Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

Hapa ntakupa jibu la akili tu basi ntakupa baadhi ya mifano na matumizi ya lugha katika kutafsiri..then ntakuuliza swali .

Katika matumizi ya lugha tuje kwa kiswahili tunapotafsiri ndo tunatumia "Tume" "Tuli" kama kuonyesha wingi..Sasa katika tafsiri ya maandiko yakimuhusisha Mungu ni dhahiri huo wingi unaonyesha "Mamlaka" na "nguvu" za Mungu ndo maana mnaamini Kuna malaika wawe anawatuma katika ishu zake kwa kuwacommanda hapa ni wala malaika watiifu sio mashetani so ni wingi kwa vile kuwa viumbe ambavyo Mungu anavituma na kufanya moja kwa moja kwa maelezo ya Mungu.

Je yesu alifanya miujiza kwa nguvu zake au kwa mamlaka Mungu 👉ndo maana yesu alitaka uamini Mungu kwanza ndo uponyaji wake utakuponya kwamba anatenda kupitia kupitia nguvu na mamlaka ya Mungu sio yeye ndo maana alimwambia yule mzee Iman yako imekuponya haya yote ni kufanya kwa mamlaka ya Mungu.

Katika mamlaka ya Mungu ambaye alikuwa na messengers (mitume) pamoja na malaiko wote walikuwa katika kufanya Yale aliyoyatuma ili kumfikia mwanadamu ,Alitumia viumbe vyake kama ambavyo ni tofauti na binadamu kama malaika na pia Alitumia miongoni mwa wanadamu ambao ni mItume walioishi katika Maisha halisi ya bidamu.

Mtoa mada 👉come and show us how God abide with trio?

Matumizi ya lugha👉 how sure you are that the almighty God is a man? Kwa nn mnaptafsiri kutoka kingereza katika pronoun ya Mungu tunaweka "He" na sio "she" or "It" ,je unao hakika Mungu ni mwanaume ?

Matumizi ya lugha 👉 neno "Mungu" herufi ya kwanza ni lazima iwe kubwa kama jina la mtu ,the same kwa kingereza lazima lazima useme "God" na sio god ni makosa
 
1.Malaika walihusika kuumbwa mwanadam. Malaika ndo waletaji wa udongo sas sijui unawa-exclude kwa mising ipi.
Haya ni maneno yako, na siyo ya Quran
Kifungu cha Quran kinacho onesha malaika walibeba udongo katika uumbaji
Muhammad (s .w.a) hakucopy ,alicopy vip hali ya kua ajui kusoma na kuandika .Tujikite kweny vitu ambavy akili zetu zinaweza kuja na majib ata kama ni miaka 500 mbelen na sio kumchimba mungu zaid
Je, Muhammad hakusoma Torah (Agano La Kale) na Injil?

Je , kwa nini ali confirm kuwa biblia(Torah & Injil ) ni vitabu vya MUNGU Quran 3 : 3
 
Na aya hizi vipi? Hayo Mambo ya lugha tu wew huyawezi
IMG_20221224_173408.jpg


Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud...
ni kawaida katika lugha ya kiarabu unaongea kwa uwingi kwa ajili ya kujitukuza
 
Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "

Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity) , lakini trinity ipo kwenye Kuran .

Katika Biblia , uumbaji ulifanyika kwa Trinity yaani MUNGU Baba(Jehovah) , MUNGU Mwana(Yesu) na MUNGU Roho(Roho Mtakatifu) .
Ndo mana katika uumbaji kuna wingi , " tumfanye mtu kwa mfano wetu " - Mwanzo 1:26

Tukirejea kwenye Kuran uumbaji umefanyika na wingi (We / Tulimuumba) . Swali : Je , Allah alishiriki na nani katika zoezi la uumbaji ?
Ikumbukwe kuwa malaika hawakushiriki katika zoezi la uumbaji.
Usijisumbue bure wewe hauna swali lolote utauliza ashindwe Muislamu kujibu
 
#Nikufunze

Sio kila kilichoandikwa na muislam ni mafundisho ya uislam. Kitabu cha waislam ni Qur-an na vitabu vichache vya hadithi za mtume Muhammad (pbh) so sio kila kitabu unapaswa kukiamin

Kuna kusilim na uislam ni vitu tofauti. Shetani sio muislam bali anaweza kusilim akawa shetani mzuri.Neno kusilim linamaana ya kusalim amri/Kujisalimisha .Shetani kamkosea Allah atakapo jirudi basi anakua Kasilim maana kajisalimisha kwa aliemuumba.

Mungu anaposema vimesilim vyote vilivyopo mbinguni na ardhin means vimejisalimisha kwake. Uislam ni kwaajir ya binadam na sio majini/shetani

Naendelea......
 
Mtu asiyejua kusoma na kuandika hawawezi kukueleza cha maana.
Atapatwa na hasira na kuanza kutukana. Hiyo dini ina mapungufu mengi sana ndiyo maana huwa hawataki mijadala ya dini.
Mtoa uzi angekuwa uarabuni angehukumiwa kifo kwasbb ameikosoa Quran
Hajaikosoa Quran bali amejikosoa ufahamu wake yeye mwenyewe
 
ni kawaida katika lugha ya kiarabu unaongea kwa uwingi kwa ajili ya kujitukuza
Je hata kiyahudi ndivyo ilivyo?
Kwa sababu haya maneno , yaliandikwa na Musa , ambaye ni myahudi na aliaandika miaka maelfu kabla ya kuzaliwa Muhammad . Na Muhammad alisoma torah(kitabu cha Musa)

Mwanzo 1 : 26 " “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; . . . . .”
 
Moja ya maneno nisiyopenda kusikia ni hapo kwenye kuvumiliana sijui kuheshimiana kuna upumbavu mwingi unafanywa kwa kivuli cha hayo mawili
Tusipangiane namna ya kuishi ilimradi hatuvunji sheria za nchi full stop....
Ina maana usipo vumilia ya mwenzako usiyo yapenda, lakini yeye anapenda basi mtapigana.
Mfano mimi muislam sipendi nguruwe, kwa hiyo nikachome mabucha ya nguruwe?
 
Ina maana usipo vumilia ya mwenzako usiyo yapenda, lakini yeye anapenda basi mtapigana.
Mfano mimi muislam sipendi nguruwe, kwa hiyo nikachome mabucha ya nguruwe?
Ukachome kwani ni kwako?
Huna haki ya kuchoma .
 
Ina maana usipo vumilia ya mwenzako usiyo yapenda, lakini yeye anapenda basi mtapigana.
Mfano mimi muislam sipendi nguruwe, kwa hiyo nikachome mabucha ya nguruwe?
Usijaze uzi kama huna cha kuongea, kuhusiana na mada husika , acha
 
Haya ni maneno yako, na siyo ya Quran
Kifungu cha Quran kinacho onesha malaika walibeba udongo katika uumbaji

Je, Muhammad hakusoma Torah (Agano La Kale) na Injil?

Je , kwa nini ali confirm kuwa biblia(Torah & Injil ) ni vitabu vya MUNGU Quran 3 : 3
Kitu ufaham qur'an inamafumbo mengi sana si rahis kuielewa kama utaki kuiamini.Mungu aliwashirikisha malaika katika kuumbwa mwanadam


Mohammad hakuwa anajua kusoma wala kuandika bali alikuwa anashushiwa wahyi na jibril na maswahaba zake wanaandika
Screenshot_20221224-174612_Quran.jpg
 
Kitu ufaham qur'an inamafumbo mengi sana si rahis kuielewa kama utaki kuiamini.Mungu aliwashirikisha malaika katika kuumbwa mwanadam


Mohammad hakuwa anajua kusoma wala kuandika bali alikuwa anashushiwa wahyi na jibril na maswahaba zake wanaandika View attachment 2456819
Hicho kifungu hakijibu hoja yako ya kufikirika ,
Kuwa malaika walishiriki katika uumbaji , kwa kubeba udongo
Nipe verse ya Kuran inayosema , malaika walibeba udongo - katika uumbaji
 
Allah ndo mola mlezi wa kila kitu shetani kuumbwa na Allah ni haki yake kunyenyekea.Hizi aya usome mpka mwisho shetani anasema "...ntawapoteza wanadam '

Allah anajib "....utawapoteza wale wasiomuamin allah"

Hivi vitu acheni kudanganyana makanisani, uislam ndo dini ya haki
 
Hicho kifungu hakijibu hoja yako ya kufikirika ,
Kuwa malaika walishiriki katika uumbaji , kwa kubeba udongo
Nipe verse ya Kuran inayosema , malaika walibeba udongo - katika uumbaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakupa aya inayonesha malaika walishirikishwa,unakata. Nimekwambia qur'an inatafsiriwa kwa hadithi au yenyew kwa yenyew. Kuna hadithi ya mtume inasema swala la udongo nenda kaitafute me nimeisahau.
 
Back
Top Bottom