010101
Senior Member
- Dec 12, 2022
- 168
- 370
Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "
Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran.
Katika Biblia, uumbaji ulifanyika kwa Trinity yaani MUNGU Baba(Jehovah), MUNGU Mwana(Yesu) na MUNGU Roho(Roho Mtakatifu).
Ndo mana katika uumbaji kuna wingi , " tumfanye mtu kwa mfano wetu " - Mwanzo 1:26
Tukirejea kwenye Kuran uumbaji umefanyika na wingi (We / Tulimuumba) . Swali : Je , Allah alishiriki na nani katika zoezi la uumbaji?

- Ikumbukwe kuwa malaika hawakushiriki katika zoezi la uumbaji.
- Ikumbukwe Majestic We zinatumika kwa viongozi tu, na kutambua utendaji walio chini , na viongozi hao huwa na baraza ( Mfalme - baraza la wazee , Raisi - mawaziri) - Kwa hiyo ni sawa kutumia wingi, kama uwakilishi
- Ikumbukwe kuna verse Allah ametumia I am na kwanini pale tu , ndipo alitumia wingi?