Waislam tulio wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji n.k

Maelezo Yote Uliyoyatoa HayajaFuta wala Kurekebisha Mafungu Niliyo yatoa ila Umejibu swali langu kwa Kujitengenezea Swali Lako..

Ni kama Uulizwa 3+1 Ni ngapi..?
Halafu wewe Ujibu Kuwa Unajua Hata 5+4 Ni sawa na 9 ila Hta Ukichukua 3-2 Jibu ni Moja..

Yote hayo Mimi Sikutaka Kuyajua Swala Ni 3+1 ni ngapi?

Kwahyo Bado ulichojibu Hakijustify ulichoandika au Nilichoandika
 
Kutokana na hizo aya hapo Alieharamishwa ni nguruwe ama nyama yake...!? 🙂
Aya Imesema Nyama Yake Msiile ,Wala Mizoga Yake Msiiguze Kwakuwa (Nguruwe) Ni najisi Kwenu..
Kulingana na Haya Hizo Kilichoharamishwa Ni Nguruwe Mwenyewe na Ndo maana Huruhusiwi Hata Kugusa Mfupa wake akiwa amekufa
 
Sasa Hiyo Inajustfy Vipi Kula Nguruwe??
 
إِنَّمَا حَرَّمَ عَلَيْكُمُ الْمَيْتَةَ وَالدَّمَ وَلَحْمَ الْخِنزِيرِ وَمَا أُهِلَّ بِهِ لِغَيْرِ اللَّـهِ ۖ فَمَنِ اضْطُرَّ غَيْرَ بَاغٍ وَلَا عَادٍ فَلَا إِثْمَ عَلَيْهِ ۚ إِنَّ اللَّـهَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ ﴿١٧٣﴾

173. Hakika Allaah Amekuharamishieni mzoga na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa asiyekuwa Allaah wakati wa kuchinjwa. Lakini aliyefikwa na dharura (akala) bila ya kutamani wala kupindukia mipaka, basi si dhambi juu yake. Hakika Allaah Ni Mwingi wa Kughufiria, Mwenye Kurehemu.

Kwa hii ndo imeruhusu kula nguruwe?
 
Ndiyo!
 

Ipi mbaya kula kitimoto au kula kahaba au kunywa gongo
 
Aya Imesema Nyama Yake Msiile ,Wala Mizoga Yake Msiiguze Kwakuwa (Nguruwe) Ni najisi Kwenu..
Kulingana na Haya Hizo Kilichoharamishwa Ni Nguruwe Mwenyewe na Ndo maana Huruhusiwi Hata Kugusa Mfupa wake akiwa

Aya Imesema Nyama Yake Msiile ,Wala Mizoga Yake Msiiguze Kwakuwa (Nguruwe) Ni najisi Kwenu..
Kulingana na Haya Hizo Kilichoharamishwa Ni Nguruwe Mwenyewe na Ndo maana Huruhusiwi Hata Kugusa Mfupa wake akiwa amekufa
Vipi kuhusu mzoga wa ng'ombe!? Sio najisi!? Any way ni Aya nambari ngapi sura ya ngapi hiyo nikaitazame
 
Aya Imesema Nyama Yake Msiile ,Wala Mizoga Yake Msiiguze Kwakuwa (Nguruwe) Ni najisi Kwenu..
Kulingana na Haya Hizo Kilichoharamishwa Ni Nguruwe Mwenyewe na Ndo maana Huruhusiwi Hata Kugusa Mfupa wake akiwa amekufa
Kaharamisha nguruwe na kila kitu chake
 
Allah na mtume wake waliona mbali sana, walijua tukiruhusu kila ale huyu kiumbe ,,atatoweka duniani,
Imagine angekuwa analiwa na waarabu daaah,
 
Ila ngamia mnakula na Biblia hiyo hiyo inasema ni najisi msile.
 
Naam,umezivunjilia mbali hoja za wote walao nguruwe,hayo ni kutoka kwenye kitabu chao biblia,lkn wanajifanya hawayaoni,wa ajabu sana hawa!!
 
Mkuu unajua jina kitimoto chanzo chake ni hao hao unaposema wanamchukia.
 
Na sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…