Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Inategemea unaongea kutoka Kona ipi, sis wakristo tunaamin shetan alikua malaika akaasi yeye pamoja na group la Malaika kadhaa wakalaaniwa wakatupwa kuzimuHakuna Malaika waasi mkuu futa hiyo dhana katika kichwa fasta
Malaika ni viumbe Safi Sana WA Mwenyezi Mungu na ndio wasaidizi wake,hawezi kuwa na viumbe wa ovyo.
Ingia darasani Kwanza ndo uje na hizo hoja zako
Shukrani
Mwogope Mungu mkuuWaislamu wengi hawaufahamu uislamu wao.
Maimamu wao hawaambii kabisa namna mwislamu mtu na mwislamu Jini wanayoshiri pamoja kwenye dini yao, hadi wamwamini sana muumini huyo ndio wana mwambia hiyo habari
Mi nikiongea nao najua uelewa wao huwa nawaacha tu.
Uko ushirika mkubwa sana kati ya baadhi mashehe na majini maislamu ndio maana unaona kuwa baadhi ya mashehe wanatabiri nyota na kuagua na kuganga wanafanya hivyo kwa kuwezeshawa na majini
Na mwasisi ni Mtume Muhammadi mwenyewe.
Alikuwa anashiri dini pamoja na majini kama alivyoshiriki na waislamu watu.
Hiyo yenu sio sahihi kabisa,mmepotoshwa na waandishi WA biblia.Inategemea unaongea kutoka Kona ipi, sis wakristo tunaamin shetan alikua malaika akaasi yeye pamoja na group la Malaika kadhaa wakalaaniwa wakatupwa kuzimu
Alikuwa anafanyaje mkuu?Mimi sijaongelea ushirikiano wa Uchawi kati ya mwislamu mtu na mwislamu Jini.
Mimi naongelea ushikiano mzuri wa dini kati ya mwislamu mtu na mwislamu Jini.
Kama alivyokuwa anafanya Mtume Muhammadi.
Ungenielewa vizuri ungeniuliza maswali ya kueleweka.
Sawa amini unavypenda hautupunguzii chochoteUISLAMU NI DINI YA SHEHETWAINIII.
ndivyo walivyokudanganya kanisani kwako si ndio....hakuna kitu kama hicho ndugu yangu...Rudi kajifunze upya dini..unapo sali baada ya kumaliza unageuka kulia na kushoto kuwasalimu wakina nani kama sio majini.
Uislamu na majini ni samaki na maji.
#MaendeleoHayanaChama
Pole Sana mkuuHuwezi yakandia majini au kuyakana sababu yanatambulika vizuri na yana sura yao kabisa. Usilete Ukristo wako kwenye Uislamu kutaka kuyafanya yaonekane mabaya.
Unaonyesha jinzi ulivyo mpuuziHayo majini na mashwetwani wanayoyakumbatia na kuyafuga ndio hayo hayo yanayowafanya wauwe na kujilipua..wachukie wasio waaislamu..waandamane kukataa kujengwa kwa makanisa..wachome moto makanisa na matendo mengine ya hovyo ambayo sio mazuri kwa mwanadamu mwenye dini na aliye staarabika.
Hakika hayo mapepo yawatoke mana ndio chanzo cha jihadi na ugaidi.
#MaendeleoHayanaChama
Sio sahihi kivip we jamaa unavituko ni sahii 100, sio sahii kwakoHiyo yenu sio sahihi kabisa,mmepotoshwa na waandishi WA biblia.
Ebu tafakari hivi,Malaika wameumbwa Kwa nuru na majini Kwa Moto,je Malaika anaweza kuwa jini tena?
Au wewe umeumbwa Kwa udongo unaweza kuwa jini?
Think big mkuu
Huo uongo mkuuSio sahihi kivip we jamaa unavituko ni sahii 100, sio sahii kwako
Mapokeo yenu ndo sio sahii sisi ni sahii na hakuna uongo na bible imethibitisha hilo
Nimesoma coment hii nikaipenda na inakujibuWaislam wote mnafuga majini.......acheni kujitetea
Ukiona huna jini Basi ujue ww bado upo shallow sana
Kweli kabisa mkuuNimesoma coment hii nikaipenda na inakujibu
"Wakristo wengi hawana elimu yoyote juu ya uislam kwaiyo, wanategemea propaganda za uongo na bila kujaribu kutafuta ukweli huziamini; Watu watakuja kuhukumiwa kwa kutotafuta ukweli!
Wewe jifunze herufi za Kiswahii kwanza, ujue tofauti ya "alafu" na "halafu", kabla ya kujitutumua kujibizana nami.Huna kipya, alafu unavyokomalia uthibitishiwe who are you
Kwa hio ambato manake ni tuvijana , kivumishi udogo😁 daa kumbe nabishana na tahiraUnajiaibisha. Hiyo bi adjective na neno "Tuvijana" hiyo ni kivumishi au adjective ya kuonesha udogo. Au kudogosha....nlijua tu ni maamuma wewe.
Jazakallahu kheir Al akhyWallah Allah akulipe badala kwa elimu nzuri sana mkuu...ukafiri na ujinga ni vitu pacha kaka wape elimu.
Ananipa kupitia hao majini aliowaumbaMungu kashindwa kukupa utajiri?
Thibitisha kwamba hao majini wapo kweli na habari za kuwapo kwao si hadithi tu.Wapo Majini wa Kiislamu wanaokuja kuswali katika misikiti ya Waislamu.
Wengine wanakuja bila kuonekana na ma maamuma. Ila maimamu aliyesomea elimu ya Kijini wanawaona.
Wengine wanakuja kuswali katika umbo la kibinadamu kabisa wake kwa waume na wanaonekana na waumini wote ila wenye elimu ya Kijini tu ndio wanao watambua kuwa sio binadamu wa kawaida bali ni Majini.
Ukitulia na kufuatilia hili kwa mashehe wako watakueleza kwa ufasaha kabisa.
Unapo sema nithibitishe kama haoThibitisha kwamba hao majini wapo kweli na habari za kuwapo kwao si hadithi tu.