Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
Hiyo ni juu yake sasa mimi siwezi kumpangiaHujwahi kumegwa na muislamu...!? Chunga sana usitiwe nae mimba tu maana utajakuwa na mtoto wa kiislam akugomee kula nyama ya nguruwe mbele zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni juu yake sasa mimi siwezi kumpangiaHujwahi kumegwa na muislamu...!? Chunga sana usitiwe nae mimba tu maana utajakuwa na mtoto wa kiislam akugomee kula nyama ya nguruwe mbele zako
Maelezo Yote Uliyoyatoa HayajaFuta wala Kurekebisha Mafungu Niliyo yatoa ila Umejibu swali langu kwa Kujitengenezea Swali Lako..Torati ilijumuisha mambo mengi ya desturi na maagizo ya Mungu, ndiyo maana Kristo Masiha aliyependezwa na Baba kuliko manabii wote, alikuja kuikamilisha.
Sikuja kutangua/kuifuta torati bali kuikamilisha:
1. Mat: 5: 43-46
Imeandikwa wapendeni marafiki zenu, wachukieni maadui zenu, mimi nawaambia wapendeni maadui zenu kwa maana mkiwapenda tu marafiki zenu na kuwachukia maadui zenu mnatofautiana na nini na wake wasiomjua Mungu?
2. Math 5:38.
Imeandikwa jino kwa jino, jicho kwa jicho, lakini mimi nawaambieni usimlipizie kisasi mtu mbaya.
NB: Utimilifu wa kila amri ya torati upo katika Kristo Yesu, aliyrkuja kuikamilisha kwenye mapungufu yote.
Ukitaka kujua kuhusu vyakula, sikiliza mtimilifu wa torati ananena nini juu ya chakula:
Mathayo 15
BHN
MATHAYO 15
1 Kisha Mafarisayo na waalimu wa sheria wakafika kutoka Yerusalemu, wakamwendea Yesu, wakamwuliza, 2“Kwa nini wanafunzi wako hawajali mapokeo tuliyopokea kwa wazee wetu? Hawanawi mikono ipasavyo kabla ya kula!” 3Yesu akawajibu, “Kwa nini nanyi hamjali sheria ya Mungu ila mnapendelea mapokeo yenu wenyewe?
Mathayo 15
BHN
MATHAYO 15
Mapokeo ya mababu
(Marko 7:1-13)
1Kisha Mafarisayo na waalimu wa sheria wakafika kutoka Yerusalemu, wakamwendea Yesu, wakamwuliza, 2“Kwa nini wanafunzi wako hawajali mapokeo tuliyopokea kwa wazee wetu? Hawanawi mikono ipasavyo kabla ya kula!” 3Yesu akawajibu, “Kwa nini nanyi hamjali sheria ya Mungu ila mnapendelea mapokeo yenu wenyewe? 4Mungu amesema: ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na ‘Anayemtukana baba yake au mama yake, lazima auawe.’ 5Lakini nyinyi mwafundisha ati mtu akiwa na kitu ambacho angeweza kumsaidia nacho baba yake au mama yake, lakini akasema: ‘Kitu hiki nimemtolea Mungu,’ 6basi, hapaswi tena kumheshimu baba yake! Ndivyo mnavyodharau neno la Mungu kwa kufuata mafundisho yenu wenyewe. 7Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu:
8‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu,
lakini mioyoni mwao wako mbali nami.
9Kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.’”

9Kuniabudu kwao hakufai,
maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.’”
Mambo yanayomtia mtu unajisi
10Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni,mkaelewe! 11Kitu kinachomtia mtu unajisi si kile kiingiacho kinywani, bali kile kitokacho kinywani.
15
BHN
MATHAYO 15
Mapokeo ya mababu
(Marko 7:1-13)
1Kisha Mafarisayo na waalimu wa sheria wakafika kutoka Yerusalemu, wakamwendea Yesu, wakamwuliza, 2“Kwa nini wanafunzi wako hawajali mapokeo tuliyopokea kwa wazee wetu? Hawanawi mikono ipasavyo kabla ya kula!” 3Yesu akawajibu, “Kwa nini nanyi hamjali sheria ya Mungu ila mnapendelea mapokeo yenu wenyewe? 4Mungu amesema: ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na ‘Anayemtukana baba yake au mama yake, lazima auawe.’ 5Lakini nyinyi mwafundisha ati mtu akiwa na kitu ambacho angeweza kumsaidia nacho baba yake au mama yake, lakini akasema: ‘Kitu hiki nimemtolea Mungu,’ 6basi, hapaswi tena kumheshimu baba yake! Ndivyo mnavyodharau neno la Mungu kwa kufuata mafundisho yenu wenyewe. 7Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu:
8‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu,
lakini mioyoni mwao wako mbali nami.
9Kuniabudu kwao hakufai,
maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.’”
Mambo yanayomtia mtu unajisi
(Marko 7:14-23)
10Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni, mkaelewe! 11Kitu kinachomtia mtu unajisi si kile kiingiacho kinywani, bali kile kitokacho kinywani. Hicho ndicho kimtiacho mtu unajisi.”
12Kisha wanafunzi wakamwendea, wakamwambia, “Je, unajua kwamba Mafarisayo walichukizwa waliposikia maneno yako?” 13Lakini yeye akawajibu, “Kila mmea ambao Baba yangu aliye mbinguni hakupanda, utangolewa. 14Waacheni wenyewe! Wao ni vipofu, viongozi wa vipofu; na kipofu akimwongoza kipofu, wote wawili hutumbukia shimoni.” 15Petro akasema, “Tufafanulie huo mfano.” 16Yesu akasema, “Hata nyinyi hamwelewi? 17Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutolewa nje chooni? 18Lakini mambo yatokayo kinywani hutoka moyoni, na hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi. 19Maana moyoni hutoka mawazo ya uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na kashfa.
Aya Imesema Nyama Yake Msiile ,Wala Mizoga Yake Msiiguze Kwakuwa (Nguruwe) Ni najisi Kwenu..Kutokana na hizo aya hapo Alieharamishwa ni nguruwe ama nyama yake...!? 🙂
Q2:173Sasa hapo wapi wametaja nguruwe
Sasa Hiyo Inajustfy Vipi Kula Nguruwe??Na ikaja hii
Marko 7:17-23
17Hata alipoingia nyumbani, ameuacha mkutano, wanafunzi wake wakamwuliza habari za ule mfano. 18Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi; 19kwa sababu hakimwingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote. 20Akasema, Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi. 21Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati, 22wivi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu. 23Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi.
إِنَّمَا حَرَّمَ عَلَيْكُمُ الْمَيْتَةَ وَالدَّمَ وَلَحْمَ الْخِنزِيرِ وَمَا أُهِلَّ بِهِ لِغَيْرِ اللَّـهِ ۖ فَمَنِ اضْطُرَّ غَيْرَ بَاغٍ وَلَا عَادٍ فَلَا إِثْمَ عَلَيْهِ ۚ إِنَّ اللَّـهَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ ﴿١٧٣﴾Q2:173
Ndiyo!إِنَّمَا حَرَّمَ عَلَيْكُمُ الْمَيْتَةَ وَالدَّمَ وَلَحْمَ الْخِنزِيرِ وَمَا أُهِلَّ بِهِ لِغَيْرِ اللَّـهِ ۖ فَمَنِ اضْطُرَّ غَيْرَ بَاغٍ وَلَا عَادٍ فَلَا إِثْمَ عَلَيْهِ ۚ إِنَّ اللَّـهَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ ﴿١٧٣﴾
173. Hakika Allaah Amekuharamishieni mzoga na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa asiyekuwa Allaah wakati wa kuchinjwa. Lakini aliyefikwa na dharura (akala) bila ya kutamani wala kupindukia mipaka, basi si dhambi juu yake. Hakika Allaah Ni Mwingi wa Kughufiria, Mwenye Kurehemu.
Kwa hii ndo imeruhusu kula nguruwe?
Wapi?Ndiyo!
Assalaam alaykum,
Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini....
Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji, kuliko kamari na kadhalika! Kitu ambacho binafsi nimegundua sio sahihi kabisa, TUNAKOSEA MNO, hiki ni kiumbe cha Allah mtukufu, na hajatuamrisha tukichukie!
Hiki kiumbe kama vilivyo viumbe vingine kinaweza kuwa msaada mkubwa sana kwa jamii yetu, "sasaiv" nasikia unaweza kuungwa mguu wake kama wako umekatika🥴 hivyo basi nawasii mno MSIMCHUKIE HANA HATIA KABISA!
Nb:-Allah mtukufu kaharamisha nyama ya nguruwe kuliwa na muumini., kama alivyoharamisha DAMU, NYAMAFU, KAMARI NA ZINAA🙂
Nimeambatanisha na picha ya KIUMBE CHA ALLAH MTUKUFU, kikiwa kimepozi kinakuangalia kwa huruma wewe unaekipiga rungu na kukiua, na wewe unaekichukia bila elimu..! Asanteni kwa kuja🤝
Vyote mbaya kwa mujibu wa mafundisho na maelekezo..!Ipi mbaya kula kitimoto au kula kahaba au kunywa gongo
Aya Imesema Nyama Yake Msiile ,Wala Mizoga Yake Msiiguze Kwakuwa (Nguruwe) Ni najisi Kwenu..
Kulingana na Haya Hizo Kilichoharamishwa Ni Nguruwe Mwenyewe na Ndo maana Huruhusiwi Hata Kugusa Mfupa wake akiwa
Vipi kuhusu mzoga wa ng'ombe!? Sio najisi!? Any way ni Aya nambari ngapi sura ya ngapi hiyo nikaitazameAya Imesema Nyama Yake Msiile ,Wala Mizoga Yake Msiiguze Kwakuwa (Nguruwe) Ni najisi Kwenu..
Kulingana na Haya Hizo Kilichoharamishwa Ni Nguruwe Mwenyewe na Ndo maana Huruhusiwi Hata Kugusa Mfupa wake akiwa amekufa
Kaharamisha nguruwe na kila kitu chakeAya Imesema Nyama Yake Msiile ,Wala Mizoga Yake Msiiguze Kwakuwa (Nguruwe) Ni najisi Kwenu..
Kulingana na Haya Hizo Kilichoharamishwa Ni Nguruwe Mwenyewe na Ndo maana Huruhusiwi Hata Kugusa Mfupa wake akiwa amekufa
Hatujawahi kushughurika nao, ila wao kutuhesabia hawana kwato, hawacheuwi etc ni kila sikuNaona kila siku mnakazi ya kuwasema waislamu kwanini hawali nguruwe
Ila ngamia mnakula na Biblia hiyo hiyo inasema ni najisi msile.Kulingana Na Biblia tukiacha Quran (Tuliipumzisha)..
Chuki ya Nguruwe Inatoka Huko..Mnyama aliyeandikwa Ni chukizo kwenu Unamzungumziaje?
1. Mambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa kuwa ana kwato, tena kwato zake zimegawanyika katikati, lakini hacheui; yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."
2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Na nguruwe, kwa kuwa ana kwato lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."
3. Isaya 65:2-4
"Nimeinyosha mikono yangu mchana kutwa kwa watu waasi, waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe... watu wale wanaokaa katika makaburi, na kulala katika mahali palipofichika; wale walao nyama ya nguruwe, na supu ya vitu vichukizao vi katika vyombo vyao."
4. Isaya 66:17
"Wale wajitakasao na kujisafisha katika bustani, wakimfuata mmoja aliye katikati yao, wakila nyama ya nguruwe yenye machukizo, na panya, wataangamizwa pamoja, asema Bwana."
Naam,umezivunjilia mbali hoja za wote walao nguruwe,hayo ni kutoka kwenye kitabu chao biblia,lkn wanajifanya hawayaoni,wa ajabu sana hawa!!Kulingana Na Biblia tukiacha Quran (Tuliipumzisha)..
Chuki ya Nguruwe Inatoka Huko..Mnyama aliyeandikwa Ni chukizo kwenu Unamzungumziaje?
1. Mambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa kuwa ana kwato, tena kwato zake zimegawanyika katikati, lakini hacheui; yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."
2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Na nguruwe, kwa kuwa ana kwato lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."
3. Isaya 65:2-4
"Nimeinyosha mikono yangu mchana kutwa kwa watu waasi, waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe... watu wale wanaokaa katika makaburi, na kulala katika mahali palipofichika; wale walao nyama ya nguruwe, na supu ya vitu vichukizao vi katika vyombo vyao."
4. Isaya 66:17
"Wale wajitakasao na kujisafisha katika bustani, wakimfuata mmoja aliye katikati yao, wakila nyama ya nguruwe yenye machukizo, na panya, wataangamizwa pamoja, asema Bwana."
Fafanua wapi kazuiwa,maandiko pleaseIla ngamia mnakula na Biblia hiyo hiyo inasema ni najisi msile.
Kwa mujibu wa Biblia Mzoga wa Ngombe Sio Najisi..Vipi kuhusu mzoga wa ng'ombe!? Sio najisi!? Any way ni Aya nambari ngapi sura ya ngapi hiyo nikaitazame
Mkuu unajua jina kitimoto chanzo chake ni hao hao unaposema wanamchukia.Assalaam alaykum,
Leo bhana wakati nimemaliza kuftari na kushiba basi yakawa yanakuja mawazo kedekede kuhusu mafundisho ya dini....
Nimetafakari nimeona waislam wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji, kuliko kamari na kadhalika! Kitu ambacho binafsi nimegundua sio sahihi kabisa, TUNAKOSEA MNO, hiki ni kiumbe cha Allah mtukufu, na hajatuamrisha tukichukie!
Hiki kiumbe kama vilivyo viumbe vingine kinaweza kuwa msaada mkubwa sana kwa jamii yetu, "sasaiv" nasikia unaweza kuungwa mguu wake kama wako umekatika🥴 hivyo basi nawasii mno MSIMCHUKIE HANA HATIA KABISA!
Nb:-Allah mtukufu kaharamisha nyama ya nguruwe kuliwa na muumini., kama alivyoharamisha DAMU, NYAMAFU, KAMARI NA ZINAA🙂
Nimeambatanisha na picha ya KIUMBE CHA ALLAH MTUKUFU, kikiwa kimepozi kinakuangalia kwa huruma wewe unaekipiga rungu na kukiua, na wewe unaekichukia bila elimu..! Asanteni kwa kuja🤝
Na sisiAssalaam alaykum,