Waislamu tuandamane kupinga vita Sudan

Waislamu tuandamane kupinga vita Sudan

Waislamu wote tuandamane kuelekea ubalozi wa Marekani na Israel kupinga vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Licha ya kuandamana viongozi wa dini watoe tamko la kushutumu vikali vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe hasa mwezi huu mtukufu.
Mjinga kabisa. Kwa akili yako vita ya Sudan ni Israel na Marekani? Ila sio Mrusi na Mchina? Basi sawa kaandamane umesikia kaandamane Hustadhi. Ila usisahau kuja kutuabarisha kitakacho kupata
 
Hakuna Muislamu wa hovyo kama wewe ,huu uzi umeandika kwa malengo yako ya kipuuzi.
Huna haki ya kuniondoa kwenye uislamu na hiyo nakuhakikishia hutaweza. Allah na mtume wake watanitetea.
 
Ni mataifa ovu Marekani na Israel kawachonganisha. Wakati wa Al Bashir hali ilikuwa shwari kwasababu aliegemea Urusi.
Kwa nini ukubali uchonganishwe kama wewe sio zuzu?
Huna akili ya kujua huyu anatugombanisha na ndugu yako

Madume ya ng'ombe ndiyo yanachonganishwa yapigane maana hayajitambui

Acheni ujinga kama kweli marekan anahusika basi nami namuunga mkono awachonganishe hivo hivo mataahira hayo yasiyo jitambua yauane wenyewe kwa wenyewe
Pumbavu kabsaa
 
Waislamu wote tuandamane kuelekea ubalozi wa Marekani na Israel kupinga vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Licha ya kuandamana viongozi wa dini watoe tamko la kushutumu vikali vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe hasa mwezi huu mtukufu.
Kwanini msiandamane kuelekea ubalozi wa Sudan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini ukubali uchonganishwe kama wewe sio zuzu?
Huna akili ya kujua huyu anatugombanisha na ndugu yako

Madume ya ng'ombe ndiyo yanachonganishwa yapigane maana hayajitambui

Acheni ujinga kama kweli marekan anahusika basi nami namuunga mkono awachonganishe hivo hivo mataahira hayo yasiyo jitambua yauane wenyewe kwa wenyewe
Pumbavu kabsaa
tameer tunatukanwa huku 😡😡😡
 
Waislamu wote tuandamane kuelekea ubalozi wa Marekani na Israel kupinga vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Licha ya kuandamana viongozi wa dini watoe tamko la kushutumu vikali vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe hasa mwezi huu mtukufu.

Hao waislamu wakikusikiliza watakua ni wehu kama wewe
 
Mgogoro wao unahusu dini ya kiislam? Naomba elimu tafadhali.
Mmetubagua sie engine tungependa kushiriki wenye hayo maandamano.
Waislamu wanaonewa sana, kuchonganishwa na kubaguliwa. Kwenye Quran tukufu tuneamriwa tusifumvie macho unyanyasaji na uonevu kwa Waislamu wenzako. Tunaona Waislamu wenzetu wanavyonewa huko Palestina hadi wananyimwa kaswali kwenye msikiti wa Alaqsa. Waislamu wenzetu China wananyanyaswa kuuwawa. Waislamu wenzetu huko Myanmar rohingya wanateswa kuonewa na kuuwawa huko kote ni Marekani na Israel ndo wachonganishi. Somalia ilikuwa na amani ni Marekani akaingiza pua. Sasa amewachonganisha na wa Sudan. Tusinyamaze leo kwao na kesho kwetu
 
Haya piganieni haki zenu kama wanawake wanavyopigania haki zao.
 
Back
Top Bottom