Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

mwamposa hajanikamata mimi aisee, kawakamata watu wenu mbona. mfano, pale kawe juzi, unaambiwa karibia nusu ya wale waliohudhuria kwa mwamposa ni waislam, wengine wamesafiri toka zanzibar kabisa kuja kwa mwamposa. na anawapiga pesa vilevile wakati sisi wakristo wa hapa hatuna habari naye. majority ya wale wanaoombewa ni watu walioozoea shortcuts, waliozoea kwenda kwa waganga, madawa ya suna, ndio maana hawamtaki Mungu, wanataka miujiza tu, anataka aombewe apate kitu aondoke zake, hayupo pale kuabudu, na wengi sana ni waislam karibia nusu nzima.
Uongo ni ibada kwenu.
Wala sintoshangaa mwamposa na gwajima pi ukadai ni waislamu.

Hapa napoteza muda wangu tu.
Tafuta mwenye elimu ya Bible aje hapa tujadili.
Wewe bado kabisa.

Ila nakushauri uusome UISLAMU km mimi nilivyousoma Ukristo.
Ukishapata elimu maamuzi yatabaki kwako.
Uamue Kuabudu MUNGU MMOJA au uendelee kuabudu SANAMU.
Adios
 
Amani iwe nanyi.

Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo cha wanafunzi wa Kiislamu kukusanyika na kusoma dini yao ni udhalilishaji.

Hii ni chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu. Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo mtu ataichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.

Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani, upendo, umoja na mshikamano. Hii ni mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Anapotokea mtu, awe kiongozi ama yoyote yule, akafanya dhihaka, kukashifu, kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na yenye weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane msikitini, ambayo Waislamu wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko Kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.

Pia, alidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kwamba watoto wanalala kama nyanya, wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo. Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa Kiislamu! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!

Leo hii, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe aje kuwafundisha Waislamu tafsiri na kazi ya msikiti. Ni jambo la ajabu na aibu sana.

Waislamu nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya Waislamu kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa Kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa Kiislamu kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?

Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.

Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwa sababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya nchi hii kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.

Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha Waislamu na Uislamu kwa ujumla. Jambo la hatari sana.

Video ya Sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.

Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
Waislam tena. Hamtaki kushauriwa.
 
Alichofanya Petro Magoti ni kumfitinisha Rais Dr Samia Suluhu Hassan dhidi ya waislam na uislam.
Aacha utoto na kukuza jambo, huo msikiti una waumini wangapi? Peleka malalamiko yako mahakamani au kwa mkuu wa mkoa.
 
Uongo ni ibada kwenu.
Wala sintoshangaa mwamposa na gwajima pi ukadai ni waislamu.

Hapa napoteza muda wangu tu.
Tafuta mwenye elimu ya Bible aje hapa tujadili.
Wewe bado kabisa.

Ila nakushauri uusome UISLAMU km mimi nilivyousoma Ukristo.
Ukishapata elimu maamuzi yatabaki kwako.
Uamue Kuabudu MUNGU MMOJA au uendelee kuabudu SANAMU.
Adios
bro, nakuambia ukweli wote, mimi mwamposa simkubali kinoma, ila wanaoenda pale wengi sana waislam karibia robo yao ni waislam, wengine wanahojiwa na wanakuambia ni waislam na hawadanganyi.

kuhusiana na uongo, kwetu sisi uongo ni dhambi, ila najua kwako ukidanganya kwa ajili ya dini ni thawabu.
 
umeshawaona waliosoma degree wanatembea na kobaz barabarani wakiwa na suruari za vinjiwa? be serious. walau kichwani wanakuwa na akili na ustaarabu sio kihivyo ndugu.
umeshawaona waliosoma degree wanatembea na kobaz barabarani wakiwa na suruari za vinjiwa? be serious. walau kichwani wanakuwa na akili na ustaarabu sio kihivyo ndugu.
Vijan wana degree wanashinda kubeti? Na degree zao twawaona na vikaputula na boksa mtaan. Huo ndio ustaarabu unaosemea
 
Mkuu wa wilaya ya kinondoni nae aende kwa mwamposa akaufunge uwanja wa Tanganyika packers pale kawe kwasababu analaza maelffu ya wananchi wa Tanzania nje wakiwemo watoto wadogo.
Umeambiwa kwa Mwamposa ni shule?
 
Thread hii imekwenda haraka sana; vipi rais ameshamshauri DC kufungulia madrasa inayohataraisha usalama wa watoto? Je DC akikataa ushauri huo itakuwaje ?
 
Mbona mkuu wa Wilaya alikuwa sahihi. Alimwambia shehe ya kwamba Jenga majengo yakikamilika leta wanafunzi. Shida ipo wapi? Watoto wanaishi Kama wanyama.
mleta mada ndiye analeta udini mimi ni muislam ila mkuu wa wilaya alikua sahihi sana zaidi ya sana yale mazingira mimi mtu mzima siwezi kuyaishi itakuaje serikali iache watoto wapitie katika hali dhalili kama ile?
 
Amani iwe nanyi.

Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo cha wanafunzi wa Kiislamu kukusanyika na kusoma dini yao ni udhalilishaji.

Hii ni chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu. Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo mtu ataichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.

Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani, upendo, umoja na mshikamano. Hii ni mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Anapotokea mtu, awe kiongozi ama yoyote yule, akafanya dhihaka, kukashifu, kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na yenye weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane msikitini, ambayo Waislamu wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko Kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.

Pia, alidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kwamba watoto wanalala kama nyanya, wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo. Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa Kiislamu! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!

Leo hii, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe aje kuwafundisha Waislamu tafsiri na kazi ya msikiti. Ni jambo la ajabu na aibu sana.

Waislamu nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya Waislamu kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa Kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa Kiislamu kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?

Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.

Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwa sababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya nchi hii kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.

Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha Waislamu na Uislamu kwa ujumla. Jambo la hatari sana.

Video ya Sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.

Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
Mkuu wa wilaya yupo sahihi. Hii ni nchi na kuna taratibu zake hususan kungetokea Moto hapo swali anaulizwa nani. Watu wakae 90 sehemu moja halafu uone ni sahihi kweli kwa kigezo cha dini. Kwanini wasijenge majengo ya kutosha au wajenge shule kabisa hapo ili wapate vyote pamoja. Hiv kwanini tunaficha madhaifu sana kwa kigezo cha dini. Mbona juz kati Padre kahusishwa na kuua albino na wametangaza live wasiseme kuna taasisi zifahamishwe kwanza. Mkuu wa wilaya kasema kuna watoto wamefaulu kwenda shule lakini wapo hapo hilo mbona mmekaa kimya.
 
Halafu hapa unakosea sisi kwetu ni rahisi kuijua dini yetu sababu tunatumia kiswahili. Kwetu wakatoliki hadi mtoto anaenda kuanza mafundisho tayari anaijua dini na imani yake vizuri tu hata kusali amajua pia.

Kwenye familia bora haya mambo yanaanzia nyumbani. Hizo shule za Seminary huwa hatuendi kusoma dini, tunasoma elimu ya kawaida pamoja na kulelewa katika misingi ya dini.

Hatufundishwi kukariri, tujafundishwa kuelewa.
Kwani hapo umeambiwa hawafundishwi kuelewa? Umeona hawalelewi katika misingi ya kiislam ?

Kungekuwa na viashiria vya mafunzo ya ugaidi basi Rais Mama Samia asingepeleka mchango wa mifuko ya cement 300 katika misikiti hiyo.
 
Muislam aneijua dini hukuti anasema ELIMU DUNIA kamwe, mtume wetu aliambiwa SOMA, SOMA KWAAJILI YA MOLA WAKO, hakuambiwa asome nini

Madrasa pekee haitoshi kumuondoa mtu ujinga.

Mkuu somesheni watoto kwa manufaa yao na vizazi vyao itafika hatua wataja walaumu.
 
Huyo DC pamoja na kazi zote anazofanya ajitahidi kuwa nstarabu na mtulivu,nimeona hata juzi anaingelea suala la katazo la kubeba mkaa ,anonekana Kama anatamia nguvu sana , apunguze dhiaka kwa anaowapa ujumbe.
 
Madrasa pekee haitoshi kumuondoa mtu ujinga.

Mkuu somesheni watoto kwa manufaa yao na vizazi vyao itafika hatua wataja walaumu.
Nani kasema wasome madrasa pekee? Wale watoto karibia wote wamefeli darasa la saba na wazazi hawana uwezo wa kuwapeleka shule za private unataka wawaache nyumbani wasisome dini yao? Au umeambiwa pale madrasa watakaa milele?
 
Elimu ya madrasa ndio elimu yenu pekee mnayoijua na sijui hua mnawalisha nini kwenye bongo zao hao watoto.
 
Huyo unaemuita Nabii umewahi kumuona msikitini akihubiri ?
Huyo ni kafiri ambae amenunuliwa na wagalatia kujaribu kuchafua Uislamu matokeo yake kawa kafariki jumla.
Huyo ni kafiri mwenzenu. Na hatambuliki km muislamu ndio ma'am huwezi kumkuta msikitini hata siku moja lkn kila mara anahubiri makanisani
Wewe ushamwona Nabii Mwamposa akiingia kusali Roman Katoriki?
Nabii Elyasi ndiye Nabii wa sasa wa Waislamu na anaingia misikiti ya Waislamu kuswali kila anapo pata nafasi.
Viongozi wa Kiislamu walimwita kuongea naye na akawafafanulia uhalari wa Unabii wake.
Elyasi anakiri kuwa yeye ni Nabii wa Kiislamu na ana wafuasi wake Waislamu.
Hana mfuasi Mkristo.
Wewe unani umbishie Nabii wa Allah.?
 
Hawataki kuwa criticised wakati vichwa vyao vibovu wanajaza watoto duniani wasioweza kuwahudumia?
Sera yao ni kuzaana na kuongezeka ili Dunia ijae Waislamu.
Waunde Dola la Kiislamu na mwisho waitawale dunia na kulazimisha watu wote wawe Waislamu.
Huwa nashangaa sana, hivi kwanini wanalazimisha watu wote wawe Waislamu.
Badala ya kufurahia na kuridhika kuwa wameupata Uislamu mzuri kwao wanafosi kila mtu awe Mwislamu.
Wako radhi kuchinja mtu kama hautaki Uislamu.
Mfano wale Magaidi wa Garissa Kenya waliwatenga wasio Waislamu na kuwapigia risasi na kuwaua.
Hawa jamaa mimi siwaamini kabisa na nimesoma Madrasa ili nikikutana na Magaidi najifanya Mwislamu.
 
Mimi nimekubali sina elimu kuliko wewe.
Sasa nipe majibu hapa manake wewe msomi.

Biblia imeandikwa na watu ambao wazazi wao hawajulikani. Na binaadamu asiejulikana mzazi wake ni nani kawaida huwa ni mtoto wa zinaa.
ili hawa waandishi wa BIBLIA tutambue kuwa ni watoto wa HALALI naomba unitajie majina ya BABA ZAO KWA USHAHIDI WA MAANDIKO.
Yaani unipe Kifungu kwenye BIBLIA kinachotaja majina ya BABA ZAO .

JOHN (YOHANA, MARK(MARKO),
PETER(PITA)
LUKE (LUKA)

Hawa watu BABA ZAO ni KINA NANI?

Kila siku mnadai waislamu wanaabudu mashetani cha ajabu wakristo kila siku mnatoa Pesa ili mtolewe mashetani.
Sasa hao mashetani kwanini Wanakuja kwenu tu wakati nyie hamna dhambi?🤣🤣
Manake mnadai kuna mtu ALIKUFA KWA AJILI YA DHAMBI ZENU?

Nasubiri JIBU.
Allah ndio anaye watuma Mashetani kuwashambulia Wakristo.
أَلَمْ تَرَ أَنَّا أَرْسَلْنَا الشَّيَاطِينَ عَلَى الْكَافِرِينَ تَؤُزُّهُمْ أَزًّا

[ MARYAM - 83 ]
Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
Ili watufitinishe na Mungu wetu.
 
Muislam aneijua dini hukuti anasema ELIMU DUNIA kamwe, mtume wetu aliambiwa SOMA, SOMA KWAAJILI YA MOLA WAKO, hakuambiwa asome nini
Aliye mwambie mtume wenu "Soma" ni nani ?
Hebu tuwekee Hilo andiko, mtume wenu akiambiwa asome.
Tafadhari kama lipo.
Halipo, ni hadithi za kusadikika.
 
Back
Top Bottom