Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

🤣🤣

Acha tu nianze na kicheko

Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian

Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini ya dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu huko makafiri

Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!

Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri
Kwenda kuuondowa ukafiri.

Unajuwa kwa sasa Marekani na Ulaya Uislam unakuwa kwa kasi kuliko kwengine duniani? Bila kwenda Waislam kwa wingi wangeujuwaje kuwa Uislam ni mwema sana.

Wewe bado hujawa Muislam? Unangoja nini?
 
Na hao makafiri pia wapo nchi za kiislamu,tembea,acha kukaa,hapo kwa shemegi,mume wa dada
Kuna tofauti.Matajiri wakienda kwa waarabu wanatumia pesa kwa fujo na kukuza uchumi wa wenyeji.Hao wengine huenda kwa makafiri wakisingizia vita na kuomba hifadhi wakiwa wamepauka kwa ufukara.Umeona?
 
Ukitaka hivyo.na sisi tutahoji kwanini wao wameumbwa na ALLAH lakinu wana muasi,wamepewa,miili,akili n.k .
Vyote hivyo vimetoka kwa mungu wetu.
Wamemlipa nini MUNGU WETU?
Allah sio Mungu fata shahada inasemaje mkuu Allah ni Allah wala sio Mungu ndo maana wanasema Hakuna Mungu apasae kuabudiwa ila Allah.Allah kajitoa kabisa kua yy ni Mungu ww unalazimisha.
 
Bila muislam,kugundua Algebra,kusingekuwepo na Information technology,IT,ambayobinatumia algebra,na algebra aligundua muislamu,kila unachokiona kilichotengenezwa na binadamu ni IT,na IT ni algebra(muislamu aliyegundua)
Hahaaa jipe moyo
 
Waafrica tunachukiana na kuishi kwa kutengana sababu ya hizi dini.Jamani tuamkeni hizi ni mila za watu sisi babu zetu walikua wanaju kuna Mungu ndo maana jina Mungu lipo kabla hata ya ujio wa uislam ama ukristo kila kabila lilikua linamuita Mungu kwa jina walilo lijua.Ila hakukua sijui na mtume yesu wala muhamad na waliishi kws amani tu na upendo.
 
Kwenda kuuondowa ukafiri.

Unajuwa kwa sasa Marekani na Ulaya Uislam unakuwa kwa kasi kuliko kwengine duniani? Bila kwenda Waislam kwa wingi wangeujuwaje kuwa Uislam ni mwema sana.

Wewe bado hujawa Muislam? Unangoja nini?
Mkuu niwe mwisilamu nianze kuwawinda makafiri ili niuwe? Hiyo sahau chief
 
Sababu kuu zinazofanya waarabu kukimbilia hifadhi nchi za wazungu ni CIVILIZATION ukiachana na vijisababu vingine.
Jamii ya kiarabu ni uncivilized,mpaka sasa bado wana mila ama tamaduni za mfumo dume na kukandamiza wanawake.
Mfano mwanamke wa kiarabu kutwangwa magumi na mumewe kawaida ila Ulaya kosa la jinai.
Binti wa kiarabu akibakwa badala ya mbakaji ahukumiwe ila binti anazikwa akiwa hai eti kuikoa familia na fedheha na aibu.
Waarabu wana bado mila potofu wanaziishi hadi sasa.
Tafuta hata documentaries za vyombo vikubwa vya habari hasa uone wanawake wa Syria wanavyoona kama wameokoka kuja Ulaya,yote ni kwasababu ya POOR TABOOS za waarabu.
Waarabu bado HAWAJASTAARABIKA.
Pamoja na uislamu woote bado hawajawa civilized? Au kwenye uislamu hakuna civilization?
 
Ulaya na marekani walishaachana na ukiristo,ni wapagani,halafu waislam hawawategemei wazungu kwa hayo,mwisho waarabu wanasilimisha wazungu huko ulaya na marekani, central London Mali nyingi ni za waislam,kwa hiyo tulia
Tokea lini US ni nchi ya kipagani?
 
Pamoja na uislamu woote bado hawajawa civilized? Au kwenye uislamu hakuna civilization?
Kwenye uislamu kuna civilization kubwa ndio maana hata huo Uislam angalau imewaokoa waarabu na utumwa wa kifikra.
Japo bado hawajakomboka kikamilifu.
Ila Indonesia,Malaysia,Brunei huko mbona waislam na wamestaarabika!?
Uarabu ni shida. Na kinachowamaliza ni ile mindset ya superiority complex.
 
Kwenda kuuondowa ukafiri.

Unajuwa kwa sasa Marekani na Ulaya Uislam unakuwa kwa kasi kuliko kwengine duniani? Bila kwenda Waislam kwa wingi wangeujuwaje kuwa Uislam ni mwema sana.

Wewe bado hujawa Muislam? Unangoja nini?
UBAYA UBWELA. SO MNAWEZA ENDA HATA KUISHI KUZIMU KUUONDOA HUKO UALLAH? BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA. HUKO WANAFUATA UHURU AMBAO HAWAUPATI WALIPO. NA WAZUNGU HUWA WANA USTAARABU WA KUMWACHA KILA MTU AISHI ATAKAVYO. HAWALAZIMISHI MAISHA YA MTU. HAYA NI MUENDELEZO WA MAISHA YETU YA KINAFIQ YA KILA SIKU. KAMA ILIVYOANDIKWA KATIKA SURA MUNAFIQUNAH.
 
Kwenye uislamu kuna civilization kubwa ndio maana hata huo Uislam angalau imewaokoa waarabu na utumwa wa kifikra.
Japo bado hawajakomboka kikamilifu.
Ila Indonesia,Malaysia,Brunei huko mbona waislam na wamestaarabika!?
Uarabu ni shida. Na kinachowamaliza ni ile mindset ya superiority complex.
Mkuu! Nimependa uchangiaji wako wenye kweli ya moyo
 
Wazungu wako nchi za kiarabu,nao wamekimbia kuuliwa kwenye vitanda vya umeme vya kuuwa?Kuwa na akili
Mzungu apende kuishi Afghanistan au Irani, sahau hiyo.
Nchi wanawake wanauliwa kwa kukosa kufunika kichwa tu.
Au umesahau wale raia wa Afghanistan walio jazana kwenye dege la kivita la Marekani kwa kutaka kuikimbia nchi yao.
Hakuna Binadamu anayependa kuishi kwenye nchi inayofuata Sharia.
Ila hawana namna nyingine kwani hawana pa kwenda.
 
UBAYA UBWELA. SO MNAWEZA ENDA HATA KUISHI KUZIMU KUUONDOA HUKO UALLAH? BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA. HUKO WANAFUATA UHURU AMBAO HAWAUPATI WALIPO. NA WAZUNGU HUWA WANA USTAARABU WA KUMWACHA KILA MTU AISHI ATAKAVYO. HAWALAZIMISHI MAISHA YA MTU. HAYA NI MUENDELEZO WA MAISHA YETU YA KINAFIQ YA KILA SIKU. KAMA ILIVYOANDIKWA KATIKA SURA MUNAFIQUNAH.
Kama kuna ukafiri huko tunakwenda tu, tatizo nini?
 
Mkuu niwe mwisilamu nianze kuwawinda makafiri ili niuwe? Hiyo sahau chief
Hakuna Uislam unaofundisha hivyo. Usijidanganye.

Watu wanauingia Uislam makundi ka makundi kwa kuwatazama tu Waislam wanaoishi Kiislam wanavyoishi.

Hata wewe ukiwatazama Waislam wanaoishi Kiislam utawaona walivyo na amani na furaha, utapenda.
 
Huu ni uwongo wa kujipa moyo,mwezi wa Ramadan na IDD tunaona viwanja vinafurika kuswali na vibe la kufunga ulaya na marekani
Porojo za masjid ubwabwa. Watu wanakimbia utamaduni wao wa karne ya saba na kukimbilia ugenini kutafuta uhuru.

Binadamu aliumbwa kuwa huru ila watu waliorubuniwa na shetani wakawafanya watu mateka kwa kuwabambikia sheria za kipumbavu.
 
Hakuna Uislam unaofundisha hivyo. Usijidanganye.

Watu wanauingia Uislam makundi ka makundi kwa kuwatazama tu Waislam wanaoishi Kiislam wanavyoishi.

Hata wewe ukiwatazama Waislam wanaoishi Kiislam utawaona walivyo na amani na furaha, utapenda.
Usidanganye watu wasingekuwa wanakimbia utamaduni wa kiarabu wa karne ya saba.
 
Back
Top Bottom