Waislamu Mnafeli wapi?

Waislamu Mnafeli wapi?

Hata uwambie nini jamaa yangu hao hawastuki, Salman kawaeleza kilakitu badala ya kutafakari wanatumia mapanga na mabomu na vitisho vya kumchinja na kuficha alichowaonya.

Hapo wanawa ogopesha wengine wasije kuuweka hadharani ukweli wa dini yao.

Nabii Isaya alisema kuhusu hao jamaa.
Mathayo 13:14 Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema, Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa; Kutazama mtatazama, wala hamtaona.
15 Maana mioyo ya watu hawa imekuwa mizito, Na kwa masikio yao hawasikii vema, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao, Wakasikia kwa masikio yao, Wakaelewa kwa mioyo yao, Wakaongoka, nikawaponya.

Nabii wao ndio Nabii pekee aliyefanikisha kumsilimisha Ibirisi yaani shetani na Malaika zake Majini sasa hivi wote ni Waislamu safi.
Wote kwa pamoja sasa wamekuwa waumini watiifu wa Allah.
Hatari sana..ndio mana wanajiripua na kuua wengine kwasababu wanakuwa wamepandwa na majini vichwani mwao..mtu wa kawaida hawezi wafanya huu upuuzi.

Tuzidi kuwaombea waipate nuru ya kweli.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kumekuwa na dhana kwamba waislamu wanafuga majini kitu ambacho si kweli kabisa na hata Dini hairuhusu hivyo.

Mwenyezi Mungu anasema hakuumba majini na watu Ila isipokuwa wamwabudu Mola wao,ebu tuangalie Maandiko;

((Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.))
51:56

Kwahiyo Majini na wanadamu waliumbwa Kwa lengo moja Tu la kumwabudu Mola wao na sio vinginevyo.

Lakini bahati mbaya Sana kuna baadhi ya waislamu ambao hushirikiana na majini katika mambo Yao,na hii sio waislamu Tu hata baadhi ya watu ambao sio waislamu hufanya hivyo pia,iwe Kwa kupiga ramli,kufanya miujiza huko kwenye nyumba za ibada na kadhalika.

Ila mazungumzo yangu Leo hapa nazungumza na waislamu, kuna baadhi ambao huwa na haya maruhani/majini ambayo wenyewe huyaita majini Waziri kwakuwa Tu yanawasaidia katika mambo Yao. Naomba niwaambie kuwa hakuna majini mazuri ambayo yanakaa mwilini mwa mtu hata kidogo,hayo ni mabaya na machafu,jini ambaye ameumbwa ili kumwabudu Mola wake hawezi kuja kufanya makazi katika mwili WA mtu kwakuwa hayo ni makosa na amekiuka sababu ya kuumbwa kwake kabisa.

Wanao mwabudu Mola wao wapo kwenye makazi Yao ya kijini na wanaendesha Maisha Yao huku wanamwabudu Mola wao,kwahiyo acheni kuwa watumwa WA hayo majini,kwani hakika mwisho wenu utakuwa sio mzuri.

Ebu tuangalie maongezi haya ya majini kama yalivyoelezwa katika Qur'an ;

((Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.))
72:6

Haya ni maongezi ya Majini baada ya kusikia Qur'an na kumwamini Mola wao,ndio wanahadithia kuwa kuna wanadamu wanaume ambao walikuwa wanatafuta hifadhi toka Kwa majini lakini matokeo yake wakazidishiwa madhambi. Na huo ndio ukweli kuna watu ambao wanaamini majini kuwa ndio watawalinda hapa duniani,na huwa hawafanyi Jambo lolote mpaka washaurieni na majini wao,hakika hiyo ni kufuru kubwa kumwamini kiumbe wa Mwenyezi Mungu kuwa ndio anakuwezesha kufanikiwa Kwa mambo hapa duniani.

Na mwisho wa siku shetani/ hayo majini machafu ambayo yameacha kusudio la kuumbwa kwao na kuja kushirikiana na wanadamu,mwisho wa siku yatawakana na kuwaambia ukweli, tuangalie Aya ifuatayo;

(Na Shet'ani atasema itapo katwa hukumu: Hakika Mwenyezi Mungu alikuahidini ahadi ya kweli. Nami nalikuahidini; lakini sikukutimizieni. Na sikuwa na mamlaka juu yenu, isipo kuwa nilikuiteni, nanyi mkaniitikia. Basi msinilaumu mimi, bali jilaumuni wenyewe. Mimi siwezi kuwa mtetezi wenu, wala nyinyi hamwezi kuwa watetezi wangu. Hakika mimi nilikataa tangu zamani kunishirikisha na Mwenyezi Mungu. Hakika madhaalimu watakuwa na adhabu chungu).
14:22

Hakika kuna Aya nyingi Sana juu ya majini kuwapotosha wanadamu na kuwaingiza Motoni,kubwa ni kujua kwamba hakuna majini ambao wanatakiwa kushirikiana na binadamu kwani wao Wana Maisha Yao na wanadamu tuna yetu,ushirikiano wowote baina yetu ni upotovu na mwisho wake ni jehenamu.

Mambo mengi na Mda ni mchache!

Ni hayo Tu!
Mganga kama hajui kusoma Quran jua umepigwa. Sijui kuna uhusiano gani ya uchawi (majini), Quaran na lugha ya kiarabu. Wajuvi mtupe darsa mujarab kuhusu hili.
 
Mimi nna Rafiki yangu wa kijini, ila yeye Ni wa ibada Sana, na hakai mwilini mwangu, ila huwa anakuja kwa umbo la kibidamu baadae anatoweka, Ni mshakaji tunapiga story Sana, kila alhamisi ndio inakuwa siku yake yakuja kibindamu ,na ijumaa, nimeegundua kumbe chakula chao Ni mifupa pia,na mabaki ya vyakula walioacha binadamu baadhi
Mkuu hii imekaaje?
 
Screenshot_20221016-195259.png
 
Ila tambua dunia ishatumia asilia 75 ya bando lake,so kuwa Tajir Kwa Mali za majini ila mwisho wa siku itakula kwako
Biblia inaniambia hivii👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

Marko 8:36-37 SUV​

Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake? Ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake?
 
Alipouojiwa Malcom X kwa nini aliachana na dini yake na kujiunga na uislam alijibu ya kwamba uislam unafafanua vema mambo yanayoonekana ja yasiyoonekana

Mungu hakuona aibu kuvizungumzia viumbe vyake viitwavyo majini kwenye Qur'an ati kwa kua havionekani,

Kumbukeni mkatae au mkubali majini yapo na hayajajiumba yenyewe yupo aliyeyafinyanga japo dini yenu inayaogopa pia haiyataji ama inayataja kwa wogawoga

Uislam pekee ndio dini ya haki inayoweza kukuelezea ni nini kinatokea kaboa mtu hajafa, akiwa anakata roho, akizikwa, maisha yake ya kaburini yapoje na siku ya ufufuo ni uislam pekee utayakuta haya dini nyingine zote ama hazijui ama zinaogopa

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Na Salman alipoelezea "Satanic Verses" zilizo ndani ya Quran alitangaziwa fatwa.
 
Kumekuwa na dhana kwamba waislamu wanafuga majini kitu ambacho si kweli kabisa na hata Dini hairuhusu hivyo.

Mwenyezi Mungu anasema hakuumba majini na watu Ila isipokuwa wamwabudu Mola wao,ebu tuangalie Maandiko;

((Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.))
51:56

Kwahiyo Majini na wanadamu waliumbwa Kwa lengo moja Tu la kumwabudu Mola wao na sio vinginevyo.

Lakini bahati mbaya Sana kuna baadhi ya waislamu ambao hushirikiana na majini katika mambo Yao,na hii sio waislamu Tu hata baadhi ya watu ambao sio waislamu hufanya hivyo pia,iwe Kwa kupiga ramli,kufanya miujiza huko kwenye nyumba za ibada na kadhalika.

Ila mazungumzo yangu Leo hapa nazungumza na waislamu, kuna baadhi ambao huwa na haya maruhani/majini ambayo wenyewe huyaita majini Waziri kwakuwa Tu yanawasaidia katika mambo Yao. Naomba niwaambie kuwa hakuna majini mazuri ambayo yanakaa mwilini mwa mtu hata kidogo,hayo ni mabaya na machafu,jini ambaye ameumbwa ili kumwabudu Mola wake hawezi kuja kufanya makazi katika mwili WA mtu kwakuwa hayo ni makosa na amekiuka sababu ya kuumbwa kwake kabisa.

Wanao mwabudu Mola wao wapo kwenye makazi Yao ya kijini na wanaendesha Maisha Yao huku wanamwabudu Mola wao,kwahiyo acheni kuwa watumwa WA hayo majini,kwani hakika mwisho wenu utakuwa sio mzuri.

Ebu tuangalie maongezi haya ya majini kama yalivyoelezwa katika Qur'an ;

((Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.))
72:6

Haya ni maongezi ya Majini baada ya kusikia Qur'an na kumwamini Mola wao,ndio wanahadithia kuwa kuna wanadamu wanaume ambao walikuwa wanatafuta hifadhi toka Kwa majini lakini matokeo yake wakazidishiwa madhambi. Na huo ndio ukweli kuna watu ambao wanaamini majini kuwa ndio watawalinda hapa duniani,na huwa hawafanyi Jambo lolote mpaka washaurieni na majini wao,hakika hiyo ni kufuru kubwa kumwamini kiumbe wa Mwenyezi Mungu kuwa ndio anakuwezesha kufanikiwa Kwa mambo hapa duniani.

Na mwisho wa siku shetani/ hayo majini machafu ambayo yameacha kusudio la kuumbwa kwao na kuja kushirikiana na wanadamu,mwisho wa siku yatawakana na kuwaambia ukweli, tuangalie Aya ifuatayo;

(Na Shet'ani atasema itapo katwa hukumu: Hakika Mwenyezi Mungu alikuahidini ahadi ya kweli. Nami nalikuahidini; lakini sikukutimizieni. Na sikuwa na mamlaka juu yenu, isipo kuwa nilikuiteni, nanyi mkaniitikia. Basi msinilaumu mimi, bali jilaumuni wenyewe. Mimi siwezi kuwa mtetezi wenu, wala nyinyi hamwezi kuwa watetezi wangu. Hakika mimi nilikataa tangu zamani kunishirikisha na Mwenyezi Mungu. Hakika madhaalimu watakuwa na adhabu chungu).
14:22

Hakika kuna Aya nyingi Sana juu ya majini kuwapotosha wanadamu na kuwaingiza Motoni,kubwa ni kujua kwamba hakuna majini ambao wanatakiwa kushirikiana na binadamu kwani wao Wana Maisha Yao na wanadamu tuna yetu,ushirikiano wowote baina yetu ni upotovu na mwisho wake ni jehenamu.

Mambo mengi na Mda ni mchache!

Ni hayo Tu!
Ngoja nimtafute Kipozeo anipe picture halisi ya peponi
 
Sikua naamini kwenye haya mavitu hadi nilipoishi Zanzibar kipindi fulani, niliyashuhudia, kile kisiwa hakuna ambaye hajakumbana na matukio ya majini, wanayafuga yaani ndio zao kote. Halafu ndio shughuli za popote walipo waislamu, kuanzia Mombasa, Pwani, nenda mpaka Tanga katiza mpaka kwa Wapemba.
 
Hakuna Malaika waasi mkuu futa hiyo dhana katika kichwa fasta

Malaika ni viumbe Safi Sana WA Mwenyezi Mungu na ndio wasaidizi wake,hawezi kuwa na viumbe wa ovyo.

Ingia darasani Kwanza ndo uje na hizo hoja zako

Shukrani
Ndiyo maana nilianza kwa kusema hii dunia imejaa udanganyifu mwingi sana. Na wewe mleta mada ni miongoni mwa hao WALIODANGANYWA na KUPOTOSHWA.

Huyo Shetani (malaika muasi) ni mjanja sana na ni mwerevu sana. Kwa ujanja wake na uerevu wake amewadanganya wengi sana. Kwa ujanja wake amejiingiza mpaka kwenye dini na kuanzisha dini ambazo wanadamu wanafikirini wanamwabudu MUNGU kumbe wanaabudu kiumbe huyu shetani. Kiumbe huyu yupo misikitini na makanisani, amewaletea mafundisho mkidhani yametoka kwa MUNGU kumbe ni madanganyo matupu.

Narudia tena kusema, "itafuteni KWELI nayo hiyo KWELI itawaweka huru kutoka kwenye madanganyo na vifungo vya shetani.
 
Sikua naamini kwenye haya mavitu hadi nilipoishi Zanzibar kipindi fulani, niliyashuhudia, kile kisiwa hakuna ambaye hajakumbana na matukio ya majini, wanayafuga yaani ndio zao kote. Halafu ndio shughuli za popote walipo waislamu, kuanzia Mombasa, Pwani, nenda mpaka Tanga katiza mpaka kwa Wapemba.
Watu wanafunga ng'ombe..mbuzi..kuku n.k wao wanafuga majini..no wonder wengi wanamtindio wa ubongo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sikua naamini kwenye haya mavitu hadi nilipoishi Zanzibar kipindi fulani, niliyashuhudia, kile kisiwa hakuna ambaye hajakumbana na matukio ya majini, wanayafuga yaani ndio zao kote. Halafu ndio shughuli za popote walipo waislamu, kuanzia Mombasa, Pwani, nenda mpaka Tanga katiza mpaka kwa Wapemba.
Baadhi ya Waislamu hawalijui hili kiundani ndo hao unaowaona humu wakibisha.
Uislamu na na Majini ni chanda na pete. Uislamu ndio dini ya majini sasa yataendaje mbali na waislamu wenzao watu ?

Ukienda sehemu yoyote ile yenye waislamu wengi Majini nao wanakuwa wengi kwakuwa dini yao ni Uislamu pia na waislamu wanakubali na kuwakaribisha wanao waita ndugu zao wa Kijini.

Ukisikia mji wa Waislamu maana yake mji wa watu na majini, kwani wote ni waislamu.

Cha kushangaza Muhammadi ni kama amewatoa ufahamu kabisa hawawezi kukaa pembeni na kutafakari.

Kama wanaamini baadhi ya majini ni Waislamu
Na wao ni Waislamu wanakanushaje kuishi nao pamoja? Na huko ndiko kufuga majini tunako kuongelea. Yaani kuwakaribisha majini katika maeneo yako, nyumbani kwako na kwako binafsi.

Waislamu watu na waislamu Majini ni marafiki wa karibu sana. Mtume wao aliwaambia Majini waislamu ni ndugu zao.

Ndugu wanatenganaje ?
 
Mimi nna Rafiki yangu wa kijini, ila yeye Ni wa ibada Sana, na hakai mwilini mwangu, ila huwa anakuja kwa umbo la kibidamu baadae anatoweka, Ni mshakaji tunapiga story Sana, kila alhamisi ndio inakuwa siku yake yakuja kibindamu ,na ijumaa, nimeegundua kumbe chakula chao Ni mifupa pia,na mabaki ya vyakula walioacha binadamu baadhi
khee! Yani jini unasema mshkaji wako? wacha niendelee kuitwa kafiri tu, ndo maana mnajilipua ovyo
 
Hafu wenyewe kwa wenyewe mnapingana wengini ni sawa wengine sio sawa hafu wote mnatumia kitabu kimoja
 
Ila mimi nafahamu waislamu wengi hawajamaliza kuyasoma mafundisho yao.
Na wanao maliza wanaogopa kuyasema yote hadhalani hasa yale ambayo nina uhakika kama waislamu wengi wangeyasoma wangeachana na huo ushirikina.
Ndio maana yule mwamba akawawekea ili wajue.

Mimi ningekuwa mwislamu ningewapenda sana wanaoweka hayo mafundisho. Maana wana nia njema tu.

Nia ya kuieleza dini yao ilivyo
 
Ni ukweli kabisa.
Mimi nilinunua kiwanja hivi vya kupimwa na makampuni.

Kabla sijaanza kujenga kuangalia ramani mbele yangu kuna wapemba wamenunua kiwanja cha kujenga Msikiti yaani napakana nao.

Niliuza kile kiwanja.
Niliogopa kupishana na hao Brothers and Sisters watakao pita kila asubuhi mchana na jioni kuwenda kuswali.

Ni ukweli kabisa Majini wanaswali humo misikitini.
Wanakuja wengine kama watu wengine kama roho.

Nipo nimekaa pale.
 
Back
Top Bottom