Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwani Mzee Mohamed Said ana maoni gani juu ya jambo hili? Je, na yeye ni mnufaika wa elimu iliyotolewa na Kanisa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante nimefahamu, kama ndivyo sawa washukuru.Hawakulipa ada, hakuna aliyelioa ada hata mmoja kwasababu hakukuwa na huo utaratibu....IQ na Performance ndio zilizingatiwa
Toa hoja usiongee kwa hisia kwa sababu wewe ni tabaka fulani. Yeye katoa hoja na wewe toa hoja zako utasikilizwa . Acha kupayuka.Siku zote nilikuwa namuona Paskal Mayala mtu mwenye upeo mkubwa, Leo nimeona ni mtu mmpumbavu kabisa.
Unakuja na mada ya kuwagawa watanzania badala ya kuwajenga, hivi kuna tofauti gani kati ya hao wanao lalamika na wewe sasa?.
Jee na wewe unahisi unatakiwa kuwashukuru Wazaramu kwa kukuachia kuishi Dar?. Kama wakristo wasomi kweli kwanini miji ilio endelea ni yenye jamii ya waislamu wengi tu?.
Dini pembeni, kuna watu mnachekesha sana. Huoni vituo kwenye andiko la Paschal? Huoni aya zilizopangwa vizuri?Mzee wa Pumba
Kama kawaida yako
Baada ya kuona teuzi zinakupita pamoja na kumsifia sana Mama sasa umeamua kama mbwai iwe mbwai
Halafu umeandika kitoto sana bila vituo, mkato wala hata paragraph hujui kuzipangilia
Proved,
These schools were mostly built in the places where production was at large scale.. Not otherwiseSoma historia ya pattern distrubution of colonial schools and colleges? Kwanini sehemu kama ujiji tabora pwani hawakua colonial schools? Its was a delibarate move to segregate muslim community from colonial education,
We Mzee banaa, eti wenzio hawajui Historia ila wewe mwenyewe ndio wajuaProved,
Unaamini hIvyo kwa kuwa hujui historia kwanza ya Dar es Salaam ilikuwaje mwaka wa 1929 wakati Cecil Matoka anachaguliwa President wa AA.
Kwanza Cecil Matola kama Mkristo alikuwa aniashi Mission Quarter ambayo ni sehemu wakoloni waliintenga maalum kwa Wakristo.
Cecil mathalan angetaka kiwanja kujenga nyumba Kariakoo asingepewa angepewakiwanja Mission Quarter halikadhalika angetafuta chumba cha kupanga Kariakoo angeambiwa na mwenye nyumba aende Mission Quarter.
Mimi nimezaliwa hali hii nimeikuta.
Unadhani katika hali hii Cecil Matola angeweza kweli kuwa mtu wa kuwaita watu kwenye jambo lolote nawakamsikiliza?
Unawajua waasisi wa AA ambayo wewe unataka auminike kuwa kiongozi wake alikuwa Cecil Matola.
Cecil Matola aliwekwa pale na hawa kwa kuwa walitaka jambo lao liwe na nguvu ya umoja: Kleist Abdallah Sykes, Mzee bin Sudi, Ibrahim Hamisi, Suleiman Majisu, Ali Said Mpima na Zibe Kidasi.
Historia iliyoandikwa kabla ya kitabu cha Abdul Sykes majina haya yameondolewa katika historia ya TANU hutayasoma popote.
Dr. Kyaruzi kachaguliwa kuwa President wa TAA 1950 kwa shinikizo kubwa ya kutaka mabadiliko ili TAA iwe chama cha siasa kamili.
Aliyesimamia hili kuuondoa uongozi wa wazee ndani ya TAA alikuwa Schneider Abdillah Plantan na waliokuwa wanatolewa katika uongozi walikuwa President Thomas Saudtz Plantan na Secretary Clement Mohamed Mtamila.
Kazi hii ya kuibadili TAA kuwa chama cha siasa walikabidhiwa Abdul Sykes (Secretary) na Dr. Kyaruzi.
Abdul Sykes na Schneider Plantan ni mtu na mwanae.
Schneider ni ndugu yake Kleist Sykes na wote walilelewa nyumbani kwa Chief Mohosh Shangaan (Affande Plantan).
Hizi ndizo zilikuwa siasa za nyakati zile mtu baki hachukui uongozi hadi wenye chama chao na wenye mji wao wakubali.
Julius Nyerere kachaguliwa TAA President 1953 kwa kukubaliwa na viongozi wa TAA baada ya mazungumzo yaliyofanyika nyumbani kwa Hamza Mwapachu, Nansio Ukerewe kati ya yeye mwenyewe Mwapachu, Ali Mwinyi Tambwe Secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) na Abdul Sykes aliyekuwa TAA Secretary na Act. President mwaka wa 1953.
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa.
Historia hii ilikuwa huikuti popote katika vitabu vya historia ya TANU.
Who determine areas of cash crop production?These schools were mostly built in the places where production was at large scale.. Not otherwise
🤣🤣🤣🤣Dini pembeni, kuna watu mnachekesha sana. Huoni vituo kwenye andiko la Paschal? Huoni aya zilizopangwa vizuri?
Ajabu, wewe ndiye huna vituo, wala aya zilizopangiliwa. Boriti na kibanzi.
Nadhani ni mwendolezo za chuki za udini lakini baada ya miaka 20 ijayo hatokua na nafasi ya kueleza chuki za udini tena kwani vizazi vyao vimeamka kwa speed sanaBrother mayala kwani waislamu wamekufanya nini mwezi huu wa sita.? Mada zako kama siku elewi elewi.
Proved,
Unaamini hIvyo kwa kuwa hujui historia kwanza ya Dar es Salaam ilikuwaje mwaka wa 1929 wakati Cecil Matoka anachaguliwa President wa AfricanAssociation wala 1953 Julius Nyerere alipochaguliwa kuwa President wa TAA 1953.
Kwanza Cecil Matola kama Mkristo alikuwa aniashi Mission Quarter ambayo ni sehemu wakoloni waliintenga maalum kwa Wakristo.
Cecil mathalan angetaka kiwanja kujenga nyumba Kariakoo asingepewa angepewakiwanja Mission Quarter halikadhalika angetafuta chumba cha kupanga Kariakoo angeambiwa na mwenye nyumba aende Mission Quarter.
Mimi nimezaliwa hali hii nimeikuta.
Unadhani katika hali hii Cecil Matola angeweza kweli kuwa mtu wa kuwaita watu kwenye jambo lolote nawakamsikiliza?
Unawajua waasisi wa AA ambayo wewe unataka auminike kuwa kiongozi wake alikuwa Cecil Matola.
Cecil Matola aliwekwa pale na hawa kwa kuwa walitaka jambo lao liwe na nguvu ya umoja: Kleist Abdallah Sykes, Mzee bin Sudi, Ibrahim Hamisi, Suleiman Majisu, Ali Said Mpima na Zibe Kidasi.
Historia iliyoandikwa kabla ya kitabu cha Abdul Sykes majina haya yameondolewa katika historia ya TANU hutayasoma popote.
Dr. Kyaruzi kachaguliwa kuwa President wa TAA 1950 kwa shinikizo kubwa ya kutaka mabadiliko ili TAA iwe chama cha siasa kamili.
Aliyesimamia hili kuuondoa uongozi wa wazee ndani ya TAA alikuwa Schneider Abdillah Plantan na waliokuwa wanatolewa katika uongozi walikuwa President Thomas Saudtz Plantan na Secretary Clement Mohamed Mtamila.
Kazi hii ya kuibadili TAA kuwa chama cha siasa walikabidhiwa Abdul Sykes (Secretary) na Dr. Kyaruzi.
Abdul Sykes na Schneider Plantan ni mtu na mwanae.
Schneider ni ndugu yake Kleist Sykes na wote walilelewa nyumbani kwa Chief Mohosh Shangaan (Affande Plantan).
Hizi ndizo zilikuwa siasa za nyakati zile mtu baki hachukui uongozi hadi wenye chama chao na wenye mji wao wakubali.
Julius Nyerere kachaguliwa TAA President 1953 kwa kukubaliwa na viongozi wa TAA baada ya mazungumzo yaliyofanyika nyumbani kwa Hamza Mwapachu, Nansio Ukerewe kati ya yeye mwenyewe Mwapachu, Ali Mwinyi Tambwe Secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) na Abdul Sykes aliyekuwa TAA Secretary na Act. President mwaka wa 1953.
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa.
Historia hii ilikuwa huikuti popote katika vitabu vya historia ya TANU.
Historia ya uchaguzi wa 1953 kati ya Abdul Sykes na Nyerere kugombea nafasi ya uongozi wa TAA angalia video hapo chini:
View attachment 3029269
Thomas Plantan
View attachment 3029272
Dr. Vedasto KyaruzI
View: https://youtu.be/6gNznDTSEwY
Wanabodi,
Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu Waislamu.
Shule za serikali zilikuwa chache na zilichukua wanafunzi wachache tena vichwa kweli kweli, hivyo Watanzania wengi waliemika kupitia Shule za Mission.
Elimu ya madrasa iliwahusu Waislamu pekee, lakini shule za serikali na shule za Mission zilichukua watu wa dini zote bila ubaguzi wowote.
Hivyo Watanzania wengi wa zamani waliobahatika kusoma elimu ya secondary, walisoma shule za misheni.
Kilichofanya Wakristo wengi zaidi kuwa ni wasomi kuliko Waislamu, ni changamoto ya ada za shule.
Watoto wa mikoa yenye mazao ya biashara, waliweza kusoma zaidi kwasababu wazazi wao waliweza kulipa ada, kutokana na kupata kipato, lakini watoto wa mikoa ambayo haikuwa na mazao ya biashara ikiwemo mikoa yote yenye Waislamu wengi, hawakubahatika kupata elimu ya kisasa.
Hali hii ilipelekea hata uendeshaji wa harakati za uhuru, kuongozwa na wasomi Wakristo, mfano vyama vyote vya siasa vilivyopigania uhuru, kuanzia AA kiliongozwa na Mkristo, Cecil Matola, TAA ikaongozwa na Dr. Vedastus Kyaruzi na TANU ikaongozwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Kitu kizuri sana Shule za Mission zilichowafanyia Watanzania, akitokea Mwanafunzi very bright, akafanya vizuri mitihani yake na kufaulu vizuri, wale waalimu wa shule za Mission, usually makasisi, waliwachukua watoto hao na kuwasomesha bure, hivyo ndio wengi wa wasomi wa Kiislamu walivyopatikana, hivyo watu kama Juma Mwapachu na nduguye Bakari, kina Hamza Aziz, Inspector Rashid na Waislamu wengi wa enzi hizo, walisoma sekondari kwa hisani ya Shule za Mission.
Hisani hii, sio kwa ndugu zetu Waislamu pekee, hata Wakristo kutoka maeneo ambayo hawana mazao ya biashara, hivyo umasikini wa kipato unasababisha watoto wao hawezi kulipiwa ada, na kutosoma sana.
Hivyo wasomi wa mikoa ya Singida na Dodoma, kama kina John Samwel Malecela na nduguye Job Lusinde, washukuru sana Mission, vinginevyo bila hisani ya Shule za Mission, kuna watu wangeishia kuchunga mbuzi au kupiga dufu au kuadhini tuu lakini sasa ni wasomi wazuri na waandishi mahiri kwa hisani ya Shule za Mission.
Hivyo hili ni bandiko la kuwakumbusha ndugu zetu Waislamu waliofaidika na hisani ya kusomeshwa shule za Mission, wakumbuke fadhila, wawe ni watu wa shukrani, wawashukuru sana Wakristo, wazishukuru shule za Mission walizosomea, na kuwashukuru wale Makasisi waliowaokoa.
Ukifadhiliwa, usiwe mtovu wa fadhila, haiwezekani mtu ufadhiliwe shule za Mission, halafu kila uchao ni kuwabeza tuu Wakristo na kuwatukuza Waislamu, mara kulalamikia mfumo Kristo, mara kulalamika....
Inaendelea
Paskali
Hoja nilio itowa hapo kama elimu dunia jamii ya wakristo ndio walionayo mbona maendeleo mengi yapo kwenye jamii ya waislamu wengi?.Toa hoja usiongee kwa hisia kwa sababu wewe ni tabaka fulani. Yeye katoa hoja na wewe toa hoja zako utasikilizwa . Acha kupayuka.
Ola et rabora~Sala na kazi.
Nimekumbuka enzi za Namupa seminary Lindi,shule aliyosoma Che mkapa na Benard Membe.
Ila paskali umelewa Leo!!w
Mhmm Mzee wa Chitumba mambo vipiOla et rabora~Sala na kazi.
Nimekumbuka enzi za Namupa seminary Lindi,shule aliyosoma Che mkapa na Benard Membe.
Ila paskali umelewa Leo!!
Ola et rabora~Sala na kazi.
Nimekumbuka enzi za Namupa seminary Lindi,shule aliyosoma Che mkapa na Benard Membe.
Ila paskali umelewa Leo!!
Mbona majizi mengi ya nchii hii ni hayo maislamuu, hayana upeo wowote kutwaaa kuiba na kuendekeza ufisadi wa kutishaa.Ila waislam walisoma Madrasa baada ya shule na sio kama unavyoelewa wewe Mr P
Tulikuwa tunasoma maadili na dini pia na zilikuwa sio shule kama za mission ambapo unasoma masomo yote
Unaposema washukuru ina maana wasomi wote walisoma bure?
Wengine walisomea nje kwa msaada wa serikali pia
Madrasa zimefundisha nidhamu, heshima, maadili na Quran pia na hadithi za mitume pia
Leo vyeti mnapata kwa kuingiliwa na watu mkipata PhD za mchongo mnakuja kutusumbua
Weka list ya majizi serikalini kwa majina pia hapo ndio utajua madrasa zimetusaidia kuwa waaminifu wengi wetu