Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Hii khutba peleka msikitini kwenye Watu kama ww ukazawadiwe takbirrr!
Nimekwambia Tuwekee Ushahidi MUNGU wa Agano Kongwe na Mungu wa Agano Jipya ni Tofauti!
Umefikia ukafiri mpaka unaibishia qaraa iliyo sema MUNGU WETU sisi pamoja na muham mad aka allah ni Mmoja!
👇👇
وَإِلَـٰهُكُمْ إِلَـٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَّا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَـٰنُ الرَّحِيمُ

[ AL - BAQARA - 163 ]
Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.

Unazikimbia hizi aya au hazimo ndanio ya biblia ??

imekujibu au hukuona au hizi aya huziamini

Unajifanya huoni

Ikiwa mwanamke atajifungua mtoto wa kiume, basi atakuwa najisi kwa siku 7.

Lakini akizaa mtoto wa kike, basi atakuwa najisi kwa siku 14. Hivyo kwa maneno mengine, kuzaliwa kwa mwanamke yeyote husababisha uchafuzi maradufu: Mambo ya Walawi 12:2-5

“Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mwanamke akichukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume, atakuwa najisi SIKU SABA. , kwa kadiri ya siku za kutengwa kwake kwa ajili ya ugonjwa wake atakuwa najisi kitu kitakatifu, wala asiingie mahali patakatifu, hata siku hizo za kutakaswa kwake zitakapotimia; siku sita."

Nadhani ni salama kusema kwamba Mhubiri 22:3 na Mambo ya Walawi 12:2-5 ni mistari dada.

Ikiwa mwanamke anajaribu kumwokoa mume wake kutokana na kipigo kwa kushika sehemu za siri za mwanamume mwingine ili kumwinua kutoka kwa mumewe, basi mikono yake yote miwili lazima ikatwe: Kumbukumbu la Torati 25:11-12

“Na kama watu wakishindana pamoja. pigana wao kwa wao, na mke wa mmoja amekaribia kumwokoa mume wake kutokana na yule anayempiga (ili kumuokoa mumewe), na yeye akanyosha mkono wake na kumshika pajani mwake. , basi lazima akatwe mikono yake yote miwili, na macho ya wanaume hao yasiwe na huzuni.”

Akina baba wanaweza kuwauza binti zao kuwa vijakazi:
Kutoka 21:7-8

“Na mtu akimuuza binti yake awe kijakazi, hatatoka jinsi watumwa wa kiume watokavyo; macho ya bwana wake asije akamweka kuwa suria, bali atamfanya akombolewe, hatastahili kumuuza kwa watu wa kigeni, katika kumtendea kwa hila.”

Mabinti hawarithi chochote wanapokuwa na watoto wa kiume: “Mtu akifa bila kuacha mtoto wa kiume, mpe urithi wake kwa binti yake.” ( Hesabu 27:8 ) Kwa hiyo sheria ya Marekani ya kugawanya kila kitu kwa usawa si ya Biblia.

Yesu anawaona wanawake kuwa uchafu unaowatia wanaume unajisi (kwa kuwa Yesu, MUNGU, ndiye anayedaiwa kuwa alivuvia Agano Jipya kama Wakristo wanavyodai):

Ufunuo 14:4

“Hao ndio (wanaume) ambao hawakujitia unajisi pamoja na wanawake; walijiweka safi. Wanamfuata Mwana-Kondoo popote aendako.
 
Sasa waislam ambao ni wachache USA na Canada wanaweka visheria gani ilhali hawana mamlaka!?..umelishwa ujinga unakunya pumba tu, binaadam ni yuleyule tu,bado ala,alala na kwenda haja, huwezi sema binaadam wa Leo hahitaji dini,ndiyo maana jamii haueleweki,ndoa zinavunjika na mnahalalisha tundu la kutolea uchafu

Hayo niliyo post kaelekeza Mtume wako ref;
👇👇

mungu wa waisilamu Ameagiza HUKUMU hii Kwa mashoga!
👇👇
وَاللَّذَانِ يَأْتِيَانِهَا مِنكُمْ فَآذُوهُمَا ۖ فَإِن تَابَا وَأَصْلَحَا فَأَعْرِضُوا عَنْهُمَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ تَوَّابًا رَّحِيمًا

[ AN-NISAAI - 16 ]
Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.

Pia mungu wao amewapa wepesi kama muislamu AMEINGILIWA IMA AMEINGILIA NA Maiti, Mnyama, Mtoto, Kuntha, Kifisifisi...Waoge Kata.3!

Kipambanuzi katika kubainisha sababu za kuoga
Inawajibika kuoga kwa mwanaume kwa kutokwa na manii katika
njia yake ya kawaida au nyingine.
Na kwa kuzamisha tene (kichwa cha dhakari) au klasi chake katika
tupu yoyote iwayo, mamoja ikiwa amezamisha katika tupu ya
mbele ya mwanamke au ya mnyama, au tupu zao za nyuma,
Tupu ya nyuma ya mwanaume au ya khuntha, akiwa (aliyezanmisha ni)
mtoto mdogo au mkubwa, hai au maiti Na ni wajibu kuoga kwa
mwanamme mwenye kutiwa katika tupu yake ya nyuma
Na ni wajibu kuoga kwa mwanamke kwa dhakari yoyote
itakayoingi katika tupu yake yeyote au tene ya mnyama, maiti, au
mtoto mdogo.

Mungu wa Wakristo Ameagiza hili!
👇👇
Leviticus 20:13
[13]Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.

. Jeremiah 2:22
[22]Maana ujapojiosha kwa magadi, na kujipatia sabuni nyingi, lakini uovu wako umeandikwa mbele zangu, asema Bwana MUNGU.

1 Corinthians 6:9-10
[9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

[10]wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.

Hakuna Aya katika Biblia Takatifu Inayo Fundisha Uchafu huo!
Kama unayo Aya kwenye Biblia Takatifu Tuwekee Mkuu!

Hivyo wanaofuata na kuuishi ushoga wanafuata na Kuishi Ilimu Islamu!

VITABU VIONGEE💪👍
Kwa hiyo ulivyoelewa hapo hiyo Aya ni imeruhusiwa ndiyo maana wakifanya wanatakiwa kuadhibiwa!?..no wonder mnaambiwa Mungu alikuja kwa njia ya binaadam akawa fundi seremala Ila aadhibiwe mkombolewe,uwezo wa kufikiri ziro
 
Elezea wewe mkuu, maana hao warabu wabamadharau sana, kazi kuwaambia wazungu ni makafiri ilihali wanakimbilia huko kutafuta maisha, hawaendi nchi za waarabu wenzao ambao si makafiri
kafir ni neno lenye maana zaidi ya moja na hakuna hata moja ambayo ni offensive , kwa uchache kafir lina maana hizi

1. Anayepinga dini ya kiislamu
2. Mtu wa dini nje ya uislamu (Bali wana wa chuoni wametofautiana juu ya hili)
3. Asiyeamini Uislamu

sasa sijaona correlation kati ya kumuita mtu kafir na kwenda kutafuta maisha kwenye nchi hizo wanazoziita za makafiri, kingine jua kwamba si kila mwarabu ni muislamu waarabu wana imani tofauti tofauti kwa uchache kuna waislamu, wapagani, wayazidi, wakristo n.k

hivyo sio kila mwarabu anayeenda kutafuta maisha ulaya ni mwislamu stop the generalization.
 
Unazikimbia hizi aya au hazimo ndanio ya biblia ??

imekujibu au hukuona au hizi aya huziamini

Unajifanya huoni

Ikiwa mwanamke atajifungua mtoto wa kiume, basi atakuwa najisi kwa siku 7.

Lakini akizaa mtoto wa kike, basi atakuwa najisi kwa siku 14. Hivyo kwa maneno mengine, kuzaliwa kwa mwanamke yeyote husababisha uchafuzi maradufu: Mambo ya Walawi 12:2-5

“Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mwanamke akichukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume, atakuwa najisi SIKU SABA. , kwa kadiri ya siku za kutengwa kwake kwa ajili ya ugonjwa wake atakuwa najisi kitu kitakatifu, wala asiingie mahali patakatifu, hata siku hizo za kutakaswa kwake zitakapotimia; siku sita."

Nadhani ni salama kusema kwamba Mhubiri 22:3 na Mambo ya Walawi 12:2-5 ni mistari dada.

Ikiwa mwanamke anajaribu kumwokoa mume wake kutokana na kipigo kwa kushika sehemu za siri za mwanamume mwingine ili kumwinua kutoka kwa mumewe, basi mikono yake yote miwili lazima ikatwe: Kumbukumbu la Torati 25:11-12

“Na kama watu wakishindana pamoja. pigana wao kwa wao, na mke wa mmoja amekaribia kumwokoa mume wake kutokana na yule anayempiga (ili kumuokoa mumewe), na yeye akanyosha mkono wake na kumshika pajani mwake. , basi lazima akatwe mikono yake yote miwili, na macho ya wanaume hao yasiwe na huzuni.”

Akina baba wanaweza kuwauza binti zao kuwa vijakazi:
Kutoka 21:7-8

“Na mtu akimuuza binti yake awe kijakazi, hatatoka jinsi watumwa wa kiume watokavyo; macho ya bwana wake asije akamweka kuwa suria, bali atamfanya akombolewe, hatastahili kumuuza kwa watu wa kigeni, katika kumtendea kwa hila.”

Mabinti hawarithi chochote wanapokuwa na watoto wa kiume: “Mtu akifa bila kuacha mtoto wa kiume, mpe urithi wake kwa binti yake.” ( Hesabu 27:8 ) Kwa hiyo sheria ya Marekani ya kugawanya kila kitu kwa usawa si ya Biblia.

Yesu anawaona wanawake kuwa uchafu unaowatia wanaume unajisi (kwa kuwa Yesu, MUNGU, ndiye anayedaiwa kuwa alivuvia Agano Jipya kama Wakristo wanavyodai):

Ufunuo 14:4

“Hao ndio (wanaume) ambao hawakujitia unajisi pamoja na wanawake; walijiweka safi. Wanamfuata Mwana-Kondoo popote aendako.
Ukizisoma hizi unaelewa nini mkuu
 
Iran nako kuna vita mkuu
Hii picha ya 2022. Hilo boti lina wa iran 70 wanakimbilia kwa makafir.
Zama hizi za www tuwe makini ku kukoment.
Pia nao wanapenda kukimbilia kwenye bata hawaendi moscow, china.
Hayo mapicha ya ndg zako wanaukimbilia yako mengi tu google mwenyewe. Hata za Saudia zipo.
Picha za kuokoteza kama hizi zipo nyingi mtandaoni.
Iran hakuna vita na hakuna muiran anayekimbia taifa lake bro,kuwa makini na propaganda za wazungu.
Saudi Arabia ni taifa la Watu matajiri MARA ELFU YA MATAIFA YOTE ULAYA NA USA.
Huyo USA mwenyewe kakopa SAUDI ARABIA
Leo hii Saudi Arabia akimbia nchi yake kwaajili gani!!??
Wairan wanaokimbia nchi yao eidha ni wale wanaopinga serikali ya Ayatollah ama wana sababu binafsi.
Kuwa makini na propagandist.
Usikute hao ni waafghanistan au wakurdistan ukadanganywa Wairan.
Tena hapo kwa Saudi Arabia ndio kabisa,Saudia kuna Watu wana mawe wewe US hakuna.
 
Talking about Arabs culture not Islam mkuu.
Islamic is not oppressive but a bitter truth is that Arab culture is oppressive.
Hawa wakristo wanaposema waarabu hukusudia waislamu
 
Sawasawa , Akili hawana kwani hawana habari kuwa hao waarabu kuna wakristo na wenye dini nyengine pamoja na wasio na dini
Ndio kuna jamaa kule juu alisema waarabu wakristo wako poa nikamwambia big NO.
Mwarabu ni mwarabu tu😂😂😂😂.
 
🤣🤣

Acha tu nianze na kicheko

Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian

Unakejeri nchi za watu na kuwaita Makafiri, halafu wewe ndo unaomba kuhamia huko na usivyo na ustarabu sasa, tabu tupu

Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu wa huko makafiri

Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!

Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri

Je? Kafiri anaweza kumlea mwislamu asiyependa makafiri?
Utasomewa albadili, haya !
 
kwa hivyo Yesu si Mungu unakubali leo , si haba unaelekea kuzuri
IMEANDIKWA KABLA YA muhammad Wala Quran KUWEPO!
👇🏼👇🏼
يوحنا 1: 1-4، 14
[1] في البدء كان الكلمة، والكلمة كان عند الله، وكان الكلمة الله.

[2] في البدء كان عند الله.

[3] حدث له كل شيء؛ وبدونه لم يحدث شيء مما تم.

[4] فيه كانت الحياة، وكانت الحياة نور الشعب.

[14] والكلمة صار جسدا وبقي معنا. ورأينا مجده مجدا كما لوحيد من الآب. وهو مملوء نعمة وحقًا.

8 قال له فيلبس يا سيد أرنا الآب يكفينا.

9 قال له يسوع: «أنا معكم هذه الأيام كلها، أما تعرفني يا فيلبس؟» الذي رآني فقد رأى الآب. فكيف تقول أرنا يا أبانا؟

yuhanaa 1: 1-4, 14
[1] fi albad' kan alkalimatu, walkalimat kan eind allahi, wakan alkalimat allahu.
[2] fi albad' kan eind allahi.
[3] hadath lah kulu shay'a; wabidunih lam yahduth shay' mimaa tama.
[4] fih kanat alhayaatu, wakanat alhayaat nur alshaeb.
[14] walkalimat sar jasadan wabaqi maena. wara'ayna majdah majdan kama liwahid min alab. wahu mamlu' niemat whqan.
8 qal lah filbas ya sayid 'arna alab yikfina.
9 qal lah yasuea: <<ana maeakum hadhih al'ayaam kullha, 'ama taerifuni ya filibis?>> aladhi rani faqad ra'aa alab. fakayf taqul 'arnan ya 'abana?

John 1:1-4,14
[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

[4]Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.

[14]Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

[8]Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.

[9]Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

Tatizo la Waislamu ni kumjadili YESU AKIWA KATIKA HALI YAKE YA UBINADAMU KAMILI! JN.1:14!
HAWANA HOJA ALIPO KUWA MUNGU KAMILI! "NENO" JN.1:1

TAMKA SASA MUNGU HANA UWEZO WA KUWA MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI ILI UJIPE WEPESI WA KUFA KAFIRI!

لا يوجد إله يمكن أن يُعبد بالبر إلا يسوع ورسوله بولس!
تكبير المسيح أكبر

la yujad 'iilah yumkin 'an yuebd bialbiri 'iilaa Yasue warasulih Bulis!💪👍
takbir ✊🏼 alMasih 'Akbar 👊🏼

HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILA YESU NA PAULO MTUME WAKE!💪👍
TAKBIR ✊🏼YESU AKBAR 👊🏼
 
Katika karne ya 7 na 8, Uislamu, uliingia Ulaya kupitia eneo la Hispania (nchi za leo za Hispania na Ureno). Waislamu walidhibiti sehemu kubwa ya Peninsula ya Iberia kwa muda wa karne tatu, kuanzia mwaka 711 hadi 1492. Katika kipindi hiki, Waislamu walikuwa na ushawishi mkubwa katika utamaduni, sayansi, na elimu barani Ulaya. HAPA WAZUNGU WAKIVAA MAGUNIA
Wazungu wakivaa magunia huku wakisafiri na kufika hadi America, Australia, Cape of Good Hope, India na New Zealand, wakati mwarabu akiishia pwani ya Afrika ya mashariki kuletea ushoga Mombasa,
 
Wazungu wakivaa magunia huku wakisafiri na kufika hadi America, Australia, Cape of Good Hope, India na New Zealand, wakati mwarabu akiishia pwani ya Afrika ya mashariki kuletea ushoga Mombasa,
Unaambiwa eti mwarabu ndo kaleta mavazi 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom