Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Msikiti, Kanisa ni sehemu ya kusali na kuondoka. Kama ni kulala au hiyo kula, kuhifadhi wakimbizi, hospital n.k hizo kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi ni huduma tofauti ambazo kila moja ina taratibu zake, sheria zake, vibali vyake na haya mamlala zake.
Dini zinatakiwa ku comply na Sheria za nchi, siyo vinginevyo. Haitakiwi nchi kufuata sheria na taratibu za dini.
 
Afu waislamu weusi si mkoje,Kila jambo kwenu nikukimbilia et mmeonewa tu. Upuuzi sana,kiongozi yupo kuhakikisha usalama wa raia halafu et kakosea! Kwanza wangekamatwa wahusika wanyee debee.
 
Moderator mambo ya msingi haya fatilieni muwafikishie hao viongozi amboa kutwa wanapishana mlango kwenu! Makafiri wamezidi kuwanynyasa waaislamu .sio kazi yako kukaa kusubiri tusi mtu atukane
Kwenye hii ishu kuna makafiri wapo na hao watoto wenu wa kigaidi au wote n Waislamu magaidi?
 
Huenda na yeye ni mtaalam wa kufuga majini hivyo haogopi kitu
 
WE KUBALI TH MMEAMRISHWA KUWA MASHOGA NA YESU ALIKUWA SHOGA HODARI TU
Duh! wewe Kuna mambo ulipitia utotoni yamekuadhiri mpaka Leo na una hasira Sana. Na hizo hasira umeamua uzipeleke Kwa watu na hasa ukristo. Unahitaji Sana ushauri wa kisaikolojia ndipo utapona. Pole Sana.
 
Mspmeen yalee mambo yetu ahta mm mkristo sijapenda
 
Wewe akili yako ipo kwenye kinyeo..sasa unawashwa unatafuta mtu wa kukukuna kilazima.

Uhalifu gani uliona unafanyika pale msikitini?
Watoto wenye umri wa kwenda shule wawe shuleni acheni mbambamba baadae mnatuletea watu wa hovyo mitaani huku tufanye mambo kama Dunia ilivyo mbona mnataka kujifanya vyura viziwi?kila siku watu wanasisitizwa kusoma wewe unafungia watoto wa watu eti wasome dini ukijua wazi Mbeleni maisha yao yatakua magumu watakosa Ajira watakosa maisha mazuri hapa Duniani na Ahera waislamu badilikeni
 
Ulitaka afanye kimya kimya muje kumtuhumu kuwaonea akose ushahidi?
Vizuri imerushwa na video tumesikia na kuona.
Hivi hapa tunakushangaa wewe unaye sema kawafanyia dhihaka na dharau sijui uonevu!
Mtaacha lini kulalamika ovyo kila jambo?
Yale mazingira siyo sahihi kuishi wale watoto.
Jengeni mabweni na huduma zingine fungueni chuo hakuna maneno.
 
Nakazia
 
Uliyewasilisha mada ombi langu kwako.
Naona unaipenda dini na haupendi mabaya yatokee.
Naomba miwe mnashiriki viongozi wa kiislam wanapoitisha michango kwa ajili ya maendeleo ya dini kama ujenzi wa madarasa.
Naomba anzisha harambee hapahapa tuwachangie watoto wa kisarawe wapate elimu ya dini kwa kuwajengea madarasa au kununulia vitanda
 
Mimi ni Muislam lakini kuwajaza wanafunzi kama samaki wa kopo msikitini na kuwaweka katika mazingira magumu namna ile haikubaliki Kiislam.

Waislam tunatakiwa tuwe mfano bora wa kuigwa (Makhalifa), na mifano ipo hai.

Mfano itazame Ikulu ya leo hii na hospitali ya Ocean road, asili yake ni madrassa na Ocean Road hospital ni mabweni ya kulala wanafunzi wa hiyo madrassa, ambayo ilikuwa na ubora wa hali ya juu mpaka Mjerumani akaona inafaa kuigeuza kuwa Ikulu.

Waislam kama mmekasirika kajengeni mabweni vizuri pale, wekeni madarasa majiko na wapishi wa kuwapikia wanafunzi muwarudishe. Kinawashinda nini?

Mkuu wa wilaya hajawakataza hilo.

Alilolifanya mkuu wa wilaya ni jema sana. Msianze unafik wa kijinga.
uislam wa kweli huwezi kuliona baya lile.

Naamini aliyeleta hii mada siyo Muislam. Kama ni Muislam basi haujuwi Uislam.

Huo ni ufataani na unafik.
 
Mkuu wa wilaya ya kinondoni nae aende kwa mwamposa akaufunge uwanja wa Tanganyika packers pale kawe kwasababu analaza maelffu ya wananchi wa Tanzania nje wakiwemo watoto wadogo.
Ndio aende akapafunge, mazingira ya pale ni hovyo, vinginevyo wajiandae kuwajibika siku maafa makubwa yakitokea.
 

Kama hadi ww unamuunga mkono bwana magoti bc mada iishie hapa


 
Huo ni mfano kwa wengine wanaoendesha vituo kama hivyo.
 
Nakushauri tu mkuu, comments au watu wa hivyo wala hata siyo wa kuwa quote, just ignore them. Ni faraja kubwa sana kwao mnapo wa quote hata mkiwatukana, huwa wanaumia sana wakiandika lakini mkawapita kama hawawaoni. Huumia hadi kufijia hatua ya kuisusa JF au kubadili IDs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…