengi wanakula na wanapendanvitamu

Nyie mnaogopa vitamu mnaita harsmu sie ndio starehe zetu

YAAN ukimwona anaogopa papuchi HUYO n mwehu anaogopa kula kitimoto hajielewi

Mkuu hivi sasa inakaribia bei ya SWALA 22000
Kwa sasa kitimoto 15000
Sijawaongelea wakristo kijana... kwa nini lakini!?
 
Kabisa mkuu. Ila siku za mfungo zikiisha inaweza ikapaa pengine kufidia siku zote.
Kawaida hii binadamu ana uhuru, imani ni suala binafsi akitaka atafanya au asipotaka pia ni uamuzi wake
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mtu kutokula Nguruwe Siwezi kushangaa.

Lakini kutengeneza Chuki zidi ya Nguruwe, Kiasi kwamba hata kama Jirani yako anafuga Nguruwe huwezi kumtembelea huu nao ni ujinga.
Kuna wapumbafu waliandamana kisa uwepo wa mabucha ya nguruwe,na maandamano hayo yaliratibiwa na mzee Mohamed Said hii chuki ya kitimoto sijui imetokana na nini,majini ya jehenam yanawapeleka vibaya sana hawa jamaa
 
Nani kakwambia Nguruwe anachukiwa? ni suala la amri tu kuwa asiliwe sio achukiwe
Magomeni wali andaman ndugu zako katika imani ya nyaazi kwenda kuvunja mabucha ya nyama ya nguruwe je huo ni upendo au chuki dhidi ya kitimoto.
 
Back
Top Bottom