Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

Toa hoja usiongee kwa hisia kwa sababu wewe ni tabaka fulani. Yeye katoa hoja na wewe toa hoja zako utasikilizwa . Acha kupayuka.
 
Mzee wa Pumba
Kama kawaida yako
Baada ya kuona teuzi zinakupita pamoja na kumsifia sana Mama sasa umeamua kama mbwai iwe mbwai
Halafu umeandika kitoto sana bila vituo, mkato wala hata paragraph hujui kuzipangilia
Dini pembeni, kuna watu mnachekesha sana. Huoni vituo kwenye andiko la Paschal? Huoni aya zilizopangwa vizuri?

Ajabu, wewe ndiye huna vituo, wala aya zilizopangiliwa. Boriti na kibanzi.
 
Proved,
Unaamini hIvyo kwa kuwa hujui historia kwanza ya Dar es Salaam ilikuwaje mwaka wa 1929 wakati Cecil Matoka anachaguliwa President wa AfricanAssociation wala 1953 Julius Nyerere alipochaguliwa kuwa President wa TAA 1953.

Kwanza Cecil Matola kama Mkristo alikuwa aniashi Mission Quarter ambayo ni sehemu wakoloni waliitenga maalum kwa Wakristo.

Wagawe uwatawale.

Cecil mathalan angetaka kiwanja kujenga nyumba Kariakoo asingepewa angepewa kiwanja Mission Quarter.

Halikadhalika angetafuta chumba cha kupanga Kariakoo angeambiwa na mwenye nyumba aende Mission Quarter.

Mimi nimezaliwa hali hii nimeikuta.

Unadhani katika hali hii Cecil Matola angeweza kweli kuwa mtu wa kuwaita watu kwenye jambo lolote na wakamsikiliza?

Unawajua waasisi wa AA ambayo wewe unataka uaminike kuwa kiongozi wake alikuwa Cecil Matola?

Cecil Matola aliwekwa pale na hawa wenye mji wao kwa kuwa walitaka jambo lao liwe na nguvu ya umoja: Kleist Abdallah Sykes, Mzee bin Sudi, Ibrahim Hamisi, Suleiman Majisu, Ali Said Mpima na Zibe Kidasi.

Historia iliyoandikwa kabla ya kitabu cha Abdul Sykes majina haya yameondolewa katika historia ya TANU hutayasoma popote.

Dr. Kyaruzi kachaguliwa kuwa President wa TAA 1950 kwa shinikizo kubwa ya kutaka mabadiliko ili TAA iwe chama cha siasa kamili.

Aliyesimamia hili kuuondoa uongozi wa wazee ndani ya TAA alikuwa Schneider Abdillah Plantan na waliokuwa wanatolewa katika uongozi walikuwa President Thomas Saudtz Plantan na Secretary Clement Mohamed Mtamila.

Kazi hii ya kuibadili TAA kuwa chama cha siasa walikabidhiwa Abdul Sykes (Secretary) na Dr. Kyaruzi wakiwa wajumbe wa TAA Political (Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Said Chaurembo, Hamza Mwapachu, Steven Mhando na John Rupia).

Abdul Sykes na Schneider Plantan ni mtu na mwanae.

Schneider ni ndugu yake Kleist Sykes na wote walilelewa nyumbani kwa Chief Mohosh Shangaan (Affande Plantan).

Hizi ndizo zilikuwa siasa za nyakati zile mtu baki hachukui uongozi hadi wenye chama chao na wenye mji wao wakubali.

Julius Nyerere kachaguliwa TAA President 1953 kwa kukubaliwa na viongozi wa TAA baada ya mazungumzo yaliyofanyika nyumbani kwa Hamza Mwapachu, Nansio Ukerewe kati ya yeye mwenyewe Mwapachu, Ali Mwinyi Tambwe Secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) na Abdul Sykes aliyekuwa TAA Secretary na Act. President mwaka wa 1953.

Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa.

Historia hii ilikuwa huikuti popote katika vitabu vya historia ya TANU.

Historia ya uchaguzi wa 1953 kati ya Abdul Sykes na Nyerere kugombea nafasi ya uongozi wa TAA angalia video hapo chini:


Thomas Plantan

Dr. Vedasto KyaruzI

View: https://youtu.be/6gNznDTSEwY
 
Soma historia ya pattern distrubution of colonial schools and colleges? Kwanini sehemu kama ujiji tabora pwani hawakua colonial schools? Its was a delibarate move to segregate muslim community from colonial education,
These schools were mostly built in the places where production was at large scale.. Not otherwise
 
We Mzee banaa, eti wenzio hawajui Historia ila wewe mwenyewe ndio wajua

Mara Historia hii ulikuwa huipati popote, kwani wewe umeipata wapi? Au ulikuwepo mwaka 1929? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Aliyeyaondoa hayo majina ni nani? Na ni lini Mzee?
 

kwani hizo shule za mission zinasomwa Bure???
Mbona kilimanjaro na Arusha zipo nyingi tu ila Ada inaendana na hizo nyingine za private hivyo mtu anachagua mtoto akasome wapi kulingana na hela yake na kupenda kwake; Sasa kwanini walazimike kutoa shukrani kwa huduma waliyolipia?

Ni sawa na hizi Hospitali wanaita za Mission, sioni zikiwa na unafuu wowote wa bei pamoja na kupewa ruzuku kubwa tu kutoka kwa walipa kodi wa madhebu yote wakiwemo Waislam.
 
Kwa hoja hizi Ina maana waushukuru ukoloni na madhira yake?

Kwa hoja hizi Babu zetu waliopigana vita vya ukombozi, hawakuwa na maana?

Kwa hoja hizi utaitukuza pia biashara ya utumwa maana Ili paves way kuja ukoloni.

Kwa hoj hizi utaendelea kuitukuza miungu ya kigeni na ukoloni wao wa kudumaza akili na fikra chanya za waafrika?

Kwa hoja hizi sioni fikra Wala ndoto jumlisha maono kwa mtoa mada kuja kuwa kiongozi
 
Ola et rabora~Sala na kazi.

Nimekumbuka enzi za Namupa seminary Lindi,shule aliyosoma Che mkapa na Benard Membe.

Ila paskali umelewa Leo!!w

Ola et rabora~Sala na kazi.

Nimekumbuka enzi za Namupa seminary Lindi,shule aliyosoma Che mkapa na Benard Membe.

Ila paskali umelewa Leo!!
Mhmm Mzee wa Chitumba mambo vipi
Ola et rabora~Sala na kazi.

Nimekumbuka enzi za Namupa seminary Lindi,shule aliyosoma Che mkapa na Benard Membe.

Ila paskali umelewa Leo!!
 
Mbona majizi mengi ya nchii hii ni hayo maislamuu, hayana upeo wowote kutwaaa kuiba na kuendekeza ufisadi wa kutishaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…