Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

Nondo hii
 
MTUME MUHAMMAD NDANI YA BIBILIA

MUNGU ANAMWAMBIA IBRAHIM ATAKAYEMLITHI ATATOKA KATIKA VIUNO VYAKE

Mwanzo 15:3
Abramu akasema, Tazama, hukunipa uzao, na mtu aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye mrithi wangu.
Mwanzo 15:4
Nalo neno la Bwana likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.

ISHMAEL NDIO MTOTO WA VIUNO WA IBRAHIM

Mwanzo 16:3
Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe.
Mwanzo 16:4
Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.

MUNGU ANAAHIDI BARAKA KWA ISHMAEL

Mwanzo 16:11
Malaika wa Bwana akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana Bwana amesikia kilio cha mateso yako.
Mwanzo 16:12
Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote.

UZAO WA ISHMAEL

Mwanzo 25:12
Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Ibrahimu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Ibrahimu.
Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
Mwanzo 25:16
Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.

WATOTO WA ISHMAEL WALIISHI SAUDI ARABIA
Isaya 21:13
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
Isaya 21:14
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.
Isaya 21:16
Kwa sababu Bwana ameniambia hivi, Katika muda wa mwaka, kama miaka ya mtu mwenye kuajiriwa, utaangamia utukufu wote wa Kedari.

Nakuwekea ramani ya Saudi Arabia ya kale kuonyesha kuwa watoto wa nabii Ishmael waliishi Saudi Arabia

Pia nakuwe chat ya family tree kuanzia nabii Ishmael Hadi nabii Muhammad

Nabii Muhammad ametokana na mtoto wa Ishmael anayeitwa KEDARI
 
NGUZO ZA UISLAM

1) KUAMINI MUNGU NI MMOJA TU

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Yesu alikuwa muislam ndio maana hapo anashuhudia kuwa Mungu ni mmoja na yeye ametumwa na huyo Mungu mmoja

2) KUSALI KWA KUSUJUDU / paji la uso kugusa aridhi

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Yesu hapo anaomba huku paji lake la uso likiwa limegusa aridhi Yani amesujudu

2 Mambo ya Nyakati 7:3
[3]Wakatazama wana wa Israeli wote, uliposhuka ule moto, utukufu wa BWANA ulipokuwapo juu ya nyumba; wakasujudu kifulifuli hata nchi sakafuni, wakaabudu, wakamshukuru BWANA, wakisema, Kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake ni za milele.

KUNAWA KABLA YA KUINGIA KUFANYA IBADA
Kutoka 30:18-21
[18]Fanya na birika la shaba, na tako lake la shaba, ili kuogea; nawe utaliweka kati ya hema ya kukutania na madhabahu, nawe utalitia maji.

[19]Na Haruni na wanawe wataosha mikono yao na miguu yao humo;

[20]hapo waingiapo ndani ya hema ya kukutania; watajiosha majini, ili wasife; au hapo watakapoikaribia madhabahu ili watumike, kumteketezea BWANA sadaka ya moto;

[21]basi wataosha mikono yao na miguu yao ili kwamba wasife; na neno hili litakuwa amri kwao milele, kwake yeye na kwa wazao wake katika vizazi vyao vyote.

3) KUTOA ZAKA
Hi Haina ubishi Kila mtu anaijua

4) KUFUNGA SAUMU

Yeremia 36:9
[9]Basi, ikawa katika mwaka wa tano wa Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, katika mwezi wa kenda, watu wote waliokuwa katika Yerusalemu, na watu wote waliokuja Yerusalemu kutoka miji yote ya Yuda, wakapiga mbiu ya kufunga mbele za BWANA.

Yoeli 1:14
[14]Takaseni saumu, iteni kusanyiko la dini,
Wazee na wakusanye wenyeji wote wa nchi;
Waende nyumbani kwa BWANA, Mungu wenu,
Na kumlilia BWANA,

5) KUHIJI / KIBLA Kwa Sasa kibla ni msikiti wa maka waislam wote duniani wanapofanya ibada wanatakiwa waangalie huko na wenye uwezo waende huko

Waislam wa zamani pia walikuwa wanaenda hija walipo chaguliwa na Mungu

Kumbukumbu la Torati 12: Lakini mahali atakapochagua BWANA, Mungu wenu, katika kabila zenu zote, apaweke jina lake, maana, ni makao yake, elekezeni nyuso zenu hapo, nawe wende huko;

[6]pelekeni huko sadaka zenu za kuteketezwa, na dhabihu zenu, na zaka zenu, na sadaka ya kuinuliwa ya mikono yenu, na nadhiri zenu, na sadaka zenu za hiari, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yenu ya ng’ombe na ya kondoo;
 
Nondo Kama hizi tunaelewa watu kama sisi...! Maisha kama haya tunaishi watu kama sisi. Nguo nzuri kama hizi tunavaa watu kama sisi... NK.
Hivi kwanini tunapotaka kujitamba/kujimwambafai huwa tunatumia neno SISI na sio MIMI?

Ukiambiwa kuna aya zinasema hana mshirika wala hana mwana utazikubali?? Tu/we ni "plural of respect "tu kuonesha heshima Mungu ni mmoja hana mshirika
 
Ishmael alikuwa nabii?
 
Unarejea biblia usiyoiamini kuuhalalisha uislamu
 
Ndugu zangu wakristo tuache mipasho,,,hii mipasho sio tabia ya busara na wala haijengi..Ukiwa na jambo lako lielezee vile unalielewa kiundani kwa imani yako wewe,,huna haja ya kutumia maelezo mengi ya vitabu vingine vilivyo nje ya imani yako,,,wala huna haja ya kuuza wazo lako kwa kumfanya mwenzio awe chini ili atumike kukuonyesha wewe kuwa juu,,Biblia imejitosheleza wala hutakiwi kutafuta maelezo nje ya biblia kusisitizia jambo kwenye biblia..Labda kama umekuwa provoked..Soma biblia wasikilize wanaoijua biblia zaidi yako ili uwe deep.Watu wa dini nyengine wameshaamini na wanajua njia yao ni sahihi kushinda njia yako,,,sasa sisi tulipumzishe jukwaa la JAMII INTELIGENCE kuwe na maada endelevu na zisizo na ugomvi,,kashfa na dharau..TULIPUMZISHE JUKWAA LA INTELIGENCE.
 
Inatumia wingi siyo kuonesha ukubwa wake bali kuna kundi lipo linashirikiana naye
 
Kati ya Biblia na Quran ipi ilianza? Kama kitabu kimoja kilianza basi cha pili ni copy na paste yake.

Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Hapo Allah alikuwa na nani?
 
Unataka kuleta ukristo wako kwenye uislamu wangu
 
Kati ya Biblia na Quran ipi ilianza? Kama kitabu kimoja kilianza basi cha pili ni copy na paste yake.

Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Hapo Allah alikuwa na nani?
Kuanza kwa kitu haimaniishi kitakachofuata kitategemea hicho cha mwanzo hii ni " post hoc phallacy" .

Na kama bado una rely kwenye msimamo huo hii inamaanisha hata biblia ili copy kwenye vitabu vya kigiriki,kirumi,kiyunani, uhindu, dini za kimisri n.k maana hizo dini zilikuwepo muda kabla ya ukristo kuwepo na dini zote hizo nilizotaja kwa uchache wanaamini kwenye utatu wagiriki walikuwa na (zeus,hades na poseidon) wayunani walikuwa na (ahura mazda, ahura vouruna na mithra) warumi walikuwa na (jupiter, juno na minerva) wahindu mpaka sasa wana ( Brahma, shiva na vishnu ) wamisri walikuwa na (osiris, isis na horus) na nikupe mfano mmoja tu ukifuatilia kwenye greek religion zile za kale waikuwa na mungu wa pombe/wine (walikuwa wanakunywa wine kama kilevi cha miungu) aliitwa dionysus ambaye ni mtoto wa zeus (mungu mkuu wa wagiriki wa kale) huyu ndiye ambaye haswaa story nzima ya yesu imetokea yaani ni copy and paste unawez akuchimba zaidi.

Kingine quran ni devine revelation and as Allah ( the all knowing ) is not the author of confusion basi hata quran haina mkanganyiko wowote ninachokiona haswa ni pale watu kama nyie mnapojaribu ku twist reality ili iweze ku fit kile mnachokihitajia .

KUTUMIKA NENO SISI HAIMAANISHI WAPO WENGI HII INAONESHA UKUBWA NA NGUVU YAKE YEYE PEKEE ASIYE NA MWANZO ,MWISHO, WALA HAHITAJII WASAIDIZI , MKE , MTOTO WALA KUPUMZIKA .

NA AMEBAINISHA HILI VERY STRAIGHT KWENYE SURAT IQLAAS AYA YA KWANZA KABISA PAMOJA NA AYA NYENINGE NYINGI TU .
 
Umeanza vizuri baadaye ukaingia kwenye mtego wa the all knowing kuandika kitabu ambacho watu wanasema ni fabricated stories za bible na mila zingine.Ina maana the all knowing anacopy na kupaste tena kimakosa?
 
Umeanza vizuri baadaye ukaingia kwenye mtego wa the all knowing kuandika kitabu ambacho watu wanasema ni fabricated stories za bible na mila zingine.Ina maana the all knowing anacopy na kupaste tena kimakosa?
Keywords
".........ambacho watu wanasema ............."

Kwanza elewa quran haikushuka kama kitabu complete ilishuka kama aya pekee kutokana na matukio yaliyokuwa yanatokea hivyo ilishuka kidogo kidogo mtume muhammad (swalalah a'layhi wasalam) akawafundishwa maswahaba na wao wakaihifadhi kwa moyo .

Kwenye ukhalifa wa abubakar sidiq ( radhiallahu a'nhu) alimuagiza zayd ibn thabit (radhiallahu a'nhu) kuiandika yote kama walivyoihifadhi.

Unatakiwa kujua kwamba

Allah ( the almighty) ndiye aliyeumba kila kitu na kwa kila zama alikuwa analeta ujumbe na mitume na manabii wake woote walikuja na ujumbe mmoja ndiyo maaana kunakuwa na ufanano wa jumbe walizokuja nazo mitume ispokuwa kwa sheria chache sana .

Swali
Kama mnabaki na msimamo kuwa aliiga kwenye vitabu vya kiyahudi sasa ndo mtuambie mtu asiyejua kusoma na kuandika atawezaje kuiga vitabu ambavyo hata lugha yenyewe atakuwa haijui?
 
Kwa sasa hawapati huku, wako kule dipii wedi wanatukana TEC!
Watu wa ajabu sana, wanafikiri Bandari ni ya wakristo kumbe ni yao pia!
 
Unataka kuleta ukristo wako kwenye uislamu wangu
Kuran Ni copy and paste ya biblia.

Kuran Ni nusu ya biblia yote.

Uislam Ni dini na mafundisho ya kujitungia. Huyo mtume hajawahi kuwako. Watu waliona tu ukristo upate ukinzani. Watu walirekebisha Biblia ili kupata Biblia.

Uislam Ni dini ya uongo, uongo, ulaghai na ushirikina. Hamna dini mle. Kupoteza tu muda.

Nb: Biblia na ukristo ulikuwako miaka 700 kabla ya huo utapeli unaoitwa Uislam.
 
Hakuna dini inaitwa uislamu, Wala huyo sijui huyo mtume hajawahi kuwako.

Ulaghai ULAGHAI tu.

Ukristo na Biblia vimekuwako miaka 700 kabla ya watu fulani wahuni kukaa na kuiedit Biblia na kutengeneza kuran.Cha msingi kuwe na ukinzani.
 
Watu wa hadithi Hawa.

Hakuna matendo halisi ya nguvu ya mungu Bali hadithi, hadithi za kujitungia.

Mafundisho ya mwili lkn hajui Kuna roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…