Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Dhambi ile ile inawatafuna.Huyo Al Bashir Unakumbuka alivyoua maelf Huko Darfur? Sasa Ni zamu yao Kulipa walivyofanya kwa Wengine..!
Walivyokuwa wanachinjwa Wasudani weusi hawakufikiria kuandamana kwakuwa sio Waislamu.
Leo kimegeuka watoto wa mama mmoja wanachinjana sababu ya dhambi ile ile.