Ila waislam walisoma Madrasa baada ya shule na sio kama unavyoelewa wewe Mr P
Tulikuwa tunasoma maadili na dini pia na zilikuwa sio shule kama za mission ambapo unasoma masomo yote
Unaposema washukuru ina maana wasomi wote walisoma bure?
Wengine walisomea nje kwa msaada wa serikali pia
Madrasa zimefundisha nidhamu, heshima, maadili na Quran pia na hadithi za mitume pia
Leo vyeti mnapata kwa kuingiliwa na watu mkipata PhD za mchongo mnakuja kutusumbua
Weka list ya majizi serikalini kwa majina pia hapo ndio utajua madrasa zimetusaidia kuwa waaminifu wengi wetu