Baadhi ya waislam siku kama ya Leo saa 7 wapo ktk vikao badala ya kwenda msikitini . Saa 7 vikao visitishwe Vikao virudi tena saa 8 mpaka usiku wa manane
Baadhi ya mabosi huanzisha vikao siku kama ya Leo wakijua waislam wanatakiwa waende msikitini. Vikao vitoe fursa saa 7 msiktini saa 8 na kuendee virejee mezani.
"Enyi mlioamini! Iwapo mtaadhiniwa kwa ajili ya Swala siku ya Ijumaa, kimbilieni kumtaja Mwenyezi Mungu na acheni biashara. Hayo ni bora kwenu, ikiwa mnajua."
(Surat Al-Jumu'ah, 62:9)