Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wanapenda kuishi kwa makafiri.😂😂HAPO HUWA HATA MIMI NASHANGAA SANA. HAWATAKI KUKAA KWAO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapenda kuishi kwa makafiri.😂😂HAPO HUWA HATA MIMI NASHANGAA SANA. HAWATAKI KUKAA KWAO.
Na hao makafiri pia wapo nchi za kiislamu,tembea,acha kukaa,hapo kwa shemegi,mume wa dadaWanapenda kuishi kwa makafiri.😂😂
Kwenda kuuondowa ukafiri.🤣🤣
Acha tu nianze na kicheko
Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian
Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini ya dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu huko makafiri
Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!
Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri
Kuna tofauti.Matajiri wakienda kwa waarabu wanatumia pesa kwa fujo na kukuza uchumi wa wenyeji.Hao wengine huenda kwa makafiri wakisingizia vita na kuomba hifadhi wakiwa wamepauka kwa ufukara.Umeona?Na hao makafiri pia wapo nchi za kiislamu,tembea,acha kukaa,hapo kwa shemegi,mume wa dada
Allah sio Mungu fata shahada inasemaje mkuu Allah ni Allah wala sio Mungu ndo maana wanasema Hakuna Mungu apasae kuabudiwa ila Allah.Allah kajitoa kabisa kua yy ni Mungu ww unalazimisha.Ukitaka hivyo.na sisi tutahoji kwanini wao wameumbwa na ALLAH lakinu wana muasi,wamepewa,miili,akili n.k .
Vyote hivyo vimetoka kwa mungu wetu.
Wamemlipa nini MUNGU WETU?
Hahaaa jipe moyoBila muislam,kugundua Algebra,kusingekuwepo na Information technology,IT,ambayobinatumia algebra,na algebra aligundua muislamu,kila unachokiona kilichotengenezwa na binadamu ni IT,na IT ni algebra(muislamu aliyegundua)
Mkuu niwe mwisilamu nianze kuwawinda makafiri ili niuwe? Hiyo sahau chiefKwenda kuuondowa ukafiri.
Unajuwa kwa sasa Marekani na Ulaya Uislam unakuwa kwa kasi kuliko kwengine duniani? Bila kwenda Waislam kwa wingi wangeujuwaje kuwa Uislam ni mwema sana.
Wewe bado hujawa Muislam? Unangoja nini?
Pamoja na uislamu woote bado hawajawa civilized? Au kwenye uislamu hakuna civilization?Sababu kuu zinazofanya waarabu kukimbilia hifadhi nchi za wazungu ni CIVILIZATION ukiachana na vijisababu vingine.
Jamii ya kiarabu ni uncivilized,mpaka sasa bado wana mila ama tamaduni za mfumo dume na kukandamiza wanawake.
Mfano mwanamke wa kiarabu kutwangwa magumi na mumewe kawaida ila Ulaya kosa la jinai.
Binti wa kiarabu akibakwa badala ya mbakaji ahukumiwe ila binti anazikwa akiwa hai eti kuikoa familia na fedheha na aibu.
Waarabu wana bado mila potofu wanaziishi hadi sasa.
Tafuta hata documentaries za vyombo vikubwa vya habari hasa uone wanawake wa Syria wanavyoona kama wameokoka kuja Ulaya,yote ni kwasababu ya POOR TABOOS za waarabu.
Waarabu bado HAWAJASTAARABIKA.
Tokea lini US ni nchi ya kipagani?Ulaya na marekani walishaachana na ukiristo,ni wapagani,halafu waislam hawawategemei wazungu kwa hayo,mwisho waarabu wanasilimisha wazungu huko ulaya na marekani, central London Mali nyingi ni za waislam,kwa hiyo tulia
Kwenye uislamu kuna civilization kubwa ndio maana hata huo Uislam angalau imewaokoa waarabu na utumwa wa kifikra.Pamoja na uislamu woote bado hawajawa civilized? Au kwenye uislamu hakuna civilization?
UBAYA UBWELA. SO MNAWEZA ENDA HATA KUISHI KUZIMU KUUONDOA HUKO UALLAH? BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA. HUKO WANAFUATA UHURU AMBAO HAWAUPATI WALIPO. NA WAZUNGU HUWA WANA USTAARABU WA KUMWACHA KILA MTU AISHI ATAKAVYO. HAWALAZIMISHI MAISHA YA MTU. HAYA NI MUENDELEZO WA MAISHA YETU YA KINAFIQ YA KILA SIKU. KAMA ILIVYOANDIKWA KATIKA SURA MUNAFIQUNAH.Kwenda kuuondowa ukafiri.
Unajuwa kwa sasa Marekani na Ulaya Uislam unakuwa kwa kasi kuliko kwengine duniani? Bila kwenda Waislam kwa wingi wangeujuwaje kuwa Uislam ni mwema sana.
Wewe bado hujawa Muislam? Unangoja nini?
Mkuu! Nimependa uchangiaji wako wenye kweli ya moyoKwenye uislamu kuna civilization kubwa ndio maana hata huo Uislam angalau imewaokoa waarabu na utumwa wa kifikra.
Japo bado hawajakomboka kikamilifu.
Ila Indonesia,Malaysia,Brunei huko mbona waislam na wamestaarabika!?
Uarabu ni shida. Na kinachowamaliza ni ile mindset ya superiority complex.
Pa ukweli panasemwa ukweli.Mkuu! Nimependa uchangiaji wako wenye kweli ya moyo
Ikukae akiliniTokea lini US ni nchi ya kipagani?
Mzungu apende kuishi Afghanistan au Irani, sahau hiyo.Wazungu wako nchi za kiarabu,nao wamekimbia kuuliwa kwenye vitanda vya umeme vya kuuwa?Kuwa na akili
Kama kuna ukafiri huko tunakwenda tu, tatizo nini?UBAYA UBWELA. SO MNAWEZA ENDA HATA KUISHI KUZIMU KUUONDOA HUKO UALLAH? BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA. HUKO WANAFUATA UHURU AMBAO HAWAUPATI WALIPO. NA WAZUNGU HUWA WANA USTAARABU WA KUMWACHA KILA MTU AISHI ATAKAVYO. HAWALAZIMISHI MAISHA YA MTU. HAYA NI MUENDELEZO WA MAISHA YETU YA KINAFIQ YA KILA SIKU. KAMA ILIVYOANDIKWA KATIKA SURA MUNAFIQUNAH.
Hakuna Uislam unaofundisha hivyo. Usijidanganye.Mkuu niwe mwisilamu nianze kuwawinda makafiri ili niuwe? Hiyo sahau chief
Porojo za masjid ubwabwa. Watu wanakimbia utamaduni wao wa karne ya saba na kukimbilia ugenini kutafuta uhuru.Huu ni uwongo wa kujipa moyo,mwezi wa Ramadan na IDD tunaona viwanja vinafurika kuswali na vibe la kufunga ulaya na marekani
Usidanganye watu wasingekuwa wanakimbia utamaduni wa kiarabu wa karne ya saba.Hakuna Uislam unaofundisha hivyo. Usijidanganye.
Watu wanauingia Uislam makundi ka makundi kwa kuwatazama tu Waislam wanaoishi Kiislam wanavyoishi.
Hata wewe ukiwatazama Waislam wanaoishi Kiislam utawaona walivyo na amani na furaha, utapenda.