Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

Hakuna dini inaitwa uislamu, Wala huyo sijui huyo mtume hajawahi kuwako.

Ulaghai ULAGHAI tu.

Ukristo na Biblia vimekuwako miaka 700 kabla ya watu fulani wahuni kukaa na kuiedit Biblia na kutengeneza kuran.Cha msingi kuwe na ukinzani.

Wanazuoni wengi wa madhehebu na vikundi mbalimbali vya Kikristo wamethibitisha kuwa sehemu kubwa ya maandiko ya Biblia ina mashaka makubwa juu ya uhalisia wake.

Katika utangulizi wa Ngano za Mungu mwenye Mwili, Mtunzi ameandika yafuatayo:

"Katika karne ya kumi na tisa, Wakristo wa Kimagharibi walifanya marekebisho makubwa mawili ili kuitikia wito wa kupanuka kwa elimu ya wanadamu: imekubalika kuwa mwanadamu ni sehemu ya maumbile na ameibuka kuwa ni miongoni mwa wanamageuzi wa mfumo wa maisha duniani; imekubalika kuwa vitabu vya Biblia vimeandikwa na watu tofauti tofauti katika matukio tofauti tofauti na haviwezi kukubaliwa kuwa ni utunzi wa Mungu wa neno kwa neno."

Katika gazeti la kimataifa la, Newsweek lililobeba makala yenye kichwa 'Oo Bwana, Nani Aliyeandika Dua hii?' kikosi cha wanatiolojia kutoka katika dhehebu kuu la kiporestanti, pamoja na Wasomi muhimu wa Biblia wa Kikatoliki nchini Marekani, baada ya ukaguzi wa kina wa miswada ya mwanzo kabisa ya Agano Jipya, wamehitimisha kuwa maneno pekee ya "Dua ya Bwana" ambayo yanaweza kunasibishwa barabara na Yesu Kristo ni "baba".

Na hilo, ni kwa mujibu wa wasomi hao wa kanisa, maneno yote yaliyokuja baada ya ibara ya kwanza, "Baba yetu", ambayo ni dua muhimu sana ya Kikristo, yaliongezwa karne nyingi na waandishi wa kanisa walionukuu miswada ya mwanzoni ya Injili.

Shirika la U.S News & World Report, linanukuu zaidi kuwa, kikundi cha wasomi kilisema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya maneno yaliyoandikwa katika Injili kumhusu Yesu huenda ni ya kubuniwa.

Miongoni mwa hayo likiwemo neno la Ekaristi ya Yesu katika Karamu ya Mwisho ("Chukua, kula. Huu ni mwili wangu…") na kila neno aliloambiwa kuwa amelitamka toka msalabani.

Dr. J.K. Elliott, wa kitengo cha Thiolojia na Tafiti za Kidini wa Chuo Kikuu cha Leeds, ameandika makala iliyochapishwa katika jarida la The Times, London (10 Septemba, 1987) yenye kichwa "Kutazama mizizi ya Biblia".

Ndani ya makala yake, ameeleza kuwa: "Zaidi ya miswada 5,000 inayojumuisha Agano Jipya lote au sehemu yake iliyo katika lugha ya asili.

Miswada hii imepangika katika madaraja ya kuanzia karne ya pili hadi kuvumbuliwa kwa uchapaji. Imekisiwa kuwa hakuna hata watu wawili wanaoafikiana kwa kila kitu.

Bila shaka, maandishi yote ya mkono yanastahili kuwa na makosa ya bahati mbaya wakati wa kunukuu. Hata hivyo, katika kazi za kitiolojia si jambo la kushangaza kuwa mabadiliko ya kufikirika sana yaliingizwa ili kuondosha au kubadili maelezo ambayo waandishi wanayaona kuwa hayapendezi.

Pia kulikuwa na mwelekeo wa wanukuzi wa kuongeza ufafanuzi au fasiri.

Mabadiliko ya hadhari yanadhaniwa kuwa yameingizwa katika zama za mwanzo kabla ya kuanzishwa hali ya kanisa ya Agano Jipya.

Mwandishi aliendelea kufafanua kuwa "hakuna hata mswada mmoja wenye matini isiyobadilishwa kutoka katika uasilia wa ukamilifu wake, na kwa hiyo, "hakuna awezae kuchagua mswada wowote miongoni mwa miswada hiyo na kuuamini kwa imani ya pekee eti mswada huo ndio wenye ukiritimba wa kuwa ndio maneno asilia ya watunzi."

Aliendelea kusema zaidi: "Kama mtu ataendelea kupinga na kudai kuwa maandiko asilia yamenusurika pahala fulani kwenye maelfu ya miswada iliyopo, basi mtu huyo atalazimika asome miswada yote hiyo, hatua kwa hatua, ili kukusanya tofauti miongoni mwa miswada hiyo, kisha atathimini, lahaja kwa lahaja, ili ajue ni mswada upi wenye [matini] asilia na upi ndio wa matini ya nafasi ya pili.

Matarajio kama hayo yaliwakatisha tamaa wasomi wengi wa Biblia walioaminia yaliyomo katika matini zilizochapwa za zama za mwanzo, wasomi hao walichukua ushahidi wa miswada waliyoiona kuwa ni bora.

Hata matoleo ya Agano Jipya kwa Kigiriki yaliyochapwa kisasa, vilevile mafafanuzi ya kisasa yametegemea chapa hizo za zama za mwanzo; kwa kawaida hufuata utaratibu huu wa kujenga matini zao kwa kutumia msingi finyu ambao hauonekani kuwa ni wa asili kikamilifu
 
Hakuna dini inaitwa uislamu, Wala huyo sijui huyo mtume hajawahi kuwako.

Ulaghai ULAGHAI tu.

Ukristo na Biblia vimekuwako miaka 700 kabla ya watu fulani wahuni kukaa na kuiedit Biblia na kutengeneza kuran.Cha msingi kuwe na ukinzani.
Alizaliwa katika mji wa Maka na akafa na kuzikwa katika mji wa Madina kaburi lake kipo Hadi Leo nenda ukalione
 
Katika kiarabu kuna wingi wa namba na wingi wa heshima. Don't confuse the two
 
Nenda kasome kuhusu "majestic plural". Ukishaijuwa hutopata shida.


Halafu nakushangaa sana, unataka ku jusify ukristo kupitia Qur'an?

Wewe onesha wapi Ukristo ni dini kwenye biblia.

Onesha wapi Yesu anasema "mimi Mungu" au "niabuduni".


Qur'an haitokusaidia kwenye imani yako.
 
Utatu Mtakatifu uwatatiza hata Wakristo wengine.
Utatu ni agizo la Yesu Kristo na lipo kwenye Biblia.
 

Attachments

  • Screenshot_20230916-084127.png
    60.4 KB · Views: 14
  • Screenshot_20230916-084721.png
    307.3 KB · Views: 4
hiyo "tulimuumba" inamaanisha kitu zaidi ya kimoja. au kwasababu elimu dunia huwa hawaihusudu sana hawajaelewa maana ya hayo maneno?
 
Pumbafu.....
 
Umepoteza muda kufundisha mtu mwenye nia ovu. Ameleta mada makusudi ili pawepo na mafarakano. Hana nia njema. Kwa hiyo haya uliyomfundisha hatoyasoma maana lengo lake ni kutukana.
 
Pumbafu!
 
Pumbafu
 
Ukristo sio dini wewe ajuza ni imani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…