Listen! Colonialism wasn’t just a random or accidental thing. They had motives following the Industrial development in Europe in that era. That’s why It was necessary to send some agents like explorers etc to give them a picture before they come and establish their powers.Who determine areas of cash crop production?
Halafu wote ndugu zake, nyumba yao na Baba yake zinaangaliana milangoYaani mpaka saizi yule mzee hajafika na mabandiko yake ya "watu flani wanakandamizwa na wizara ya elimu" haya ni maajabu.
Dini yao inachangia pakubwa kuwadumaza kielimuHalafu wote ndugu zake, nyumba yao na Baba yake zinaangaliana milango
SanaaDini yao inachangia pakubwa kuwadumaza kielimu
Imagine unakuta kiongozi wao darasa la memkwa kaishia na midevu anawaambia msikitini ilmu Dunia ni ukafiri,Ila likiumwa busha linaenda hospital linahidumiwa na ma doctor waliisoma ilmu ya kikafir 😀😀Sanaa
Umeelewa Mada?Pasco bwana!
Walilipa ada au walipewa scholarship? Washukuru kwanini?
Unazungumzia miaka ipi? Wakati wa Middle school kama alivyoeleza mleta mada au miaka hii?kwani hizo shule za mission zinasomwa Bure?
Mbona kilimanjaro na Arusha zipo nyingi tu ila Ada inaendana na hizo nyingine za private hivyo mtu anachagua mtoto akasome wapi kulingana na hela yake na kupenda kwake
Ni sawa na hizi Hospitali wanaita za Mission, sioni zikiwa na unafuu wowote wa bei pamoja na kupewa ruzuku kubwa tu kutoka kwa walipa kodi wa madhebu yote
Imekupenya eeDaah mkuu mbona unaleta udini kwenye Elimu,Wakati dini zenyewe tumeletewa na wakoloni..
Astakhafirullah na anatumia sindano na dawa za kikafiri badala atumie za kisunnaImagine unakuta kiongozi wao darasa la memkwa kaishia na midevu anawaambia msikitini ilmu Dunia ni ukafiri,Ila likiumwa busha linaenda hospital linahidumiwa na ma doctor waliisoma ilmu ya kikafir 😀😀
Sikuelewa, nimeeleweshwa na mtu hapo juu.Umeelewa Mada?
Je wangelipaje Ada kama kusingelikuwepo shule?
Ni wajinga wakishakunywa ghahawa ni kudanganya à hko misikitiniHao wanaoleta habari ya mfumo Kristu hawana upeo, kwasababu watakuwa hawajafaidi elimu ya mission, unaanza vipi kuulaumu mfumo Kristu ikiwa wapo marais waislamu waliopata kuitawala hii nchi? kwanini wasingeubadilisha huo mfumo?
Nini sababu ya mfumo Kristu? kwa kuwa waislamu wengi hawakubahatika kupata elimu mapema, matokeo yake nafasi nyingi za uongozi zikashikiliwa na kina John?
If yes, hilo ni kosa la nani? walitaka taasisi za nchi ziongozwe na wajinga ilimradi tuweke mizani sawa ya dini/imani?! au serikali iache baadhi ya nafasi wazi ili kuwasubiri wao wapate elimu?
Hata kama wengi wao hawakuwa na upeo wa kupelekwa shule za mission, kwanini wazazi wao wasingewapeleka shule za kawaida kupata elimu ya dunia, badala ya kuwekeza madrasa?
All in all, taasisi za taifa ikiwemo serikali haziongozwi na dini/imani ya mtu, zinaongozwa na watu wenye elimu na uelewa wa eneo husika, kuleta habari ya imani kwenye mambo ya msingi kama uongozi wa taasisi mbalimbali za serikali nalo ni kosa.
Huelew Mada hoja sio kusoma bure,hoja ni uwepo WA shuleIla waislam walisoma Madrasa baada ya shule na sio kama unavyoelewa wewe Mr P
Tulikuwa tunasoma maadili na dini pia na zilikuwa sio shule kama za mission ambapo unasoma masomo yote
Unaposema washukuru ina maana wasomi wote walisoma bure?
Wengine walisomea nje kwa msaada wa serikali pia
Madrasa zimefundisha nidhamu, heshima, maadili na Quran pia na hadithi za mitume pia
Leo vyeti mnapata kwa kuingiliwa na watu mkipata PhD za mchongo mnakuja kutusumbua
Weka list ya majizi serikalini kwa majina pia hapo ndio utajua madrasa zimetusaidia kuwa waaminifu wengi wetu
Hâta huelew ulichoandika umesoma Mada?Elimu ya kuletwa tu hii , ukoloni ulianza 1885 baada ya mkutano wa BERLIN ,mlilazimisha mtu abadili dini jdio asome .
Hii ni kweli , tangu mwaka 1885 waislamu walitengwa kweny elimu mpaka uwe mkristo ndio unasoma , elimu yenyewe ya kuletwa ilikuwa inatolewa kwa mafungu .Sina uhakika kama utawala wa kikoloni ulikuwa ukiwabagua Watanganyika kwa misingi ya dini. Kama si baba yake, basi ni babu yake Jakaya Kikwete. Alikuwa mmoja wa viongozi kipindi cha ukoloni, kama sijakosea. Nafikiri alikuwa mkuu wa wilaya.
Nipo sahihi?
HII hekaya ulidanganywa katika masjid IPI?Kwa nn wakoloni walilazimika kutawala nchi yote na kushurutisha watu wawe wakristo