Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

Kuna watu walikufa huku wakiwa wanachunguza haya mambo ya udini, kujifanya Wana falsafa kumbe hovyo tu🚮🚮🚮
 
Jinsi muhamad alipata Utume toka kwa Majini.
itume wa Yesu ndani ya Biblia Takatifu walikwisha kutuonya kuhusu uchafu huo. Katika 2 Kor 7:1 “Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu”
Miongoni mwa mafundisho ya Muhammad ni kwamba kuna mambo kumi yanayokamilisha Uislamu nayo tunayasoma katika kitabu kiitwacho

Mkweli Mwaminifu , Kilichoandikwa na Sheikh Said Moosa Al-Kindy wa Muscut, Juzuu 3-4 Uk 63.Hadithi Na.880 “ Kasema Mtume (s.a.w) (Mambo) kumi ya Uislamu (yanayokamilisha Uislamu):Kukata masharubu,na kuziweka ndevu,nakuziweka ndevu (kutozinyoa) ndevu,na kupiga mswaki,kusafisha ndani ya pua kwa maji,na kukata kucha,kuosha mikono baina ya vidole,na kung’oa (au kunyoa) nywele za kwapani,na kunyoa nywele za mbeleni (mavuzi),na upungufu wa maji. La kumi,kasema sahaba aliepokea hadithi hii kuwa nimesahau,lakini kasema bila shaka la kumi ni “kutahiriwa.”
Kwa mujibu wa Biblia manabii na mitume wanathibitishwa kwa njia ya miujiza.
Kutoka 14:21” Musa akanyosha mkono wake juu ya bahari,BWANA akaifanya bahari irudi nyuma kwa upepo wa nguvu utokao mashariki,usiku kucha,akaifanya bahari kuwa nchi kavu”.
Matendo 19:11-12 “Mungu alifanya kwa mikono ya Paulo miujiza ya kupita kawaida . Hata wagonjwa wakaletewa leso na nguo zilizotoka mwilini mwake magonjwa yao yakawaondokea, pepo wachafu wakawatoka”. Tazama pia Matendo 16:16-18, 20:7-12 na Matendo 13:6-12.
Qur’an nayo inathibitisha kuwa manabii na mitume ni lazima wafanye miujiza.
Qurani 40:78 Suratul Al-Muumini [Waumini] inasomeka “Na kwa yakini tumewatuma mitume kabla yako wengime katika wao tumekusimulia (majina yao na habari zao) na wengine hatukukusimulia na haikuwa kwa mtume yoyote kuleta muujiza wowote ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu”
Muhammad hakupewa kufanya muujiza wowote ili kuthibitisha madai ya unabii na utume wake.
Qur’an 29:50 Suratul Al-Ankabuut (Buibui). “Na walisema “Mbona hakuteremshiwa miujiza kutoka kwa Mola wake? Sema miujiza iko kwa Mwenyezi Mungu tu (akitaka atakuteremshieni na kama hataki basi),nami hakika ni mwonyaji mbainishaji (dhahiri tu).” (Taz. Qur,an 6:35-37 13:7,)
Katika Qur’an iko aya ambayo tunapaswa tuitafakari wote kwa pamoja.Katika Surat An-Nisaa, (wanawake), 4:79 “Wema uliokufikia unatoka kwa Mwenyezi Mungu na ubaya uliokufikia unatoka nafsini mwako, mwenyewe umefanya mambo hata yakakufika hayo. Nasi tumekupeleka kwa watu kuwa mtume na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha (hapaitajiwi shahidi mwingine)”

Aya hii inaonesha kuwa Muhammad mtume wa Waislamu, alipelekwa kwa watu kuwa mtume, huku Mwenyezi Mungu akiwa shahidi tu. Siku zote shahidi si mtendaji bali ni mwonaji tu wa tendo lililotendeka.Hoja yetu tungependa kuwajua hao watu waliompeleka Muhammad kwa watu ni akina nani?. Kwa sababu tumeona kule nyuma baada ya Muhammad kutoka pangoni, mkewe Bi. Khadija anamwambia Muhammad kuwa “utume huo!!!!!!! Na Bwana Waraqah ibn Naufal akimwambia Muhammad kuwa “ basi jibashirie kuwa wewe ni mtume wa umma huu” kabla ya Qur’an .Je hao si wale “Nasi tumekupeleka” wanaotajwa kwenye aya hiyo hapo juu? Tafakari!! .
Waislamu hudai kuwa Muhammad ametumwa na Mwenyezi Mungu wao, ambaye ni Mfalme wa Wafalme . Lakini tusomapo Biblia Takatifu katika kitabu cha Ufunuo 17:14 “ Hawa watafanya vita na Mwanakondoo, na Mwanakondoo atawashinda, kwa maana Yeye ni Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa Wafalme; na hao walio pamoja naye ndiyo walioitwa na wateule, na waaminifu”
Katika Ufunuo 19:11-16 “ Kisha nikaziona mbingu zimefunuka, na tazama, farasi mweupe, na yeye aliyempanda, aitwaye Mwaminifu na Wa-kweli, naye kwa haki ahukumu na kufanya vita. Na macho yake yalikuwa kama mwali wa moto, na juu ya kichwa chake vilemba vingi; naye ana jina lililoandikwa, asilolijua mtu ila yeye mwenyewe. Naye amevikwa vazi lililochovywa katika damu, na jina lake aitwa Neno la Mungu. Na majeshi yaliyo mbinguni wakamfuata, wamepanda farasi weupe na kuvikwa kitani nzuri, nyeupe, safi. Na upanga mkali hutoka kinywani mwake ili awapige mataifa kwa huo. Naye atawachunga kwa fimbo ya chuma, naye anakanyaga shinikizo la mvinyo ya ghadhabu ya hasira ya Mungu Mwenyezi. Naye ana jina limeandikwa katika vazi lake na paja lake, MFALME WA WAFALME NA BWANA WA MABWANA.

Yesu Kristo ndiye Mfalme wa Wafalme na Bwana wa Mabwana.Lakini tunaposoma Hadithi sahihi za Kiislamu zinaeleza kuwa adui mkubwa wa Allah (s.w) Mungu wanayemwabudu Waislamu, ni yule anayeitwa Mfalme wa Wafalme.
Sahih Al- Bukhari, Vol.8.Hadithi Na.225, Al-Lu’lu Wal-marjan,Juzuu ya 3,Hadithi Na.1385 “Hadithi ya Abu Huraira (r.a) amesema,Mtume wa Allah (s.a.w) amesema,”Majina yaliyo dhalili mno na mabaya mbele za Allah ni mtu kujiita,Malikil-Amlaak (Mfalme wa Wafalme).”
Hivyo, ufunuo aliopokea Muhammad, ambao anatutaka na sisi Wakristo tuuamini haujatoka kwa Mungu tunayemwamini sisi Wakristo, yaani, Yesu Kristo.Bali kama alivyonukuliwa katika vitabu vya Kiislamu, unatokana na kuchezewa na Shetani, na kwa sababu hiyo kwetu anakuwa nabii na mtume wa uongo’
Biblia Takatifu imetuonya kuwachunguza mitume na manabii. Katika kitabu cha Ufunuo 2:1-2 “ Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika; Haya ndiyo anenayo yeye azishikaye hizo nyota saba katika mkono wake wa kuume, yeye aendaye katikati ya vile vinara saba vya dhahabu. Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao siyo ukawaona kuwa waongo”
Kwa mujibu wa aya hizi Muhammad s.a.w hastahili kuitwa nabii na mtume wa Mungu wa Kweli, bali anaangukia katika kundi la manabii na mitume wa uongo. Hatufai
 
Bado haijajibu swali la trinity kuwepo katika Quaran.
Naona ni bonge la kosa , Muhammad alilifanya katika harakati zake za ku-copy biblia
Huelewi Mzee!
Nikupe tu mfano sisi kwetu ukiwa mdogo ila unamuita mkubwa mfano baba yako kuwa kuna mtu anamuita utasema hivi "BABA MNAITWA NA MTU HUKO NJE"
sijui umeelewa concept yangu!
 
Kiufupi jitahidi kusoma sana Lugha hizi mbili KIARABU na Kebrania ni lugha zenye grammar au zenye umoja wa heshima ...ambao sehemj mbalimbali waswahili wame adopt huo umoja wa heshima kwa mfano kuna mtu anawez kukwambia karibuni wakati huo anakukaribisha weww na kuna mwingine anawez akasema tuliwaambia wakati huo kakuambia yeye
Kwahyo
Kabla ya kujifunza critics jifunze analysis
 
Nimewachunguza hawa watu wengi hawajui Quran sabb ya lugha.
Wanapata mafundisho ya kukarishana tena mpk ustaz amtafasirie. Hawawezi kukujibu hilo swali.
Wewe Johnny acha uongo, watu tunajua mpaka kichina sembuse kiarabu ndiyo iwe shida.
 
Uthibitisho Kuwa Qur’an ni Neno la Mwenyezi Mungu (s.w)

a) Uthibitisho Kutokana na Qur’an Yenyewe
i. Kutojua kusoma na kuandika kwa Mtume Muhammad (s.a.w)
- Mtume (s.a.w) kutokujua kusoma na kuandika ni ushahidi tosha kuwa
asingeweza kutunga Kitabu mfano wa Qur’an. Rejea Qur’an (7:158), (29:48)

ii. Qur’an yenyewe inajieleza kuwa ni Kitabu cha Allah (s.w) kama ifuatavyo; “Uteremsho wa Kitabu hiki umetoka kwa Mwenyezi Mungu, Mwenye Nguvu na Mwenye Hikima” (45:2)
Pia rejea Qur’an (4:166), (32:2-3), (35:31), (25:1), n.k


iii. Hali aliyokuwa nayo Mtume (s.a.w) wakati akipokea wahyi
- Mtume (s.a.w) alikuwa akiogopa kuwa atasahau anayoteremshiwa, akawa na pupa kuyakariri, hii ni ushahidi kuwa hayakuwa maneno yake.
Rejea Qur’an (75:16-18), (87:6-7)


iv. Qur’an kushuka kidogo kidogo kwa kipindi cha miaka 23 kimatukio.
- Kama Qur’an aliitunga Mtume (s.a.w) angeliitunga yote kwa pamoja tena kwa haraka ili kuitumia kuongoza jamii.
Rejea Qur’an (17:106), (25:32), (76:23)


v. Mtume (s.a.w) kukosolewa ndani ya Qur’an
- Kama Mtume Muhammad (s.a.w) angelikuwa ndiye mtunzi wa Qur’an asingelikosolewa mara nyingi katika Kitabu alichokitunga mwenyewe. Rejea Qur’an (33:1-3), (66:1), (80:1-12), n.k

vi. Kutokea kweli matukio yalitabiriwa katika Qur’an
- Mifano ya matukio ni; Waislamu kuwashinda Warumi na Maquishi na kuwa katika hali ya furaha na amani, utabiri wa kuangamia Abu Lahab. Rejea Qur’an (30:2-3), (111:1-5), (93:4-5), (94:5-6), (48:1), n.k


vii. Mpangilio na muundo wa aya na sura za Qur’an wakati wa kushuka kwake na kuandikwa katika msahafu.
- Aya na sura za Qur’an zimepangiliwa ki-idadi na kimuundo kwa namna ya ajabu ambayo hakuna mwanaadamu yeyote anayeweza kufanya hivyo.

Mfano: neno mbingu saba limetajwa mara saba, neno “Yaum” (siku)
limetajwa mara 365, neno “shahri” (mwezi) limetajwa mara 12, n.k.
Rejea Qur’an (3:59), (2:87), (2:33-37), (20:115-121), n.k


viii. Wanaadamu kushindwa kutunga na kuandika Kitabu mfano wa Qur’an
- Qur’an imetoa changamoto kwa kuwataka wanaadamu kutunga kitabu au sura moja au aya moja tu mfano wa Qur’an hakuna aliyeweza.
Rejea Qur’an (17:88), (11:13), (2:23), (10:38), n.k


ix. Maudhui ya Qur’an na mvuto wa ujumbe wake
- Qur’an inaathiri na kugonga nyoyo za watu hata ambao si waislamu, mfano Umar Ibn Khattab na mshairi Labib ibn Rabiah kabla ya kusilimu. Rejea Qur’an (20:1-7), (4:82), (39:23), n.k

x. Ahadi ya Kuhifadhiwa na kulindwa Qur’an na kubakia katika asili yake
- Ni Qur’an pekee ambayo mwanaadamu hawezi kukiharibu kwa namna
yeyote ile ya kuongeza au kupungaza chochote.
Rejea Qur’an (15:9)
 
Kukopi bibilia si kosa. Angekopi kitabu cha ibilisi ndiyo ingekua mbaya.
Wewe unakijua kiebrania.
Kiebrania , hakijui wingi na umoja
Jibu swali , acha kuweka hoja za kufikirika
 
Huelewi Mzee!
Nikupe tu mfano sisi kwetu ukiwa mdogo ila unamuita mkubwa mfano baba yako kuwa kuna mtu anamuita utasema hivi "BABA MNAITWA NA MTU HUKO NJE"
sijui umeelewa concept yangu!
Sorry mkuu Quran imeandikwa Allah!?
 
Ulichocopy na kupest ni uongo mtupu.Inaonesha hizi ni point zenu wakristo mmezianda kuattack uislam mnatumian WhatsApp [emoji23][emoji23][emoji23].Ntakua nakujib kimoja baada ya kimoja [emoji120]
Quran 15:26 haipo katika Quaran unayotumia . Je, huo wingi haupo?
Nini cha uongo hapo?
 
Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "

Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran.

Katika Biblia, uumbaji ulifanyika kwa Trinity yaani MUNGU Baba(Jehovah), MUNGU Mwana(Yesu) na MUNGU Roho(Roho Mtakatifu).
Ndo mana katika uumbaji kuna wingi , " tumfanye mtu kwa mfano wetu " - Mwanzo 1:26

Tukirejea kwenye Kuran uumbaji umefanyika na wingi (We / Tulimuumba) . Swali : Je , Allah alishiriki na nani katika zoezi la uumbaji?

Ikumbukwe kuwa malaika hawakushiriki katika zoezi la uumbaji.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "

Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran.

Katika Biblia, uumbaji ulifanyika kwa Trinity yaani MUNGU Baba(Jehovah), MUNGU Mwana(Yesu) na MUNGU Roho(Roho Mtakatifu).
Ndo mana katika uumbaji kuna wingi , " tumfanye mtu kwa mfano wetu " - Mwanzo 1:26

Tukirejea kwenye Kuran uumbaji umefanyika na wingi (We / Tulimuumba) . Swali : Je , Allah alishiriki na nani katika zoezi la uumbaji?

Ikumbukwe kuwa malaika hawakushiriki katika zoezi la uumbaji.
Kesho ni sikukuu hatutaki mambo ya ubaguzi.
 
Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "

Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran.

Katika Biblia, uumbaji ulifanyika kwa Trinity yaani MUNGU Baba(Jehovah), MUNGU Mwana(Yesu) na MUNGU Roho(Roho Mtakatifu).
Ndo mana katika uumbaji kuna wingi , " tumfanye mtu kwa mfano wetu " - Mwanzo 1:26

Tukirejea kwenye Kuran uumbaji umefanyika na wingi (We / Tulimuumba) . Swali : Je , Allah alishiriki na nani katika zoezi la uumbaji?

Ikumbukwe kuwa malaika hawakushiriki katika zoezi la uumbaji.
Umekosea tafsiri,sio UDONGO WENYE SURA.NI UDONGO MWEUSI(Black mud)
 
Back
Top Bottom