Hii khutba peleka msikitini kwenye Watu kama ww ukazawadiwe takbirrr!
Nimekwambia Tuwekee Ushahidi MUNGU wa Agano Kongwe na Mungu wa Agano Jipya ni Tofauti!
Umefikia ukafiri mpaka unaibishia qaraa iliyo sema MUNGU WETU sisi pamoja na muham mad aka allah ni Mmoja!
👇👇
وَإِلَـٰهُكُمْ إِلَـٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَّا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَـٰنُ الرَّحِيمُ
[ AL - BAQARA - 163 ]
Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
Kwa hiyo ulivyoelewa hapo hiyo Aya ni imeruhusiwa ndiyo maana wakifanya wanatakiwa kuadhibiwa!?..no wonder mnaambiwa Mungu alikuja kwa njia ya binaadam akawa fundi seremala Ila aadhibiwe mkombolewe,uwezo wa kufikiri ziro
Sasa waislam ambao ni wachache USA na Canada wanaweka visheria gani ilhali hawana mamlaka!?..umelishwa ujinga unakunya pumba tu, binaadam ni yuleyule tu,bado ala,alala na kwenda haja, huwezi sema binaadam wa Leo hahitaji dini,ndiyo maana jamii haueleweki,ndoa zinavunjika na mnahalalisha tundu la kutolea uchafu
Hayo niliyo post kaelekeza Mtume wako ref;
👇👇
mungu wa waisilamu Ameagiza HUKUMU hii Kwa mashoga!
👇👇
وَاللَّذَانِ يَأْتِيَانِهَا مِنكُمْ فَآذُوهُمَا ۖ فَإِن تَابَا وَأَصْلَحَا فَأَعْرِضُوا عَنْهُمَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ تَوَّابًا رَّحِيمًا
[ AN-NISAAI - 16 ]
Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.
Pia mungu wao amewapa wepesi kama muislamu AMEINGILIWA IMA AMEINGILIA NA Maiti, Mnyama, Mtoto, Kuntha, Kifisifisi...Waoge Kata.3!
Kipambanuzi katika kubainisha sababu za kuoga
Inawajibika kuoga kwa mwanaume kwa kutokwa na manii katika
njia yake ya kawaida au nyingine.
Na kwa kuzamisha tene (kichwa cha dhakari) au klasi chake katika
tupu yoyote iwayo, mamoja ikiwa amezamisha katika tupu ya
mbele ya mwanamke au ya mnyama, au tupu zao za nyuma,
Tupu ya nyuma ya mwanaume au ya khuntha, akiwa (aliyezanmisha ni)
mtoto mdogo au mkubwa, hai au maiti Na ni wajibu kuoga kwa
mwanamme mwenye kutiwa katika tupu yake ya nyuma
Na ni wajibu kuoga kwa mwanamke kwa dhakari yoyote
itakayoingi katika tupu yake yeyote au tene ya mnyama, maiti, au
mtoto mdogo.
Mungu wa Wakristo Ameagiza hili!
👇👇
Leviticus 20:13
[13]Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
. Jeremiah 2:22
[22]Maana ujapojiosha kwa magadi, na kujipatia sabuni nyingi, lakini uovu wako umeandikwa mbele zangu, asema Bwana MUNGU.
1 Corinthians 6:9-10
[9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
[10]wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
Hakuna Aya katika Biblia Takatifu Inayo Fundisha Uchafu huo!
Kama unayo Aya kwenye Biblia Takatifu Tuwekee Mkuu!
Hivyo wanaofuata na kuuishi ushoga wanafuata na Kuishi Ilimu Islamu!
VITABU VIONGEE💪👍
kafir ni neno lenye maana zaidi ya moja na hakuna hata moja ambayo ni offensive , kwa uchache kafir lina maana hiziElezea wewe mkuu, maana hao warabu wabamadharau sana, kazi kuwaambia wazungu ni makafiri ilihali wanakimbilia huko kutafuta maisha, hawaendi nchi za waarabu wenzao ambao si makafiri
Ukizisoma hizi unaelewa nini mkuuUnazikimbia hizi aya au hazimo ndanio ya biblia ??
imekujibu au hukuona au hizi aya huziamini
Unajifanya huoni
Ikiwa mwanamke atajifungua mtoto wa kiume, basi atakuwa najisi kwa siku 7.
Lakini akizaa mtoto wa kike, basi atakuwa najisi kwa siku 14. Hivyo kwa maneno mengine, kuzaliwa kwa mwanamke yeyote husababisha uchafuzi maradufu: Mambo ya Walawi 12:2-5
“Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mwanamke akichukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume, atakuwa najisi SIKU SABA. , kwa kadiri ya siku za kutengwa kwake kwa ajili ya ugonjwa wake atakuwa najisi kitu kitakatifu, wala asiingie mahali patakatifu, hata siku hizo za kutakaswa kwake zitakapotimia; siku sita."
Nadhani ni salama kusema kwamba Mhubiri 22:3 na Mambo ya Walawi 12:2-5 ni mistari dada.
Ikiwa mwanamke anajaribu kumwokoa mume wake kutokana na kipigo kwa kushika sehemu za siri za mwanamume mwingine ili kumwinua kutoka kwa mumewe, basi mikono yake yote miwili lazima ikatwe: Kumbukumbu la Torati 25:11-12
“Na kama watu wakishindana pamoja. pigana wao kwa wao, na mke wa mmoja amekaribia kumwokoa mume wake kutokana na yule anayempiga (ili kumuokoa mumewe), na yeye akanyosha mkono wake na kumshika pajani mwake. , basi lazima akatwe mikono yake yote miwili, na macho ya wanaume hao yasiwe na huzuni.”
Akina baba wanaweza kuwauza binti zao kuwa vijakazi:
Kutoka 21:7-8
“Na mtu akimuuza binti yake awe kijakazi, hatatoka jinsi watumwa wa kiume watokavyo; macho ya bwana wake asije akamweka kuwa suria, bali atamfanya akombolewe, hatastahili kumuuza kwa watu wa kigeni, katika kumtendea kwa hila.”
Mabinti hawarithi chochote wanapokuwa na watoto wa kiume: “Mtu akifa bila kuacha mtoto wa kiume, mpe urithi wake kwa binti yake.” ( Hesabu 27:8 ) Kwa hiyo sheria ya Marekani ya kugawanya kila kitu kwa usawa si ya Biblia.
Yesu anawaona wanawake kuwa uchafu unaowatia wanaume unajisi (kwa kuwa Yesu, MUNGU, ndiye anayedaiwa kuwa alivuvia Agano Jipya kama Wakristo wanavyodai):
Ufunuo 14:4
“Hao ndio (wanaume) ambao hawakujitia unajisi pamoja na wanawake; walijiweka safi. Wanamfuata Mwana-Kondoo popote aendako.
Ukizisoma hizi unaelewa nini mkuu
Picha za kuokoteza kama hizi zipo nyingi mtandaoni.Iran nako kuna vita mkuu
Hii picha ya 2022. Hilo boti lina wa iran 70 wanakimbilia kwa makafir.
Zama hizi za www tuwe makini ku kukoment.
Pia nao wanapenda kukimbilia kwenye bata hawaendi moscow, china.
Hayo mapicha ya ndg zako wanaukimbilia yako mengi tu google mwenyewe. Hata za Saudia zipo.
Talking about Arabs culture not Islam mkuu.
Hawa wakristo wanaposema waarabu hukusudia waislamuTalking about Arabs culture not Islam mkuu.
Islamic is not oppressive but a bitter truth is that Arab culture is oppressive.
Basi hawana akili.Hawa wakristo wanaposema waarabu hukusudia waislamu
Basi hawana akili.
Ndio kuna jamaa kule juu alisema waarabu wakristo wako poa nikamwambia big NO.Sawasawa , Akili hawana kwani hawana habari kuwa hao waarabu kuna wakristo na wenye dini nyengine pamoja na wasio na dini
Utasomewa albadili, haya !🤣🤣
Acha tu nianze na kicheko
Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian
Unakejeri nchi za watu na kuwaita Makafiri, halafu wewe ndo unaomba kuhamia huko na usivyo na ustarabu sasa, tabu tupu
Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu wa huko makafiri
Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!
Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri
Je? Kafiri anaweza kumlea mwislamu asiyependa makafiri?
Basi atasomewa albajotoUtasomewa albadili, haya !
kwa hivyo Yesu si Mungu unakubali leo , si haba unaelekea kuzuri
Pope ni nani kwangu??
IMEANDIKWA KABLA YA muhammad Wala Quran KUWEPO!kwa hivyo Yesu si Mungu unakubali leo , si haba unaelekea kuzuri
Nadhani karafuu and more!.kwani kabla ya utalii ikitegemea nini ?? na ilikuwa haina deni la mtu
Wazungu wakivaa magunia huku wakisafiri na kufika hadi America, Australia, Cape of Good Hope, India na New Zealand, wakati mwarabu akiishia pwani ya Afrika ya mashariki kuletea ushoga Mombasa,Katika karne ya 7 na 8, Uislamu, uliingia Ulaya kupitia eneo la Hispania (nchi za leo za Hispania na Ureno). Waislamu walidhibiti sehemu kubwa ya Peninsula ya Iberia kwa muda wa karne tatu, kuanzia mwaka 711 hadi 1492. Katika kipindi hiki, Waislamu walikuwa na ushawishi mkubwa katika utamaduni, sayansi, na elimu barani Ulaya. HAPA WAZUNGU WAKIVAA MAGUNIA
Unaambiwa eti mwarabu ndo kaleta mavazi 🤣🤣🤣Wazungu wakivaa magunia huku wakisafiri na kufika hadi America, Australia, Cape of Good Hope, India na New Zealand, wakati mwarabu akiishia pwani ya Afrika ya mashariki kuletea ushoga Mombasa,