Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
Sasa niambie aliyeruhusu uwepo wa hayo matendo mabaya(Vishawishi) ni nani?Lengo
Lengo ni kupata viumbe watiifu ambao wamefuata amri za Mola wao walipwe Kwa matendo Yao mema
Na
Wabaya walipwe Kwa matendo Yao,kwenda motoni
Naona hili swali ameshindwa kujibuUmekuwa unaikumbatia Sana hoja ya Uhuru WA kuchagua kuzaliwa,naona hii ndo inakubeba Sana
Naomba unijibu swali hili!
Je unakuwa hai Kwanza kabla ya kuzaliwa?
Kwa kusema hivyo ni kwamba umekubali hoja muhimu ya Kiranga kwamba mwanadamu hana uhuru wa kuchagua kitu chochote ambacho kiko nje ya kile mungu alichopanga si ndio?Mungu hatupi nafasi hiyo kwa sababu
Yeye ndio mpangaji wa kila kitu na ndio muamuzi wa kila kitu katika dunia hii
Na kwani ulikuwa hai kabla ya kuzaliwa??Kwa kusema hivyo ni kwamba umekubali hoja muhimu ya Kiranga kwamba mwanadamu hana uhuru wa kuchagua kitu chochote ambacho kiko nje ya kile mungu alichopanga si ndio?
Mkuu umeniuliza swali ambalo mimi halinihusu...hakuna pahala nimeongea mambo ya kuzaliwa au kutokuzaliwa.Na kwani ulikuwa hai kabla ya kuzaliwa??
Ukilijibu hili swali nami nitajibu la kwako
Au ulipokuwa mtoto mdogo ulikuwa unachagua kula ugali badala ya kunyonyeshwa?
Mkuu umeniuliza swali ambalo mimi halinihusu...hakuna pahala nimeongea mambo ya kuzaliwa au kutokuzaliwa.
swali langu ni kwamba kwa mujibu wa post yako hapo juu, unakubali kwamba binadamu hawezi kufanya kitu ambacho ni nje ya mipango ya mungu? nakuomba Usichanganye swali langu na la kiranga.
Kuwa mpangajibwa kila kitu si sababu.Mungu hatupi nafasi hiyo kwa sababu
Yeye ndio mpangaji wa kila kitu na ndio muamuzi wa kila kitu katika dunia hii
Siwi hai kabla ya kuzaliwa.Umekuwa unaikumbatia Sana hoja ya Uhuru WA kuchagua kuzaliwa,naona hii ndo inakubeba Sana
Naomba unijibu swali hili!
Je unakuwa hai Kwanza kabla ya kuzaliwa?
Kuwa mpangajibwa kila kitu si sababu.
Kwa sababu, kuwa mpangaji wa kila kitu hakumzuii kutupa uhuru wa kuchagua tuzaliwe au tusizaliwe.
Sasa, kwa sababu unasema Mungu ndiye mpqngaji wa kila kitu, kwa nini kaamua tuzaliwe bila kuchagua?
Kwa nini hajatupa uhuru wa kuchagua tuzaliwe au tusizaliwe? Hususannkwa sababu tunaambiwa Mungu katupa uhuru wa kuchagua mambo, sasa kqma Mungu hatupi uhuru wa kuchagua tuzaliwe au tusizaliwe, hapi tunabuhuru gani wa kuchagua?
Ukisema Mungu ndiye mpangaji hujajibu swali, umekubali kwamba huna jibu.
Mimi sijasema Mungu si mpangaji, ninekuuliza kwa nini kapanga hivi na si vile, hususan kwa sababu hivi alivyopanga kuna contradict habari nzima ya uhuru wetu kuchagua?
Hujajibu swali. Umekubali huna jibu.
Yani unaambiwa Mungu ndiye mpangaji wa kila kitu, halafu mtu akikosea, dhambi ni ya mtu.Kwa kusema hivyo ni kwamba umekubali hoja muhimu ya Kiranga kwamba mwanadamu hana uhuru wa kuchagua kitu chochote ambacho kiko nje ya kile mungu alichopanga si ndio?
Unataka kuniambia Mungu wako muweza yote alishindwa kutupa uchaguzi wa kuamua tuzaliwe au tusizaliwe kabla hatujazaliwa?Naomba nikuulize tena
Kama huwi hai kabla ya kuzaliwa, na unahitaji kupewa nafasi ya kuchagua yale utakayo sasa utachaguaje kama hauko hai??
#jibu unalifahamu lakini hutaki kulielewa
Kwa hivyo sheria ya nchi mtu akiikiuka ni nchi ndio imefanya makosa??Yani unaambiwa Mungu ndiye mpangaji wa kila kitu, halafu mtu akikosea, dhambi ni ya mtu.
Hivi hili linaingia akilini?
vyema..kwa kutokana na jibu lako nikisema kwamba fate ya mwanadamu anayei-determine ni mungu unakubaliana nami?Mithali 19:21 Mna hila nyingi moyoni mwa mtu; Lakini shauri la Bwana ndilo litakalosimama.
Hivyo it's true kwamba
Binadamu hawezi kufanya kitu ambacho ni nje ya mipango ya Mungu
Sheria ya Mungu wako muweza yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni sawa na sheria ya nchi inayowekwa na watu wasio na uwezo wote, ujuzi wote wala upendo wote?Kwa hivyo sheria ya nchi mtu akiikiuka ni nchi ndio imefanya makosa??
Unataka kuniambia Mungu wako muweza yote alishindwa kutupa uchaguzi wa kuamua tuzaliwe au tusizaliwe kabla hatujazaliwa?
Kama hakushindwa, kwa nini hakutupa nafasi hiyo?
Kama alishindwa, je, huyo Mungu kweli ni muweza yote?
Ni mfano nimechukuliaSheria ya Mungu wako muweza yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni sawa na sheria ya nchi inayowekwa na watu wasio na uwezo wote, ujuzi wote wala upendo wote?
Naamvyema..kwa kutokana na jibu lako nikisema kwamba fate ya mwanadamu anayei-determine ni mungu unakubaliana nami?
Mimi nikajua ili uwe uko lazima uwe na majini maana naona wengi wao wana majini na kujisifu na kupiga watu biti mtaani kabisa.hayo masuala ya majini na ushirikina ni mambo ya kimilia ya kiswahili na kiafrika. Hayana mahusiano kabisa na uislamu.
Uislamu ulishaeka wazi kuwa uchawi na ushirikina unamtoa mtu ndani ya uislamu, ni dhambi kubwa yao kuliko zote.
Vyema. kwa kutokana na jibu lako,nikikwambia watu wa kuingia motoni na mbinguni mungu anakua kashawapanga tayari tunakubaliana katika hilo?Naam
Vyema. kwa kutokana na jibu lako,nikikwambia watu wa kuingia motoni na mbinguni mungu anakua kashawapanga tayari tunakubaliana katika hilo?