Waislamu tuwe makini tujiepushe na propaganda za wasiokuwa Waislamu dhidi ya madrasa na watoto wetu kwenye madrasa

Waislamu tuwe makini tujiepushe na propaganda za wasiokuwa Waislamu dhidi ya madrasa na watoto wetu kwenye madrasa

Kwani kuna tabu gani hapo,hayo ni mafunzo yakuuweka mwili vizuri (ukakamavu),yanaruhusiwa, mbona hata shule za kawaida yapo na hamsemi??,,hali kadhalika kulima,mchakamchaka,kuimba,kuruka kichura,kamba nk
Kweli wavaa kobaz ni weupe kichwani,..mnaipuuza elimu dunia matokeo yake inawavua nguo mchana kweupe, ndo nini hiki umeandika sheikh?
 
Uislam ulikuwepo hata tangu kipindi cha Adam a.s kilichoanza kipindi cha mtume ni jina tu hilo la uislam ambalo halikuwepo kabla
Naona unawalisha watu matango pori uliyonunua supermaket.
Quran ililetwa na mtu asiyejua kusoma na kuandika hata nchi za kiislamu hakuna nchi yoyote ya kiislamu inayotengeneza gari, tv, subwoofer, simu, pasi, ndege hata computer.
Uislamu ulikuwepo kabla ya Adam halafu kwenye Quran inasema watu wa kwanza kuupokea uislamu ni majini na Mohammad😀😀😀. Tukuamini wewe au Quran?
 
Vatican imetengeneza nini? Tupe kitu kimoja madein Vatican
 
Wenzetu kwa watoto wao hawana mfumo mzuri wa kuwasomesha dini zao.
Sio hawana tu bali mfumo wa dini yao haukubali kabisa kuwaanda watoto wao ktk mfumo wa dini
Sasa wanaona choyo kuona waislam wamekiweka utaratibu wa madrasa ambao kwa kiwango kikubwa wanaopiga vita ili ukwame.
Changamoto ndogo ndogo kama bakora kwa watoto kusistoe ktk reli kuwasomesha watoto wetu.
1. Wanasema madrasa inapoteza muda kwa watoto na kurudisha nyuma mfumo elimu ya shule.
2. Unawafanya waislam wawe na msimamo wa dini yao
3. Walimu wa madrasa wanawapiga watoto.
Hata biblia imesema mtoto achapwe mpaka akae sawa.
Kuwa makini na muislam kuingia ktk mtego wa wakiristo ktk mfumo wa madrasa. Wataupiga vita kwa nguvu zote ili watoto wetu wawe kama wao wanaishi maisha ya wazungu.
Surah Al-Baqarah (2:120): "Wala Wayahudi wala Manasara hawataridhika nawe mpaka ufuate mila zao
Wewe mwenyewe unatumia vitu vya wazungu katika maisha yako. Miafrika bhana...hizi dini zilizoletwa na majahazi zimetupofusha sana.
 
Mkiacha kuwanyanyasa wanawake na mkiifuta hii mistari mibaya kwa wanawake kwenye quran na vitabu vya hadith kama sahih bukhari , hapo mtakuwa na hoja
  • Wanawake wana upungufu katika akili zao - Sahih al-Bukhari 304
  • Muhammad anawafananisha wanawake na mbwa na punda - Sahih al-Bukhari 511
  • Mwanaume anaweza kubadilisha mke wake kwa mwingine - Quran 4:20
  • Wanawake ni wenye upotovu kama mbavu. Ukijaribu kuwanyoosha, watavunjika. Hivyo, ikiwa unataka kunufaika nao, fanya hivyo wakiwa bado na upotovu wao. - Sahih al-Bukhari 7.62.114
  • Wake hawawezi kamwe kufanya vya kutosha kuonyesha shukrani kwa waume zao - Wasifu wa Muhammad na Ibn Ishaq, ukurasa wa 644, aya ya pili
  • Wanawake wanalinganishwa na watumwa na ngamia - Hadithi 8.73.68 ya Bukhari
  • Kama mtu angeweza kusujudu mbele ya mwingine isipokuwa Allah, basi mwanamke angepaswa kumsujudia mume wake - Hadithi ya Abu Dawud 11.2135
  • Muhammad aliwachukulia wanawake kama uovu na alilinganisha ndoa na kununua mtumwa au ngamia - Abu Dawood, Kitabu cha 11, Namba 2155
  • Muhammad anawalinganisha wanawake na mashetani - Sahihi Muslim: Kitabu 008, Namba 3240
Waislam wako sahihi.
 
Soma Al - Jin imeeleza vizuri, jinsi majini yalivyoupokea uislamu. Ndiyo ya kwanza na Mohammad ni wa pili
Acha uongo majini waliisikia Qur'an kwa mara ya kwanza kutoka kwa mtume alipokuwa akiswali usiku katika eneo la Nakhlah, karibu na Twaif. (Sahihi Muslim 450)
 
Vatican imetengeneza nini? Tupe kitu kimoja madein Vatican
Ustaarabu wa mwnadamu.Vatican imefuta ujinga duniani,imefuta utumwa duniani,imefuta umaskini na utegemezi kwa Waumini wake na imeleta umoja na mshikamano duniani kote bila kujali dini,rangi,siasa,kabila,taifa,jinsia na hali ya mtu.
 
Vatican imetengeneza nini? Tupe kitu kimoja madein Vatican
Tunisia, Iran, Morocco, Algeria, Misri, Iraq, Afghanistan, Saudia Arabia, Jordan na Lebanon
Hizo ni nchi 11 za kiislamu, zingine zijazitaja ambazo zipo sawa na Vatican ambayo ni sehemu ya nchi iliyopo Italia iliyopewa hadhi ya nchi. Kumbuka Vatican ni makao makuu ya Roman Catholic yaliyopewa hadhi ya nchi* Kuna timu yoyote ya mpira au waziri ambaye yupo Vatican?
Uislamu hauna faida yoyote duniani maana Vatican ipo sawa na nchi zote za kiislamu
 
Acha uongo majini waliisikia Qur'an kwa mara ya kwanza kutoka kwa mtume alipokuwa akiswali usiku katika eneo la Nakhlah, karibu na Twaif. (Sahihi Muslim 450)
Sijasema usome Hadithi. Soma kwenye Quran, Sura ya Al - Jin
 
Back
Top Bottom