Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Hongera kwa serikali ya Rais, Mama Dr. Samia Suluhu Hassan kupitia Dc Mh.Petro Magoti kwa kutoa mchango wa mifuko ya cement ili kuharakisha ujenzi wa Mabweni ya Wanafunzi wa kiislam katika msikiti wa Salafi ,Kiluvya. Pia naushukuru uongozi wa Jamii forums kwa kutupa platform ya kuishauri na kuinasihi serikali na viongozi wake ili kuhakikisha amani,mshikamano na upendo baina ya watanzania wenye imani za dini tofauti ukiendelea

Moderator


View: https://youtu.be/9IpVMOUzR6U?si=ThAYD46BApI2oec_
 
Watakaoguswa kuendelea kuchangia ujenzi wa Madrasa katika msikiti huo wa kiluvya wanaweza kuwasilisha michango yao kupitia namba hii

TIGO PESA

0719380268

JINA : Abdallah Samudu
 
Hii post imemfikia Dc Magoti na wakubwa zake wamemshauri asikurupuke...


Hongera kwa Dc Peteo kwa mchango wake wa Cement katika msikiti wa happ kiluvya
Mpuuzi kweli wewe.Yaan muwalaze watoto msikitini awachekee.Mtaendelea kua duni miaka yote kwa ubishi.
Hapo alipaswa kukamata mkuu wa hiko kituo cha uhalifu na kumsweka ndani
 
Uislam huwa haukubali kuwa critisized. Siyo vitabu vyake tu hata viongozi wao hawakubali kukosolewa. Na hii ndiyo ilichangia wazungu wakaawaacha mbali toka karne ya 11.
 
Uisilamu ni ugaidi
 
Kwani kinachoendelea hukioni au unataka kumtia lawama MH. Rais kutokana na Udini? ACHA UCHOCHEZI NA KUTAKA KUMUONA MH.RAIS HAWAJIBIKI.........TUMSAPOTI MAMA anafanya kazi kubwa kwa Muda mfupi, tusimpe lawama zisizo na KICHWA wala miguu .
 
Uislam huwa haukubali kuwa critisized. Siyo vitabu vyake tu hata viongozi wao hawakubali kukosolewa. Na hii ndiyo ilichangia wazungu wakaawaacha mbali toka karne ya 11.
Wanapenda kulia lia sana
 
Yule Nabii Elyasi Nabii wa Kiislamu wa kule Kibaha mbona hamumfanyi kitu na bado yupo na anafundisha Dini ya Kiislamu na ana Wafuasi wake wengi tu.
Acha mikwala.
Huyo unaemuita Nabii umewahi kumuona msikitini akihubiri ?
Huyo ni kafiri ambae amenunuliwa na wagalatia kujaribu kuchafua Uislamu matokeo yake kawa kafariki jumla.
Huyo ni kafiri mwenzenu. Na hatambuliki km muislamu ndio ma'am huwezi kumkuta msikitini hata siku moja lkn kila mara anahubiri makanisani
 
Dini yetu lazima tuisome. Kwa sababu dini yetu inahitaji Elimu. Lazima Waislam waisome dini yao. Halafu kumbe "UDINI" maana yake ni Uislam! Basi najivunia kuwa MDINI.

Na hiyo sekula kumbe mmesoma peke yenu? Na ukisoma Madrasa kumbe hauwezi kabisa kuisoma sekula?

Enhee mmeibadilishaje dunia nyinyi binafsi msiosoma madrasa hapa Tanzania?

Maana ni nyinyi peke yenu ndio mmesoma sekula Tanzania nzima.
 
Wewe mleta mada ndo unataka kuhamisha magoli ili nia nzuri ya DC ionekane mbaya. DC alikuwa sahihi kabisa, siku waislam mkiacha kuwaza kwa akili za malalamiko malalamiko mtafika mbali sana
 
Vyote yupo sawa
 
DIni inaheshimiwa,ilaheshima,zaidi ni uhai wawatu so ndio mjue hilo kamahuna mabweni watoto warudishwe majumbani hadi ikamilike hayo mabweni
 
Ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mwenye picha ya hao watoto aweke hapa tuwaone
 
Uislam, naama Quran hutumia lugha ya kiarabu. Na kama hujui kiarabu, basi wewe unakariri na kuimba na kuhifadhi kitu usichokijua. Hivyo unachofanya ni sawa na kujilisha upepo. Kila mnapoitana misikitini kwenu, mnaitana Allahu kibaru. Hilo kwani ni neno la lugha gani?
 
Uislam huwa haukubali kuwa critisized. Siyo vitabu vyake tu hata viongozi wao hawakubali kukosolewa. Na hii ndiyo ilichangia wazungu wakaawaacha mbali toka karne ya 11.

Hawataki kuwa criticised wakati vichwa vyao vibovu wanajaza watoto duniani wasioweza kuwahudumia?
 
Teh teh teh
Nilidhani najadili na kiumbe mwenye IQ japo ya Asilimia 50 kumbe ovyo kabisa.

Quraan imetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 2000.
Kwa upumbavu wako unadhani kila muislamu ni mwarabu.
Ovyo kabisa
 
Teh teh teh
Nilidhani najadili na kiumbe mwenye IQ japo ya Asilimia 50 kumbe ovyo kabisa.

Quraan imetafsiriwa kwa lugha zaidi ya 2000.
Kwa upumbavu wako unadhani kila muislamu ni mwarabu.
Ovyo kabisa

Hilo halina upinzani, maana kila siku mara tano, mnafanya maitano kwenda msikitini kwa lugha ambayo walio wengi wenu hamuijui.
 
Hilo halina upinzani, maana kila siku mara tano, mnafanya maitano kwenda msikitini kwa lugha ambayo walio wengi wenu hamuijui.
Shida kubwa kwa makafiri Wengi ni kuwa hawajui kuwa hawajui. Na vichwa vimejaa divai na chibuku za makanisani.

UISLAMU ni Dini pekee yenye one Global language .
Muislamu wa Tanzania akienda China anaingia msikitini na kusali km anavyosali akiwa Tanzania bila shida yyt tena akiongozwa na Muislamu wa KICHINA.
nenda msikiti wwt Duniani ibada yao ni MOJA TU.

We kafiri wa kiha nenda China uone km utaweza kuimba kwaya zenu kama wakristo wa China.
Halafu bado unaona waislamu hawajitambui.
🤣🤣
Ukafiri no giza kubwa mno.
 
Hawataki kuwa criticised wakati vichwa vyao vibovu wanajaza watoto duniani wasioweza kuwahudumia?
We ukute mkeo pia kaajiriwa na Azam au GSM au Mo dewji kuuza lambalamba au maji .
Halafu unadai waislamu maskini.
Tanzania hii watoa ajira wakubwa na wallpaper kodi wakubwa Sio kina PAULO au Joseph.
Km wewe mhutu huwezi kujua hilo.
Hii Nchi waislamu wakubeba vya kwao wakaondoka Nchi inasimama siku hio hio.
Na nyie wahutu wote lzm mrudi porini kuwinda ngedere kama mlivyokuwa zamani

🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…