Waislamu na walokole punguze kidogo unafiki

Wewe ndie mshenzi mnaq watu wadini wana mambo yao wewe unafuata nini huko?
 
hivi vikundi visikie vya walokole na waislamu.

Nilikosa kazi kwa sababu mimi sio muislamu,kuna ndugu yetu alikuwa mlokole na nitajiri alikuwa anatusema vibaya mpaka tunaitwa watoto wa shetani na hatuksaidiwa
Sasa wewe mbona unaangaika sana ujui kuwa kunguru wafananao uluka pamoja?nenda kwa wenzio au nenda serikali ukaombe kazi
 
Mtu amejikuta tu kazaliwa kwenye uislamu au kwenye ulokole. Lakini anashupaza shingo kutetea dini yake. Mtu huyo angezaliwa upande wa pili angeshupaza hivyo hivyo. Wapumbavu wakubwa.
Uajifaraji tu huna lolote unataka watu waishi kama unavyo taka wewe jambo ambalo aliwezekani
 
Uajifaraji tu huna lolote unataka watu waishi kama unavyo taka wewe jambo ambalo aliwezekani
Wewe ndiyo unajifariji. Unaona kuwa dini ya wazazi wako, ambao nao walipewa na wazazi wao, ambao nao walipewa na wakoloni au mamwinyi wa kiarabu, ndiyo dini sahihi kabisa duniani. Na ya mwingine ambaye naye kaipata kwa njia hiyohiyo, si sahihi!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…