Hata mimi sioni kosa lako hapo Sheikh labda ungekuwa umepotosha kwenye mada na kuweka vitu vya uwongo hapo ingekuwa kweli hata mimi kuna rafiki yangu mkiristo ambaye nimesoma nae miaka mingi alikuwa anaamini muislamu ukishika dini lazima uwe na majibu na Qu'ran ina majini baada miaka mingi tulikutana siku za karibuni aliniona nipo kisheikh aliniona kuhusu majini nikamuelimisha akajiona alikuwa gizani sana kuamini dhana potofu..
Sasa dhana hizo zipo sana na ni vizuri kubainisha wazi na kuweka sawa inapopatikana nafasi ,kuhusu watu kutukana kwa trend yao ya matusi mbona huu uzi haujachafuliwa kabisa kwa jinsi ninavyoona mimi swala hilo haliwezi kuwa sababu ya kutobainishwa ukweli na upotofu na nakupa kongole kwa kufuata kanuni nzuri ya majadiliano hauna jazba wala hakuna uliowatukana wala kuwajibu vibaya hata wale wazee wa lugha chafu umeenda nao kwa busara na kuwapuuza kwani kwenye uzi wake
Akhi wa nasahau kwa waislamu wa hapa kuna watu wengi walikuja kutukana dini na kukazuka vita vikali mule na mabishano ukilinganisha na huu hapa kumetulia kabisa.
Vilevile kuna mtu kama
Atufigwegwe god yeye ametoa ushuhuda kuhusu yeye binafsi kushirikiana na jini na akapewa nasahau humu pengine huenda uzi huu ukamfanya abadilike kwani katika wema hakuna kudharau jambo haswa jambo na kila mtu atalipwa kwa kile alichokinuia naamini nia yako ilikuwa na ni njema kabisa..