Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

Nyie wapuuzi kweli, hao wamagharibi wenyewe kuingia kanisani ni ishu.
 
Hata fact zako ni za kuunga unga si kweli mikoa yenye wasomi wengi ndio walikuwa na mwamko WA elimu au wazazi wao walikuwa wanalima mazao ya biashara hivyo kuwafanya waelimike kuliko maeneo ambayo Yana waislam wengi! Kwa hiyo hizo fursa za kiuchumi zilikuwa zinafanya selection zikifika sehem zenye waislam wengi zinaruka zinaenda kwenye wakristo wengi! Na hiyo mikoa ni mbeya,bukoba, Arusha na Moshi ndio zilikuwa na shule nyingi za kikoloni kulingana na resistance ndogo kutoka Kwa wenyeji dhidi ya wamisionari Hali iliyopelekea hata baada ya Uhuru shule nyingi hazikujengwa Kwa wakati ktk mikoa mingine Kwa hiyo ikawaacha walio na shule waendelee kuwa na elimu na isiyo na shule ibakie hivyo hivyo Kwa hiyo malipo ya ukichapwa Kofi shavu la kulia geuza na la kushoto zawadi Yao ilikuwa ni elimu na wale waliokataa kugeuza shavu lingine hawakupewa elimu ingawaje hiyo ilipelekea class ya upande mwingine ambao ni waislam kukazania zaidi biashara na fursa zingine nje ya darasani na kutengeneza jamii yenye uchumi madhubuti
Alafu unaposema Fulani Hana elimu unazingatia criteria gani,hivi unajua uzito wa elimu ya madrasa ktk dini husika na jamii Kwa ujumla,laiti km zingezingatiwa sidhani km Leo ungekuwa unasikia ubadhilifu ktk maofisi mbalimbali Kwa hiyo huwezi sema eti Kuwa Fulani hajaingia kusoma aeiou Hana elimu.Japokuwa kwenye huu mtego hata waislam wanaingiaga kwenye huu mkenge wa kuamini kwamba hawana legacy yoyote kisa hawajasoma ni uongo na upotoshaji wa wazi.
Pia hakuna anayesoma shule za English Medium Leo ziwe za waislam au wakristo kwamba anapewa favour,hakuna cha favour wote ni wafanyabiashara Tu wanaoilaum kila siku serikali ili wapate national cake
 
Dini pekee duniani ni Uislam, kwa hiyo hawa jamaa wakiona Muislam anafanikiwa au kafanikiwa fnafsi zao zinawasuta na roho zinawauma "kwanini huyu?", wanashindwa kujizuwia.

Wamejazwa sana ujinga kuhusu Uislam, Waislam.

Uislam ni mwema sana, msiuogope. Uislam ndiyo uliowatoa tongo tongo hata hao wamisionari. Wasingekuwa na "Alphabet" kama siyo Alif, be, te.
 
Na ingekuwa hizo shule wamejenga Waislamu, Mkristo asinge tia mguu ili asome.
Kijana, unejazwa sana ujinga ukakujaa, hao Wakristo wamefaidisha nini badala ya kuzalisha wezi na watumwa tu?

Uislam ni mwema sana.
 
Kijana, unejazwa sana ujinga ukakujaa, hao Wakristo wamefaidisha nini badala ya kuzalisha wezi na watumwa tu?

Uislam ni mwema sana.
Mfano hai
Chuo mlichopewa na Mkapa pale Morogoro, hakuna Mwanafunzi hata mmoja Mkristo.
{Cc. TCU. kwanini hicho chuo hakina mwanafunzi Mkristo hata mmoja ?}

Hicho ni chuo cha bure, vipi mngekijenga kwa pesa zenu.

Halafu muwasomeshe mnaowaita Makafiri ili wawe na maisha bora.
Never on this planet

Yaani nyie ni jamii ya kibaguzi haijawahi kutokea toka dunia iumbwe.

Mmebaki na neno moja tu
"Sisi ndio wenye Dini"
 
Che...
Wewe una ulimi wa kuwasimanga Waislam leo?

Unaijua historia ya uhuru wa Tanganyika?
Wakati mwingine inabidi tuwasimange tu.
Hivi ni kwanini Waislamu hawaipi kipaumbele elimu Dunia?
Angalia wewe ulivyo msomi mzuri na naamini unaisaidia jamii yako na kulipa kodi Serikalini.

Kama Mwarabu alizingatia kuwapatia elimu ya dini tu, basi sio mtu wa kuaminika hata kwenye hiyo dini yake.

Mmishenari Mkristo kila alipoweka misheni yake alihakikisha anajenga shule, vyuo vya ufundi na huduma za kijamii kama Hospitali maduka ya mahitaji muhimu nk.
Huyu hata akileta Dini basi tunahitaji kuiamini.
 
MAONI NA HITIMISHO

Sisi wote ni watoto wa Mungu, kwa tofauti zetu ukuu wa Mungu ndipo unapodhihirika Mungu amependa tuwe tofauti, ndiyo maana kuna warefu, wafupi, wembamba, wanene, weupe, weusi, wazungu, waafrika, waarabu, wachina na wahindi.

Wote tunafanya ibada na kumcha Mungu kwa namna tofauti na hilo ndilo kusudio lake Mungu, je kuna haja yoyote ya kujistahilisha mema au ukuu mbele za Mungu? Sisi wakristu tunaonywa kwamba, tusijifanyie utukufu.

Methew 23:12

Whoever exalt himself will be humbled and whoever humble himself will be exalted

Katika mantiki hii, na kwa kweli nimependa sana uzi huu, kwanza mtoa uzi anakumbusha umma wa kiislamu kutoa shukrani, kwa kuhifadhiwa kielimu na wakristu. Siyo jambo baya unapokarimiwa kutoa shukrani, lakini pili nimeona mtoa uzi ameweka sala nzuri sana ambayo na mimi nitachukua sehemu kidogo ili nianze kusali.

Naomba nikiri, ukiachilia tofauti ya lugha, lakini sala nyingi za kikristu na kiislamu zina maudhui yanayo fanana. Wakatoliki tunayo masifu ya asubuhi na jioni, na sehemu kubwa ni kuomba toba, reheme, fadhila na ridhiki kutoka kwa Mungu

Hakikia kipande hiki cha sala kitakua sehemu ya moja ya ibada zangu kila siku.

SALA YA KUMUOMBA MSAMAHA MWENYEZI MUNGU NA KUMSHUKURU 24/7

1. EWE MWENYEENZI MUNGU, MWINGI WA REHEMA,
NINAKUOMBA NDANI YA NAFSI YANGU, UNISAMEHE MAKOSA YANGU YOTE NIYOTENDA KWA KUJUA, AU KWA KUTOKUJUA.

EWE MWENYEEZI MUNGU, UNAYAJUA MAKOSA YANGU YOTE
NINAKUOMBA UNISAMEHE. (RUDIA MARA 19)

2. EWE MWENYEENZI MUNGU, MWINGI WA REHEMA
NINAKUSHUKURU KWA NEEMA ZAKO ZOTE JUU YANGU MIMI,
ULIZO NIJAALIA, UNAZO NIJAALIA NA UTAKAZO NIJAALIA.
EWE MWENYEENZI MUNGU KWA DHATI YA NAFSI YANGU, NINAKUSHUKURU. (RUDIA MARA 19)

SIKU YA JUMAMOSI
MUDA WA KUSWALI
USIKU: KUANZIA SAA 5:00 USIKU MPAKA SAA 11:00 ALFAJIR

MCHANA NI KUANZIA SAA 12:30 ASUBUHI MPAKA SAA 12:30 JIONI


Tuendelee kupendana na kushirikisha yale yalioyo meme, ili siku moja tukutane huko mbinguni, wote ni watoto wa Mungu hivyo hatuna budi kuishi tukipendana.
 
Majibu ya maana kwani mtoa mada kauliza swali? Yeye anataka shukrani tu, kwani nyie makafiri hii lugha ya kiswahili mumeitoa wapi? Mbona hamuwashukuru waliowaletea hii lugha?
Una wazimu wewe, kiswahili ni kibantu na mimi ni mbantu labda nimshukuru julius MWENYEHERI kwa kukikuza
KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME
 
Che...
Unasema hivyo kuwa Waislam hatuthamini elimu kwa kuwa huijui historia yetu.

Waislam ndiyo watu wa mwanzo kujua kusoma, kuandika na hisabati.

Zonaitwa 3Rs.
Reading, Writing and Arithmetic.

Haya kaeleza Abel Ishumi paper hii ipo Maktaba Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam.

Waislam baada ya uhuru kupatikana waliitisha Muslim Congress chini ya EAMWS Agenda ikiwa Elimu.

Walianza kujenga shule na mwaka wa 1968 wakaana ujenzi wa Chuo Kikuu jiwe la msingi aliweka Julius Nyerere.

Wakati ujenzi unataka kuanza serikali ikavunja EAMWS na kuunda BAKWATA.

Huu ndiyo ukawa mwisho wa ujenzi wa shule na Chuo Kikuu.

Waislam wakabakishiwa mgogoro wa kuikataa BAKWATA serikali nayo ikilizimisha kuwa BAKWATA ndiyo wawakilishi pekee wa Waislam Tanzania.

Historia hii nimeieleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes.
 
Uongo mkubwa sana huu.
 
Soma historia ya pattern distrubution of colonial schools and colleges? Kwanini sehemu kama ujiji tabora pwani hawakua colonial schools? Its was a delibarate move to segregate muslim community from colonial education,
Acha upotoshaji, wazungu wakoloni waliweka shule na huduma nyingine muhimu sehemu walizokaa au zilizokuwa na maslahi kwao zaidi na ndio maana hizo shule zilijengwa Kaskazini na nyanda za juu Kusini zaidi kwa wingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…