Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

Hâta huelew ulichoandika umesoma Mada?
Waislamu walikalia kuvaa kubaz na kukalia ilmu akhera , wakristo wakajenga shule,ndipo na waislamu wakapata fursa ya kusoma
Nyie mlivyo na roho mbaya ingelikuwa shule ni zenu asingesoma mkristo
we tapeli mkubwa unaongea nn ? kaoshe meno ya kuoza hayo ...Hiyo elimu mmefikia wapi mwaka 2024 ndio mnaunga satellite kwa vifaa vya kununua
 
Listen! Colonialism wasn’t just a random or accidental thing. They had motives following the Industrial development in Europe in that era. That’s why It was necessary to send some agents like explorers etc to give them a picture before they come and establish their powers.

Colonialism was a business though it may be seemed like a medley of stuffs like exercise of power and domination, civilization etc.. So everything they did was economical..
Was encouraging missionary schools and segregating muslims from secular education economical?how economical was it?
 
Siku zote nilikuwa namuona Paskal Mayala mtu mwenye upeo mkubwa, Leo nimeona ni mtu mmpumbavu kabisa.

Unakuja na mada ya kuwagawa watanzania badala ya kuwajenga, hivi kuna tofauti gani kati ya hao wanao lalamika na wewe sasa?.

Jee na wewe unahisi unatakiwa kuwashukuru Wazaramu kwa kukuachia kuishi Dar?. Kama wakristo wasomi kweli kwanini miji ilio endelea ni yenye jamii ya waislamu wengi tu?.
Hakuna mkristo anayependa kucheka na muislamu hata siku moja kwa vile ni waoga tu , maana wakianzisha vurugu waislamu wana misimamo ila roho zao ni ngumu.

Chukulia mkoloni alikuwa analazimisha watu wawe waislamu kwa lazima ndio wasome.
 
Hii ni kweli , tangu mwaka 1885 waislamu walitengwa kweny elimu mpaka uwe mkristo ndio unasoma , elimu yenyewe ya kuletwa ilikuwa inatolewa kwa mafungu .

Miaka yote hiyo wameshindwa kubomoa uislamu , nchi hii waislamu walipata tabu sana mpaka uhuru kwa ubaguzi wa wagalatia.
Kikwete kasoma shule ya wakatoliki vipi alibadili dini?
Hizi hekaya Huwa mnadanganywaga Na Hao masheikh wenu wasiosoma
 
Hakuna mkristo anayependa kucheka na muislamu hata siku moja kwa vile ni waoga tu , maana wakianzisha vurugu waislamu wana misimamo ila roho zao ni ngumu.

Chukulia mkoloni alikuwa analazimisha watu wawe waislamu kwa lazima ndio wasome.
Kikwete amesoma shule ya wakatoliki vipi alibadili dini?
Akili zako zinalingana na Hao masheikh Wako wenye elimu ya memkwa wanaowadanganya
 
Kikwete kasoma shule ya wakatoliki vipi alibadili dini?
Hizi hekaya Huwa mnadanganywaga Na Hao masheikh wenu wasiosoma
Ndio watawala wa enzi hizo unalijua hilo , kwani hiyo elimu imeandaliwa na wakatoliti ? Ndio kwamba elimu imeanzishwa na wakatolki .

We fala usiongee kama mjinga mkoloni ndio alileta dini yenu na kutaka kuutoa uislamu .
 
Huelew Mada hoja sio kusoma bure,hoja ni uwepo WA shule
Wakristo wasingejenga shule mngelipa wapi Hizo ada?
Walijenga wazungu hizo shule na missionaries walikuja na kujenga shule ili kuwabadili watu weusi kutoka kwenye mila zetu na kuwa wakristo kama huelewi hilo

Unasema sielewi mada au wewe ndio unaandika usichokijua
 
Ndio watawala wa enzi hizo unalijua hilo , kwani hiyo elimu imeandaliwa na wakatoliti ? Ndio kwamba elimu imeanzishwa na wakatolki .

We fala usiongee kama mjinga mkoloni ndio alileta dini yenu na kutaka kuutoa uislamu .
Mpuuzi weee si umesema Ili usome ilibidi ubadili dini ? Sasa nimekuuliza kikwete alibadili?
Ujinga ndio Huwa unawasumbua nyiee wavaa majuba
 
Mpuuzi weee si umesema Ili usome ilibidi ubadili dini ? Sasa nimekuuliza kikwete alibadili?
Ujinga ndio Huwa unawasumbua nyiee wavaa majuba
Kamuulize babu yako , kaulize mzee Makamba alikuwa anatumia utambulisho gani kweny dini ? kaulize kikwete alikuwa anatumia utambulsho gani /

Usisahau kuosha meno kama umekula kinyesi.
 
Hakuna mkristo anayependa kucheka na muislamu hata siku moja kwa vile ni waoga tu , maana wakianzisha vurugu waislamu wana misimamo ila roho zao ni ngumu.

Chukulia mkoloni alikuwa analazimisha watu wawe waislamu kwa lazima ndio wasome.
Ndivyo mnavyodanganyana hko misikitini? No wonders nyie elimu ilishawapita kushoto laZma muongee ghahawa tu
 
Ila waislam walisoma Madrasa baada ya shule na sio kama unavyoelewa wewe Mr P
Tulikuwa tunasoma maadili na dini pia na zilikuwa sio shule kama za mission ambapo unasoma masomo yote
Unaposema washukuru ina maana wasomi wote walisoma bure?
Wengine walisomea nje kwa msaada wa serikali pia
Madrasa zimefundisha nidhamu, heshima, maadili na Quran pia na hadithi za mitume pia
Leo vyeti mnapata kwa kuingiliwa na watu mkipata PhD za mchongo mnakuja kutusumbua

Weka list ya majizi serikalini kwa majina pia hapo ndio utajua madrasa zimetusaidia kuwa waaminifu wengi wetu
Ndugu Black Sniper ,wewe madrasa haijakusaidia kwa kweli.
Huwezi kujiita Black Sniper kama kweli ulipita madrasa na kufuzu.
Wewe utakuwa umesomea ujinga kama apendavyo kuandika dada FaizaFoxy .
 
Ndivyo mnavyodanganyana hko misikitini? No wonders nyie elimu ilishawapita kushoto laZma muongee ghahawa tu
Mbona mmeshindwa kubadili watu wote , hapo ndio ujue dini ya kweli ni ipi ....Mmebaki walevi na wizi 😀 😀 😀 😀

Jinga mpaka leo hayana ugunduzi

Nyie ndio wajinga mnadanganya kuja kutawala nchi kupitia CHADEMA, hamshindi ng'o hatuwezi kuongozwa wa matapeli , wale TEC hawana sauti mpaka wanaenda kusema kwa kiongozi wao vatican .
 
Back
Top Bottom