Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Kweli wavaa kobaz ni weupe kichwani,..mnaipuuza elimu dunia matokeo yake inawavua nguo mchana kweupe, ndo nini hiki umeandika sheikh?Kwani kuna tabu gani hapo,hayo ni mafunzo yakuuweka mwili vizuri (ukakamavu),yanaruhusiwa, mbona hata shule za kawaida yapo na hamsemi??,,hali kadhalika kulima,mchakamchaka,kuimba,kuruka kichura,kamba nk