Waislamu tuwe makini tujiepushe na propaganda za wasiokuwa Waislamu dhidi ya madrasa na watoto wetu kwenye madrasa

Kwani kuna tabu gani hapo,hayo ni mafunzo yakuuweka mwili vizuri (ukakamavu),yanaruhusiwa, mbona hata shule za kawaida yapo na hamsemi??,,hali kadhalika kulima,mchakamchaka,kuimba,kuruka kichura,kamba nk
Kweli wavaa kobaz ni weupe kichwani,..mnaipuuza elimu dunia matokeo yake inawavua nguo mchana kweupe, ndo nini hiki umeandika sheikh?
 
Uislam ulikuwepo hata tangu kipindi cha Adam a.s kilichoanza kipindi cha mtume ni jina tu hilo la uislam ambalo halikuwepo kabla
Naona unawalisha watu matango pori uliyonunua supermaket.
Quran ililetwa na mtu asiyejua kusoma na kuandika hata nchi za kiislamu hakuna nchi yoyote ya kiislamu inayotengeneza gari, tv, subwoofer, simu, pasi, ndege hata computer.
Uislamu ulikuwepo kabla ya Adam halafu kwenye Quran inasema watu wa kwanza kuupokea uislamu ni majini na Mohammad😀😀😀. Tukuamini wewe au Quran?
 
Vatican imetengeneza nini? Tupe kitu kimoja madein Vatican
 
Wewe mwenyewe unatumia vitu vya wazungu katika maisha yako. Miafrika bhana...hizi dini zilizoletwa na majahazi zimetupofusha sana.
 
Waislam wako sahihi.
 
Soma Al - Jin imeeleza vizuri, jinsi majini yalivyoupokea uislamu. Ndiyo ya kwanza na Mohammad ni wa pili
Acha uongo majini waliisikia Qur'an kwa mara ya kwanza kutoka kwa mtume alipokuwa akiswali usiku katika eneo la Nakhlah, karibu na Twaif. (Sahihi Muslim 450)
 
Vatican imetengeneza nini? Tupe kitu kimoja madein Vatican
Ustaarabu wa mwnadamu.Vatican imefuta ujinga duniani,imefuta utumwa duniani,imefuta umaskini na utegemezi kwa Waumini wake na imeleta umoja na mshikamano duniani kote bila kujali dini,rangi,siasa,kabila,taifa,jinsia na hali ya mtu.
 
Vatican imetengeneza nini? Tupe kitu kimoja madein Vatican
Tunisia, Iran, Morocco, Algeria, Misri, Iraq, Afghanistan, Saudia Arabia, Jordan na Lebanon
Hizo ni nchi 11 za kiislamu, zingine zijazitaja ambazo zipo sawa na Vatican ambayo ni sehemu ya nchi iliyopo Italia iliyopewa hadhi ya nchi. Kumbuka Vatican ni makao makuu ya Roman Catholic yaliyopewa hadhi ya nchi* Kuna timu yoyote ya mpira au waziri ambaye yupo Vatican?
Uislamu hauna faida yoyote duniani maana Vatican ipo sawa na nchi zote za kiislamu
 
Acha uongo majini waliisikia Qur'an kwa mara ya kwanza kutoka kwa mtume alipokuwa akiswali usiku katika eneo la Nakhlah, karibu na Twaif. (Sahihi Muslim 450)
Sijasema usome Hadithi. Soma kwenye Quran, Sura ya Al - Jin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…