Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

Majestic Plural zinatumika kwa viongozi wakubwa tu(watawala). Kama Malkia na wafalme. Na hidden secret ya utawala wao , hua kuna roho zinamwongoza . Kwa hiyo ndo mana anatumia Tuta- , badala ya Nita-
Mangi na Plural We , wapi na wapi
Hizo hiden secrets na roho umeztoa wapi au wewe ndo umeawawekea hizo roho?
Sasa hapa nataka utuambie kama pope nae ana hiden secrets na roho znamuongoza
 
Attachments

  • IMG_20221101_195640_1.jpg
    IMG_20221101_195640_1.jpg
    123.7 KB · Views: 8
  • IMG_20221101_200519_1.jpg
    IMG_20221101_200519_1.jpg
    153.9 KB · Views: 7
Hizo hiden secrets na roho umeztoa wapi au wewe ndo umeawawekea hizo roho?
Sasa hapa nataka utuambie kama pope nae ana hiden secrets na roho znamuongoza
Pope?
Ndio, kwani yupo chini ya nani ? Siyo MUNGU?
 
Hili si jibu la swali nilo kuuliza
Hii sio mada ila unataka kuifanya kuwa mada
Majestic Plural zinatumika kwa viongozi wakubwa tu(watawala). Kama Malkia na wafalme. Na hidden secret ya utawala wao , hua kuna roho zinamwongoza . Kwa hiyo ndo mana anatumia Tuta- , badala ya Nita-
Mangi na Plural We , wapi na wapi
 
Ufunuo(unabii) maana yake ni Utabiri .
Kwenye biblia ya kingereza ufunuo - Prophecy(utabiri)

Na utabiri(ufunuo) wa Saudia Arabia ulikuwa ni vita ya wenyewe kwa wenyewe

Kutokuelewa ndiko kuna kukusumbua
Isaya 21:13
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.

Wewe ni nani aliyekuambia kuwa hu ufunuo/utabiri wa nabii Isaya kuhusu uzao wa Ishmael alikuwa anawatabiria vita?

Hata huyo Paulo aliyekuketea ukristo kwakuwa aliisima taurati alikuwa anajua kuwa Ibrahim ana maagano mawili Moja kwa Ishmael na lingine kwa Isihaka

Galatians 4:21-26
[21]
Niambieni, ninyi mnaotaka kuwa chini ya sheria, je! Hamwisikii sheria?
[22]
Kwa maana imeandikwa ya kuwa, Ibrahimu alikuwa na wana wawili mmoja kwa mjakazi, na mmoja kwa mwungwana.
[23]
Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwungwana kwa ahadi.
[24]
Mambo haya husemwa kwa mfano; kwa maana hawa ndio kama maagano mawili, moja kutoka mlima Sinai, lizaalo kwa utumwa, ambalo ni Hajiri.
[25]
Maana Hajiri ni kama mlima Sinai ulioko Arabuni, umelingana na Yerusalemu wa sasa; kwa kuwa anatumika pamoja na watoto.
[26]
Bali Yerusalemu wa juu ni mwungwana, naye ndiye mama yetu sisi.

Kuna mtume yoyote aliyetokana na uzao wa Ishmael zaidi ya Mtume Muhammad?
 
Kwani msingi wa mada ni nini kama Si hili neno royal we(Majestic plural)?
Vipi Binti yako
Akisema : Tutanyamaza
Badala ya nitanyamaza , alafu akuimbie wingi ni kuonesha udada(ukubwa). Hey, bro amka , hapo kuna roho mbili - siyo yeye mwenyewe
 
Vipi Binti yako
Akisema : Tutanyamaza
Badala ya nitanyamaza , alafu akuimbie wingi ni kuonesha udada(ukubwa). Hey, bro amka , hapo kuna roho mbili - siyo yeye mwenyewe
Hizo roho ni kwa mujibu wa nani?
 
Wewe ni nani aliyekuambia kuwa hu ufunuo/utabiri wa nabii Isaya kuhusu uzao wa Ishmael alikuwa anawatabiria vita?
Bro , hivi unajua kusoma?
Au haujui kiswahili ? Yawezekana haujui kiswahili , soma kingereza
Isaiah 21 : 13 - 17 (NIV)
13 A prophecy against Arabia:
You caravans of Dedanites,
who camp in the thickets of Arabia,
14 bring water for the thirsty;
you who live in Tema,
bring food for the fugitives.
15 They flee from the sword,
from the drawn sword,
from the bent bow
and from the heat of battle.

16 This is what the Lord says to me: “Within one year, as a servant bound by contract would count it,
all the splendor of Kedar will come to an end. 17 The survivors of the archers, the warriors of Kedar, will be few.”
The Lord, the God of Israel, has spoken.
 
Jibu swali hizo roho unazo zisema n kwa mujibu wa nani au kitabu gan?
Boss usinijazie uzi kwa utopolo. Hii mada majestic we
Kama We ipo kuonesha ukubwa , basi ingetumika kwa Mwalimu Mkuu -shuleni au Baba -akiwa kwenye familia
Lakini inatumika kwa viongozi wa juu tu
 
Boss usinijazie uzi kwa utopolo. Hii mada majestic we
Kama We ipo kuonesha ukubwa , basi ingetumika kwa Mwalimu Mkuu -shuleni au Baba -akiwa kwenye familia
Lakini inatumika kwa viongozi wa juu tu
Hili ndo jibu la swali nlo kuuliza?
Mi nataka kufahamu hizo hiden secrets na roho unazosema ni kwamujibu wa nani au kitabu gan?
 
Hili ndo jibu la swali nlo kuuliza?
Mi nataka kufahamu hizo hiden secrets na roho unazosema ni kwamujibu wa nani au kitabu gan?
Unataka vitu vya kiroho nikuthibitishie kimwili?
Wewe unaweza ukanionesha Alah yupo wapi? Mbona simuoni
 
Unataka vitu vya kiroho nikuthibitishie kimwili?
Wewe unaweza ukanionesha Alah yupo wapi? Mbona simuoni
Sihitaji kuziona hizo ''hiden secrets na roho'' , nachotaka utuoneshe hapa hizo hiden secrets na roho umezitoa wapi au katika andiko gan?
 
Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "

Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran.

Katika Biblia, uumbaji ulifanyika kwa Trinity yaani MUNGU Baba(Jehovah), MUNGU Mwana(Yesu) na MUNGU Roho(Roho Mtakatifu).
Ndo mana katika uumbaji kuna wingi , " tumfanye mtu kwa mfano wetu " - Mwanzo 1:26

Tukirejea kwenye Kuran uumbaji umefanyika na wingi (We / Tulimuumba) . Swali : Je , Allah alishiriki na nani katika zoezi la uumbaji?

Ikumbukwe kuwa malaika hawakushiriki katika zoezi la uumbaji.
Ikumbukwe Majestic We zinatumika kwa viongozi tu , na viongozi hao huwa kuna roho zinawaongoza . Ndo mana huwa kuna matumizi ya tuta- na sio nita-
Ikumbukwe kuna verse Allah ametumia I am na kwanini pale tu , ndipo alitumia wingi?
Rais akisema tumetoa fedha kwa wanachi il hali yeye ndo alotoa izo pesa je anamanisha nn?

Na je mtu akitoa sadaka husema sisi tumechangia kiasi hichi je huwa anamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom