Kanisa linaloua albinoJidanganye
KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisa linaloua albinoJidanganye
KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME
Vipi watoto wa mamdogo wamesoma bure? Je unaona wanapaswa kutoa shukrani kwa elimu waliyoipata?Watoto wa madogo wangu ni waislamu na wao ni waislamu ila shule watoto wao wamepelekwa za seminari hadi wanamaliza..
Anasema nachojataka watoto wangu wapate elimu bora
Nyie wapuuzi kweli, hao wamagharibi wenyewe kuingia kanisani ni ishu.Ofisi zipi za umma unaziongelea?Mahospitali?mashule?
Madaktari wanapokutibia huwa wanafamya uwakala wa vigango?Walimu wanapokufundisha huwa wanafanya uwakala wa vigango?
Vipi wahandisi?
Nao ni mawakala wa vigango?
Ifike mahala uanze kuheshimu taaluma za watu wanaogusa maisha yako ya kila siku.
Hakuna namna utailwepa elimu ya kimagharibi kwenye kugusa maisha yako.umagharibi ni ukristo.
Leo unapata nguvu ya kujieleza humu JF thanks kwa elimu ya kimagharibi/ambao msingi wake ni ukristo
Ukweli ni mchungu inabidi uumeze.
MK ni msee wa nduthi?Hiyo ni uongo kabisa buana,MK254 ni nduthi bwana, na ako na phd ndani.
Dini pekee duniani ni Uislam, kwa hiyo hawa jamaa wakiona Muislam anafanikiwa au kafanikiwa fnafsi zao zinawasuta na roho zinawauma "kwanini huyu?", wanashindwa kujizuwia.Kila kukicha ni waislam, waislam, waislam, hivi wamewakosea nini nyie wagalatia msio na akili? Nyie wagalatia wasomi mmelisaidia nini taifa? Mbona kila kukicha ni kelele kutoka kila upande kuwa maisha ni magumu ikiwa nchi ina rasilimali kibao?
Acha upumbavu wewe mtu mzima, uzee unakujia vibaya baada ya kusaka teuzi bila mafanikio.
Kijana, unejazwa sana ujinga ukakujaa, hao Wakristo wamefaidisha nini badala ya kuzalisha wezi na watumwa tu?Na ingekuwa hizo shule wamejenga Waislamu, Mkristo asinge tia mguu ili asome.
Mfano haiKijana, unejazwa sana ujinga ukakujaa, hao Wakristo wamefaidisha nini badala ya kuzalisha wezi na watumwa tu?
Uislam ni mwema sana.
Wakati mwingine inabidi tuwasimange tu.Che...
Wewe una ulimi wa kuwasimanga Waislam leo?
Unaijua historia ya uhuru wa Tanganyika?
Na kuhalalisha ushoga?Kanisa linaloua albino
Una wazimu wewe, kiswahili ni kibantu na mimi ni mbantu labda nimshukuru julius MWENYEHERI kwa kukikuzaMajibu ya maana kwani mtoa mada kauliza swali? Yeye anataka shukrani tu, kwani nyie makafiri hii lugha ya kiswahili mumeitoa wapi? Mbona hamuwashukuru waliowaletea hii lugha?
😂😂😂 sema wazee wa ubani na chetezo wewe mvaa deraKanisa linaloua albino
Che...Wakati mwingine inabidi tuwasimange tu.
Hivi ni kwanini Waislamu hawaipi kipaumbele elimu Dunia?
Angalia wewe ulivyo msomi mzuri na naamini unaisaidia jamii yako na kulipa kodi Serikalini.
Kama Mwarabu alizingatia kuwapatia elimu ya dini tu, basi sio mtu wa kuaminika hata kwenye hiyo dini yake.
Mmishenari Mkristo kila alipoweka misheni yake alihakikisha anajenga shule, vyuo vya ufundi na huduma za kijamii kama Hospitali maduka ya mahitaji muhimu nk.
Huyu hata akileta Dini basi tunahitaji kuiamini.
Uongo mkubwa sana huu.Dini pekee duniani ni Uislam, kwa hiyo hawa jamaa wakiona Muislam anafanikiwa au kafanikiwa fnafsi zao zinawasuta na roho zinawauma "kwanini huyu?", wanashindwa kujizuwia.
Wamejazwa sana ujinga kuhusu Uislam, Waislam.
Uislam ni mwema sana, msiuogope. Uislam ndiyo uliowatoa tongo tongo hata hao wamisionari. Wasingekuwa na "Alphabet" kama siyo Alif, be, te.
Acha upotoshaji, wazungu wakoloni waliweka shule na huduma nyingine muhimu sehemu walizokaa au zilizokuwa na maslahi kwao zaidi na ndio maana hizo shule zilijengwa Kaskazini na nyanda za juu Kusini zaidi kwa wingi.Soma historia ya pattern distrubution of colonial schools and colleges? Kwanini sehemu kama ujiji tabora pwani hawakua colonial schools? Its was a delibarate move to segregate muslim community from colonial education,
ClimateWho determine areas of cash crop production?
Who decided on the climate?Climate