Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Kesho ni sikukuu sitaki kujihusisha na ubaguziYap
Ni siku mahususi/tofauti . Apo tayari umewatenga wa sio wa sikukuu yao
Kwa hiyo wewe nenda moja kwa moja , kwenye mada na ujibu swali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho ni sikukuu sitaki kujihusisha na ubaguziYap
Ni siku mahususi/tofauti . Apo tayari umewatenga wa sio wa sikukuu yao
Kwa hiyo wewe nenda moja kwa moja , kwenye mada na ujibu swali
Hii si yako ni jibu la wenzako.Nachotaka kufaham kutoka kwako kama Mohammad (saw) alicopy bible je bibile imeandika kuhusu jua kuzunguka au mwezi kupasuka au mme mmoja wake zaid ya mmoja.Quran 15:26 haipo katika Quaran unayotumia . Je, huo wingi haupo?
Nini cha uongo hapo?
Kesho ni sikukuu sitaki kujihusisha na ubaguziOk, turudi kwenye mada , unalakuchangia?
Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "
Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran.
Katika Biblia, uumbaji ulifanyika kwa Trinity yaani MUNGU Baba(Jehovah), MUNGU Mwana(Yesu) na MUNGU Roho(Roho Mtakatifu).
Ndo mana katika uumbaji kuna wingi , " tumfanye mtu kwa mfano wetu " - Mwanzo 1:26
Tukirejea kwenye Kuran uumbaji umefanyika na wingi (We / Tulimuumba) . Swali : Je , Allah alishiriki na nani katika zoezi la uumbaji?
Ikumbukwe kuwa malaika hawakushiriki katika zoezi la uumbaji.
Kwa hiyo Allah ana washirika?Malaika walihusika kuumbwa mwanadam. Malaika ndo waletaji wa udongo sas sijui unawa-exclude kwa mising ipi
Mwamba kwenye swala la mwanaume mmoja kuoa wake zaidi ya mmoja hilo halipo mzee... imagine Tanzania wanaume ni 30m wanawake ni 31m hapo hata ukisema mwanaume mmoja aoe mke mmoja na robo wanawake wataisha na wanaume wengi hawatapata mke sembuse wake wanne? Hivi watu 60m ukitaka ratio ya mume mmoja wake wawili inabidi iweje? Inabidi wanaume tuwe 20m wanawake 40m, vipi tukitaka tuoe 3,4 unajua itakuwaje? Kuoa wake 2,3,4 sio agizo la Mungu, acha uzinzi.Hii si yako ni jibu la wenzako.Nachotaka kufaham kutoka kwako kama Mohammad (saw) alicopy bible je bibile imeandika kuhusu jua kuzunguka au mwezi kupasuka au mme mmoja wake zaid ya mmoja.
Qur-an inasema "Jua linazunguka.." wanasanyansi walibisha but now wamethibitisha jua linazunguka.. je ukristo unasemaje?
Mwez ulipasuka katikat kipindi cha mtume Mohammad (saw) .wanasayansi wamethibitisha hiv juz..Ukristo unasemaje kuhus mwez?
Uislam umesema mme mmoja wake zaid ya mmoja.Takwimu zinaonesha wanawake ni weng kuliko wanaume means uislam unasema kweli...vip ukristo unasemaje kuhusu mme na mke. Kama ni ratio ya 1:1 vip hili kundi la wanawake litakalo baki hali ya kuwa zinaa ni dhambi?
Acha mwananchi aeleze hisia zake hili ni jukwaa huru,muache atoe dukuduku lakeNa kwanini usiandike kwenye notepad yako private utuletee jukwaani?
Mwenyezi Mungu Mtukufu anajitukuza kwa utukufu wake ndipo anaongea kwa uwingi mbona jambo hilo liko wazi sana?Je hata kiyahudi ndivyo ilivyo?
Kwa sababu haya maneno , yaliandikwa na Musa , ambaye ni myahudi na aliaandika miaka maelfu kabla ya kuzaliwa Muhammad . Na Muhammad alisoma torah(kitabu cha Musa)
Mwanzo 1 : 26 " “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; . . . . .”
Phycological mtu anetukana hovyo hovyo kwenye mjadala huyo automatically Hana la kuongea(hoja)Hilo ni Likitabu La ibilisi.
Shetani + Roman + Mapepo + Mohamed + Majini = Quran...islamic
Unajua umoja na wingi?1.Malaika walihusika kuumbwa mwanadam. Malaika ndo waletaji wa udongo sas sijui unawa-exclude kwa mising ipi.
2.Kumekua na mijadala mingi juu ya wingi unaotumiwa na Allah (s.w) pamoja na dhamiri ya kiume "He".Mung hutumia wingi kuonesha ukubwa wake. Yeye ni mmoja lakin anaweza kufanya mambo zaid ya umoja wake. Kweny uislam debate za Allah(s.w) hazina mashiko sana kutokan na ukweli kwamba elimu tuliyopewa ni ndogo sana, zaid kumjadili mungu kwa undani zaid huishia kweny sintofaham. Mungu mwenyew anakwambia hana mshirika huo utatu unatoka wap..kweny familia kuna mda inazuka migogoro sababu ya nafasi, wew unadhan uwepo wa miungu watatu ni aman kwa ulimwengu ni vipi wakitofautian kimaamuzi.
Kingine Muhammad (s .w.a) hakucopy ,alicopy vip hali ya kua ajui kusoma na kuandika .Tujikite kweny vitu ambavy akili zetu zinaweza kuja na majib ata kama ni miaka 500 mbelen na sio kumchimba mungu zaid
Swali!
Kama Muhammad(s .w.a) alicopy bible ni kweli biblia inasema "Jua linazunguka " na "mwezi umepasuka"?.
Tuanzie hapa
Watu waliokuwa nyuma yake ndiyo walifanya hivyo.Si wanasema alikua hajui kusoma wala kuandika?
Ikawaje akaweza kuisoma na kuicopy pia
Vipi na pale jua kuzama kwenye matope!?Hii si yako ni jibu la wenzako.Nachotaka kufaham kutoka kwako kama Mohammad (saw) alicopy bible je bibile imeandika kuhusu jua kuzunguka au mwezi kupasuka au mme mmoja wake zaid ya mmoja.
Qur-an inasema "Jua linazunguka.." wanasanyansi walibisha but now wamethibitisha jua linazunguka.. je ukristo unasemaje?
Mwez ulipasuka katikat kipindi cha mtume Mohammad (saw) .wanasayansi wamethibitisha hiv juz..Ukristo unasemaje kuhus mwez?
Uislam umesema mme mmoja wake zaid ya mmoja.Takwimu zinaonesha wanawake ni weng kuliko wanaume means uislam unasema kweli...vip ukristo unasemaje kuhusu mme na mke. Kama ni ratio ya 1:1 vip hili kundi la wanawake litakalo baki hali ya kuwa zinaa ni dhambi?
Ongezeni likes hapaUthibitisho Kuwa Qur’an ni Neno la Mwenyezi Mungu (s.w)
a) Uthibitisho Kutokana na Qur’an Yenyewe
i. Kutojua kusoma na kuandika kwa Mtume Muhammad (s.a.w)
- Mtume (s.a.w) kutokujua kusoma na kuandika ni ushahidi tosha kuwa
asingeweza kutunga Kitabu mfano wa Qur’an. Rejea Qur’an (7:158), (29:48)
ii. Qur’an yenyewe inajieleza kuwa ni Kitabu cha Allah (s.w) kama ifuatavyo; “Uteremsho wa Kitabu hiki umetoka kwa Mwenyezi Mungu, Mwenye Nguvu na Mwenye Hikima” (45:2)
Pia rejea Qur’an (4:166), (32:2-3), (35:31), (25:1), n.k
iii. Hali aliyokuwa nayo Mtume (s.a.w) wakati akipokea wahyi
- Mtume (s.a.w) alikuwa akiogopa kuwa atasahau anayoteremshiwa, akawa na pupa kuyakariri, hii ni ushahidi kuwa hayakuwa maneno yake.
Rejea Qur’an (75:16-18), (87:6-7)
iv. Qur’an kushuka kidogo kidogo kwa kipindi cha miaka 23 kimatukio.
- Kama Qur’an aliitunga Mtume (s.a.w) angeliitunga yote kwa pamoja tena kwa haraka ili kuitumia kuongoza jamii.
Rejea Qur’an (17:106), (25:32), (76:23)
v. Mtume (s.a.w) kukosolewa ndani ya Qur’an
- Kama Mtume Muhammad (s.a.w) angelikuwa ndiye mtunzi wa Qur’an asingelikosolewa mara nyingi katika Kitabu alichokitunga mwenyewe. Rejea Qur’an (33:1-3), (66:1), (80:1-12), n.k
vi. Kutokea kweli matukio yalitabiriwa katika Qur’an
- Mifano ya matukio ni; Waislamu kuwashinda Warumi na Maquishi na kuwa katika hali ya furaha na amani, utabiri wa kuangamia Abu Lahab. Rejea Qur’an (30:2-3), (111:1-5), (93:4-5), (94:5-6), (48:1), n.k
vii. Mpangilio na muundo wa aya na sura za Qur’an wakati wa kushuka kwake na kuandikwa katika msahafu.
- Aya na sura za Qur’an zimepangiliwa ki-idadi na kimuundo kwa namna ya ajabu ambayo hakuna mwanaadamu yeyote anayeweza kufanya hivyo.
Mfano: neno mbingu saba limetajwa mara saba, neno “Yaum” (siku)
limetajwa mara 365, neno “shahri” (mwezi) limetajwa mara 12, n.k.
Rejea Qur’an (3:59), (2:87), (2:33-37), (20:115-121), n.k
viii. Wanaadamu kushindwa kutunga na kuandika Kitabu mfano wa Qur’an
- Qur’an imetoa changamoto kwa kuwataka wanaadamu kutunga kitabu au sura moja au aya moja tu mfano wa Qur’an hakuna aliyeweza.
Rejea Qur’an (17:88), (11:13), (2:23), (10:38), n.k
ix. Maudhui ya Qur’an na mvuto wa ujumbe wake
- Qur’an inaathiri na kugonga nyoyo za watu hata ambao si waislamu, mfano Umar Ibn Khattab na mshairi Labib ibn Rabiah kabla ya kusilimu. Rejea Qur’an (20:1-7), (4:82), (39:23), n.k
x. Ahadi ya Kuhifadhiwa na kulindwa Qur’an na kubakia katika asili yake
- Ni Qur’an pekee ambayo mwanaadamu hawezi kukiharibu kwa namna
yeyote ile ya kuongeza au kupungaza chochote.
Rejea Qur’an (15:9)
Nipe aya inayosema jua linazama matopeniVipi na pale jua kuzama kwenye matope!?
Uwe unaelewa kaka mme mmoja kwa wake zaid ya mmoja sio lazima.Means wapo watakaooa 1,2,3,4,so usichukulie hili jambo ni lazim [emoji2357][emoji2357][emoji848].SAS ikiwa ni ajabu mume mmoja kuoa wake zaid ya mmoja,kwa takwimu hizi za 30m na 31m itabid 1m ya wanawake wakose kuolewa,dini zonasema zinaa ni dhambi. Hao 1m service watapata wap [emoji2369]Mwamba kwenye swala la mwanaume mmoja kuoa wake zaidi ya mmoja hilo halipo mzee... imagine Tanzania wanaume ni 30m wanawake ni 31m hapo hata ukisema mwanaume mmoja aoe mke mmoja na robo wanawake wataisha na wanaume wengi hawatapata mke sembuse wake wanne? Hivi watu 60m ukitaka ratio ya mume mmoja wake wawili inabidi iweje? Inabidi wanaume tuwe 20m wanawake 40m, vipi tukitaka tuoe 3,4 unajua itakuwaje? Kuoa wake 2,3,4 sio agizo la Mungu, acha uzinzi.
_Wanasayansi gani wamethibitisha kwamba jua linazunguka?
_hilo la mwezi kupasuka point yako ni nini mzee! Kukopi sio lazima aandike yote ni wazi kwamba ataingiza na yake