Waislamu 11 Wakamatwa Nigeria kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani

Waislamu 11 Wakamatwa Nigeria kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani

Polisi wa Kidini nchini Nigeria wamekamata watu 11 siku ya Jumanne kwa kuonekana wakila chakula mchana katika mwezi wa Ramadhani.

Watu hao wamekamatwa katika jimbo la kaskazini la Kano.

Kano ina idadi kubwa ya Waislam, ambapo sheria ya kidini – Sharia- inatumika pamoja na sheria za kawaida za nchi.

Polisi wa Kiislam, maarufu kama Hisbah, hufanya misako katika maeneo ya chakula na masoko wakati wa Ramadhani.

Wanaume 10 na mwanamke mmoja waliokamatwa, waliachiliwa huru baada ya kuapa kuwa hawatoacha kufunga bila sababu muhimu.

“Tulikamata watu 11 siku ya Jumanne, akiwemo mwanamke mmoja muuza karanga aliyeonekana akila na watu wakatujulisha,” amesema msemaji wa Hisbah Lawal Fagge, akizungumza na Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC.

“Wengine 10 ambao ni wanaume walikamatwa mjini karibu na masoko ambapo kuna shughuli nyingi.”

Ameongeza kusema msako utaendelea lakini amesema wasio Waislam hawahusiki na msako huo.
allah analazimisha watu wafunge,
 
Lakini kwenye kufukuana mifereji hawasemi chochote usikute ktk hao maaskari kuna mashoga kibao na mabasha na wakisha maliza kazi ya kulazimisha watu kufunga wanarudi magetoni kufukuana mifereji kama wale vijana wa zenji waliofumwa wakifumuana lakini wakafumwa tena wakifumuana hukohuko mahabusu walikowekwa
 
Polisi wa Kidini nchini Nigeria wamekamata watu 11 siku ya Jumanne kwa kuonekana wakila chakula mchana katika mwezi wa Ramadhani.

Watu hao wamekamatwa katika jimbo la kaskazini la Kano.

Kano ina idadi kubwa ya Waislam, ambapo sheria ya kidini – Sharia- inatumika pamoja na sheria za kawaida za nchi.

Polisi wa Kiislam, maarufu kama Hisbah, hufanya misako katika maeneo ya chakula na masoko wakati wa Ramadhani.

Wanaume 10 na mwanamke mmoja waliokamatwa, waliachiliwa huru baada ya kuapa kuwa hawatoacha kufunga bila sababu muhimu.

“Tulikamata watu 11 siku ya Jumanne, akiwemo mwanamke mmoja muuza karanga aliyeonekana akila na watu wakatujulisha,” amesema msemaji wa Hisbah Lawal Fagge, akizungumza na Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC.

“Wengine 10 ambao ni wanaume walikamatwa mjini karibu na masoko ambapo kuna shughuli nyingi.”

Ameongeza kusema msako utaendelea lakini amesema wasio Waislam hawahusiki na msako huo.
Hii naifananisha na wale polisi maarufu kama tigo wanazunguka mtaani kutafuta raia waliobeba mizigo na kuwadai risiti kama huna wanatishia kukuchukua hadi utoe pesa. Yaani polisi unamkamata mtu anayekula chakula cha kujinunulia mwenyewe???? Mm nafkir wangeweka nguvu kupambana na makundi yanayoteka watoto daily. Nigeria ni nchi moja ya kipumbavu sana
 
قُلۡ يَٰٓأَيُّهَا ٱلۡكَٰفِرُونَ

Sema: Enyi makafiri.
Quran 109: 1.

Hilo jina la Kaafiri amewaita Muumba mwenyewe. Na kama hutaki Silimu otherwise hilo ndio jina lako
Muumba yupi sasa......maana hao makafir hawamtambui huyo mungu wa kiarabu....wala hawatambui adithi za kutunga za waarabu waliowakopi wayahudi wa kale.......wa kwenye torati
 
Nitajie wapi hakunaga pombe???
Nitajie sehemu moja??
Saudia
Bahrain
Nigeria
Sudan??
Labda hujui sharia law na hujawahi hata kufika sasa jichanganye upeleke ulevi wako kule uone kitakachokupata
 
Attachments

  • Screenshot_20240315-043543_Chrome.jpg
    Screenshot_20240315-043543_Chrome.jpg
    145.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240315-043447_Chrome.jpg
    Screenshot_20240315-043447_Chrome.jpg
    110.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240315-043654_Chrome.jpg
    Screenshot_20240315-043654_Chrome.jpg
    154.5 KB · Views: 2
Waafrika umaskini, ujinga na umbumbimbu hautaidha KAMWE...
 
Back
Top Bottom