Waislamu 11 Wakamatwa Nigeria kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani

Hiyo ni nguzo ya uislamu. Inawezekana washadanganyika na makafiri, lazima wakamatwe ili wamkiri Allah kuwa Mungu wa kweli.
Kumbe Mungu anawakataza wenzie kula?

Sababu za kufunga ni zipi?
 
Du kama Zanzibar tu
 
Sijui angekuwepo SAW mwenyewe angesemaje
 
kwani kama walikuwa wanakula futari yao yani wao kwa ratiba zao huo ndo muda wa kula daku kwamba wanafunga kwanzia saa sita mchana baada ya masaa 12 wanakula futari ambayo huwa wanakula saa tisa usiku..
 
nimecheka sana.

nasemaje ugonjwa wa utaahira ulianzia kwa mtu mweusi kisha mtu mweusi akausambaza sehemu zingine za dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…