Opaque
JF-Expert Member
- Oct 24, 2008
- 1,359
- 726
Kama walichonganishwa tu na wakakubali kukorofishana, basi ni wapumbavu tu waache wapigane. Ina maana Marekani ina nguvu kuliko Urusi?Ni mataifa ovu Marekani na Israel kawachonganisha. Wakati wa Al Bashir hali ilikuwa shwari kwasababu aliegemea Urusi.