shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Shida yako umekurupuka kaka,mmesema Muhammad (saw) amecopy bible,nikauliza kama amecopy bible kweny qur'an kuna aya inasema mwezi umepasukaMwamba kwenye swala la mwanaume mmoja kuoa wake zaidi ya mmoja hilo halipo mzee... imagine Tanzania wanaume ni 30m wanawake ni 31m hapo hata ukisema mwanaume mmoja aoe mke mmoja na robo wanawake wataisha na wanaume wengi hawatapata mke sembuse wake wanne? Hivi watu 60m ukitaka ratio ya mume mmoja wake wawili inabidi iweje? Inabidi wanaume tuwe 20m wanawake 40m, vipi tukitaka tuoe 3,4 unajua itakuwaje? Kuoa wake 2,3,4 sio agizo la Mungu, acha uzinzi.
_Wanasayansi gani wamethibitisha kwamba jua linazunguka?
_hilo la mwezi kupasuka point yako ni nini mzee! Kukopi sio lazima aandike yote ni wazi kwamba ataingiza na yake
Kama hio aya ipo kweny qur'an na qur'an imekuwa copied kutoka kweny bible naiman kuna sehem bible imeandika mwezi umepasuka
Kama bible haijaandika ni wapi mtume Muhammad (saw) Ametoa hili jambo kama bible aliyoicopy haijaandika
Kama bible haijaandika kuna mawili
01.Bibble mnayotumia imechakachuliwa[ Japo hamna sehem kweny biblia imeandikwa "Bible ni kitabu cha yesu".Na Kuna ushahid bible imeandikwa na watu miaka 100+ baada ya kufa yesu.]
02.Hakika uislam ni dini ya kweli sababu kama mtume alisema mwezi umepasuka na kipind hicho hakukua na technology ya kwenda mwezini, hizo taarifa alizitoa wapi?