010101
Senior Member
- Dec 12, 2022
- 168
- 370
- Thread starter
- #181
Kama Mfalme(WE) kajiwakilisha yeye na baraza la wazee(waziri/walio chini yake) - basi tunarudi kwenye wingi(Uumbaji umefanywa na utatu/wingi)Kwanini u assume hiyo "we" ni alishiriakina na huyo unaye assume na si majestic we?
Lakini ukitumia we , bila uwakilishi wa wanadamu waliochini yako . Basi kuna Mwili mmoja lakini kuna uwakilishi wa roho nyingi
Kama dhima yake ni kuonesha ukuu au ukubwa
Basi ingetumika na baba katika familia , na Mwalimu Mkuu katika Shule.