Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Kwani Yesu ni Nani huyo kwa mujibu wa biblia ?
Yesu ni MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI!💪👍
👇👇
لا ينبغي أن يوعد الله بحق سوى يسوع! وبولس رسوله

la yanbaghi 'an yueid allah bihaqi siwaa yasuea! wabulus rasulah

Hakuna Mungu Apaswaye Kuabudiwa kwa Haqi ila Yesu! na Paulo Mtume wake
Takbir✊🏼Yasue Akbar👊🏼
 
Mbona unakimbia kutuambia ile Exodus uliyotuletea katuletea Mungu yupi ?
Nikimbie kitu Gani?? Mimi, ww, muham mad aka allah MUNGU WETU ni Mmoja!
👇👇
وَإِلَـٰهُكُمْ إِلَـٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَّا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَـٰنُ الرَّحِيمُ

[ AL - BAQARA - 163 ]
Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
 
🤣🤣

Acha tu nianze na kicheko

Lakini pili:

Napenda kujivunia nchi yangu Tanzania na Watanzania wenzangu wengi ambao licha ya kutofautiana dini, lakini bado, namna tunavyoishi, ni mfano wa ndugu wa damu moja ingaweje kuna baadhi ya wachache washika dini ambao hutaka kulazimisha kutaka kushikamana na mafundisho ya chuki dhidi ya wengine

Jambo la tatu, Naipongeza serikali yangu ya TANZANIA, jinsi ilivyo makini hasa katika kusimamia uhuru wa kuabudu na kuwachukulia hatua wowote wenye kutaka kuleta sintofahamu za kidini

Asante TANZANIA kwa kuendelea kusimamia misingi yote ya kulinda Imani zote na kuacha uhuru wa kuabudu, Jambo moja lingine la kujivunia ni kwamba, twaweza kuwa chini kielimu lakini Elimu ihusuyo Dini, tunaimudu vema na haituzingui, waarabu wao waendelee na imani yao isiyotambulika na dini zote hapa nchini, wao kuwa na utamaduni wa kujilipua mabomu na kuleta taharuki

Nikirejea kwenye mada sasa...!

Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian

Unakejeri nchi za watu na kuwaita Makafiri, halafu wewe ndo unaomba kuhamia huko na usivyo na ustarabu sasa, tabu tupu

Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu wa huko makafiri

Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!

Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri

Je? Kafiri anaweza kumlea mwislamu asiyependa makafiri?
Wamekimbia kwenye nchi zao zenye dini ya amani.
 
Nikimbie kitu Gani?? Mimi, ww, muham mad aka allah MUNGU WETU ni Mmoja!
👇👇
وَإِلَـٰهُكُمْ إِلَـٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَّا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَـٰنُ الرَّحِيمُ

[ AL - BAQARA - 163 ]
Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.

sasa jibu swali

ile Exodus uliyotuletea ,katuletea Mungu yupi ?
 
Yesu ni MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI!💪👍
👇👇
لا ينبغي أن يوعد الله بحق سوى يسوع! وبولس رسوله

la yanbaghi 'an yueid allah bihaqi siwaa yasuea! wabulus rasulah

Hakuna Mungu Apaswaye Kuabudiwa kwa Haqi ila Yesu! na Paulo Mtume wake
Takbir✊🏼Yasue Akbar👊🏼

Ni wapi alikuambia kuwa mimi ni mungu na mwanadamu kamili ?? mbona unampakazia ??
 
Mwandishi ni huyohuyo Yohana mkuu

Injili ya Yohana:

Hivi ndivyo wanatheolojia na wanahistoria wa Biblia walivyosema kuhusu injili hii:

“Wasomi wengi wa karne mbili zilizopita wamekana kwamba Yohana ndiye aliyeandika kitabu hiki, kwa sababu ya imani yao kwamba mwandishi alibuni mambo mengi kama vile miujiza na mazungumzo ya Yesu (The Holman Illustrated Study Bible, ISBN: 978-1-58640-275-4, Injili ya Yohana, Ukurasa 1540)"

"Uchambuzi wao Muhimu hufanya iwe vigumu kukubali wazo kwamba injili kama ilivyo sasa iliandikwa na mtu mmoja. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"

"Ndani ya injili yenyewe pia kuna baadhi ya kutofautiana. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"

"Ili kutatua matatizo haya, wasomi wamependekeza upangaji upya mbalimbali ambao utatoa utaratibu mzuri zaidi. Hata hivyo, wengi wamefikia hitimisho kwamba kutofautiana pengine kulitolewa na uhariri uliofuata ambapo vifaa vya homogeneous viliongezwa kwa asili fupi. Biblia, ISBN: 978-0-529-06484-4, Ukurasa 1136)"

"Matatizo mengine kwa nadharia yoyote ya uandishi wa mashuhuda wa injili katika hali yake ya sasa yanawasilishwa na theolojia yake iliyoendelea sana na kwa vipengele fulani vya mtindo wake wa kifasihi. ( The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4; Ukurasa wa 1136)"

"Injili ina maelezo mengi kuhusu Yesu ambayo hayapatikani katika muhtasari wa injili. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"

“Uhariri wa mwisho wa injili na mpangilio katika hali yake ya sasa huenda ulianza kati ya A.D. 90 na 100. Kidesturi, Efeso imependelewa kama mahali pa utunzi, ingawa wengi wanaunga mkono eneo la Shamu, pengine jiji la Antiokia, wakati wamependekeza maeneo mengine, ikiwa ni pamoja na Alexandria (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Ukurasa 1136)"
 
Yesu ni MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI!💪👍
👇👇
لا ينبغي أن يوعد الله بحق سوى يسوع! وبولس رسوله

la yanbaghi 'an yueid allah bihaqi siwaa yasuea! wabulus rasulah

Hakuna Mungu Apaswaye Kuabudiwa kwa Haqi ila Yesu! na Paulo Mtume wake
Takbir✊🏼Yasue Akbar👊🏼

MUNGU HAWEZI KUONEKANA KWA MACHO. HAKUNA ALIYEMWONA MUNGU, KWA HIYO YESU SI MUNGU!

Yesu (AS) akasema; "Hakuna mtu ambaye amemwona Mungu wakati wowote." [Yohana 1:18]

Yesu (AS) akasema; "Si kwamba mtu amemwona Baba." [Yohana 6:46]

“Hakuna maono yanayoweza kumshika, bali Yeye hushika maono yote. Yeye ni Al-Latiif (Mpole na Mpole), Mjuzi wa kila kitu.” [Qur’ani 6:103]

“MUNGU akaendelea, “Lakini huenda usinione uso wangu. Hakuna anayeweza kuniona na kuishi.” [Kutoka 33:20]

“Mungu asiyeonekana.” [Wakolosai 1:15]

“Basi kwa Mfalme wa milele, asiyeweza kufa, asiyeonekana, Mungu pekee, na iwe heshima na utukufu milele na milele. [1 Timotheo 1:17]

Ambaye hakuna mtu aliyemwona wala awezaye kumwona.” [1 Timotheo 6:16]

YESU NI MTUMISHI WA MWENYEZI MUNGU, HIVYO YEYE SI MUNGU!

Yesu (AS) akasema; “Kama vile Mwana wa Adamu hakuja kutumikiwa, bali kutumika.” [Mathayo 20:28]

“Tazama mtumishi wangu (Yesu), niliyemchagua.” [Mathayo 12:18]

"Mungu wa Ibrahimu na wa Isaka, amemtukuza mtumishi wake Yesu." [Matendo 3:13]

"Kwa maana ni kweli juu ya mtumishi wako mtakatifu Yesu, uliyemtia mafuta." [Matendo 4:27]
 
Nikimbie kitu Gani?? Mimi, ww, muham mad aka allah MUNGU WETU ni Mmoja!
👇👇
وَإِلَـٰهُكُمْ إِلَـٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَّا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَـٰنُ الرَّحِيمُ

[ AL - BAQARA - 163 ]
Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.

YESU ALIMUOMBA MUNGU, JE, MUNGU ANAJIOMBEA MWENYEWE?

• Yesu aliomba mwongozo katika mahali pa faragha - “Asubuhi na mapema, kukiwa bado na giza, Yesu aliamka, akatoka nyumbani, akaenda mahali pasipokuwa na watu, akasali. [Marko 1:35]

"Lakini mara nyingi Yesu aliondoka kwenda mahali pasipokuwa na watu na kusali." [Luka 5:16]

• Yesu aliombea wanafunzi wake na waamini wote -“Baba Mtakatifu (MUNGU), uwalinde kwa nguvu ya jina lako—jina ulilonionyesha—ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja” [Yohana 17:11]. ].

• Yesu aliomba kwa sifa kwa Mungu, Baba – “Wakati huo Yesu, akijawa na furaha kwa Roho Mtakatifu, akasema, Nakusifu, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na hekima. kujifunza, na kuwafunulia watoto wadogo. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyokupendeza.” ( Luka 10:21 )

• Yesu aliomba kwa mkao na kwa mtazamo wa kunyenyekea kwa uchaji – “Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke. Lakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe” (Mathayo 26:39).

• Yesu aliomba katika nyakati za uchungu – “Naye, akiwa katika dhiki, akazidi kuomba kwa bidii, na jasho lake likawa kama matone ya damu yakidondoka chini. [Luka 22:44]
 
Yesu ni MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI!💪👍
👇👇
لا ينبغي أن يوعد الله بحق سوى يسوع! وبولس رسوله

la yanbaghi 'an yueid allah bihaqi siwaa yasuea! wabulus rasulah

Hakuna Mungu Apaswaye Kuabudiwa kwa Haqi ila Yesu! na Paulo Mtume wake
Takbir✊🏼Yasue Akbar👊🏼

YESU ANA MUNGU, KWA HIYO SI MUNGU!

“Yesu akamwambia, Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba yangu; na kwa Mungu wangu, na Mungu wenu.” [Yohana 20:17]

“Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo…” (1 Petro 1:3)

“Wakati huo Yesu, akijawa na furaha kwa Roho Mtakatifu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na elimu, ukawafunulia watoto wadogo. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyokupendeza.” ( Luka 10:21 )

Yesu (AS) alisema, “Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. [Yohana 17:3]

"Yesu akawajibu, akasema, Mafundisho yangu si yangu, bali ni yake yeye aliyenipeleka." [Yohana 7:16]
 
Injili ya Yohana:

Hivi ndivyo wanatheolojia na wanahistoria wa Biblia walivyosema kuhusu injili hii:

“Wasomi wengi wa karne mbili zilizopita wamekana kwamba Yohana ndiye aliyeandika kitabu hiki, kwa sababu ya imani yao kwamba mwandishi alibuni mambo mengi kama vile miujiza na mazungumzo ya Yesu (The Holman Illustrated Study Bible, ISBN: 978-1-58640-275-4, Injili ya Yohana, Ukurasa 1540)"

"Uchambuzi wao Muhimu hufanya iwe vigumu kukubali wazo kwamba injili kama ilivyo sasa iliandikwa na mtu mmoja. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"

"Ndani ya injili yenyewe pia kuna baadhi ya kutofautiana. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"

"Ili kutatua matatizo haya, wasomi wamependekeza upangaji upya mbalimbali ambao utatoa utaratibu mzuri zaidi. Hata hivyo, wengi wamefikia hitimisho kwamba kutofautiana pengine kulitolewa na uhariri uliofuata ambapo vifaa vya homogeneous viliongezwa kwa asili fupi. Biblia, ISBN: 978-0-529-06484-4, Ukurasa 1136)"

"Matatizo mengine kwa nadharia yoyote ya uandishi wa mashuhuda wa injili katika hali yake ya sasa yanawasilishwa na theolojia yake iliyoendelea sana na kwa vipengele fulani vya mtindo wake wa kifasihi. ( The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4; Ukurasa wa 1136)"

"Injili ina maelezo mengi kuhusu Yesu ambayo hayapatikani katika muhtasari wa injili. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"

“Uhariri wa mwisho wa injili na mpangilio katika hali yake ya sasa huenda ulianza kati ya A.D. 90 na 100. Kidesturi, Efeso imependelewa kama mahali pa utunzi, ingawa wengi wanaunga mkono eneo la Shamu, pengine jiji la Antiokia, wakati wamependekeza maeneo mengine, ikiwa ni pamoja na Alexandria (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Ukurasa 1136)"
Mjadara unaenda vizuri sana

Okay,

Kwanza tambua kwamba bwana Jagina

Jina (MUNGU) = na cheyo, yaani, ni kiti kinachosubiri mwenye hiyo mamlaka kukikaliwa

Ni sawa na kiti cha (Rais) Rais ni nafasi na au cheyo na siyo jina la mwenye Cheyo, mwenye Cheyo analo jina lake kamili, na anapoondoka kwenye nafasi hiyo, bado haibadirishi neno Rais! Yesu kuja duniani na kuvaa mwili, hakukumbafirisha kubaki kwenye nafasi hiyo kama (NENO) Ambaye ndiye MUNGU

Ndiyo maana kuna miungu wengi, na hata nafasi au cheo cha urais, kinaeweza kuwepo na nagasi hizo nyingi, lakini mwenye mamlaka makuu ni yule rais wa marais

ninakurejeza tena katika kitabu cha Yohana 1:1-14 hasa hasa ule wa 14 pekee

utakuja kugundua kuwa, anayejipambanua kwenye hiyo nafasi (CHEO) cha nafasi ya Uungu ndiye huyo (NENO) ambaye alikuja dunuani, kisha akavaa mwili huo ambao hata wewe unao, inamalizia kusema, nasi tukauona utukufu wa MUNGU

Ingaweje unamkataa Yohana kwamba hatambuliki na ili tu kuhalarisha kile kilichoko kwenye moyo wako
 
YESU ALIMUOMBA MUNGU, JE, MUNGU ANAJIOMBEA MWENYEWE?

• Yesu aliomba mwongozo katika mahali pa faragha - “Asubuhi na mapema, kukiwa bado na giza, Yesu aliamka, akatoka nyumbani, akaenda mahali pasipokuwa na watu, akasali. [Marko 1:35]

"Lakini mara nyingi Yesu aliondoka kwenda mahali pasipokuwa na watu na kusali." [Luka 5:16]

• Yesu aliombea wanafunzi wake na waamini wote -“Baba Mtakatifu (MUNGU), uwalinde kwa nguvu ya jina lako—jina ulilonionyesha—ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja” [Yohana 17:11]. ].

• Yesu aliomba kwa sifa kwa Mungu, Baba – “Wakati huo Yesu, akijawa na furaha kwa Roho Mtakatifu, akasema, Nakusifu, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na hekima. kujifunza, na kuwafunulia watoto wadogo. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyokupendeza.” ( Luka 10:21 )

• Yesu aliomba kwa mkao na kwa mtazamo wa kunyenyekea kwa uchaji – “Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke. Lakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe” (Mathayo 26:39).

• Yesu aliomba katika nyakati za uchungu – “Naye, akiwa katika dhiki, akazidi kuomba kwa bidii, na jasho lake likawa kama matone ya damu yakidondoka chini. [Luka 22:44]
Bila shaka tunakubaliana sote kwamba! Hakuna neno lolote gumu kwa Mungu

Ikiwa tunakubaliana hivyo, basi ukubali pia kwamba, Yesu ambaye ni (NENO) ambaye ndiye mwenye cheyo cha MUNGU, Katika mwili, aliona njaa

Katika mwili, alifanya ya kimwili, lakini katika Uungu wake, alifanya ya Kimungu
 
YESU ANA MUNGU, KWA HIYO SI MUNGU!

“Yesu akamwambia, Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba yangu; na kwa Mungu wangu, na Mungu wenu.” [Yohana 20:17]

“Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo…” (1 Petro 1:3)

“Wakati huo Yesu, akijawa na furaha kwa Roho Mtakatifu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na elimu, ukawafunulia watoto wadogo. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyokupendeza.” ( Luka 10:21 )

Yesu (AS) alisema, “Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. [Yohana 17:3]

"Yesu akawajibu, akasema, Mafundisho yangu si yangu, bali ni yake yeye aliyenipeleka." [Yohana 7:16]
Huna Sifa wla MAMLAKA ya Kufundisha BIBLIA TAKATIFU!
Hayo Mandiko yamekuua ni Arhumu!
👇👇
2 Corinthians 3:6
[6]Naye ndiye aliyetutosheleza kuwa wahudumu wa agano jipya; si wa andiko, bali wa roho; kwa maana andiko huua, bali roho huhuisha.

لا ينبغي أن يوعد الله بحق سوى يسوع! وبولس رسوله

la yanbaghi 'an yueid allah bihaqi siwaa yasuea! wabulus rasulah

Hakuna Mungu Apaswaye Kuabudiwa kwa Haqi ila Yesu! na Paulo Mtume wake
Takbir✊🏼Yasue Akbar👊🏼
 
MUNGU HAWEZI KUONEKANA KWA MACHO. HAKUNA ALIYEMWONA MUNGU, KWA HIYO YESU SI MUNGU!

Yesu (AS) akasema; "Hakuna mtu ambaye amemwona Mungu wakati wowote." [Yohana 1:18]

Yesu (AS) akasema; "Si kwamba mtu amemwona Baba." [Yohana 6:46]

“Hakuna maono yanayoweza kumshika, bali Yeye hushika maono yote. Yeye ni Al-Latiif (Mpole na Mpole), Mjuzi wa kila kitu.” [Qur’ani 6:103]

“MUNGU akaendelea, “Lakini huenda usinione uso wangu. Hakuna anayeweza kuniona na kuishi.” [Kutoka 33:20]

“Mungu asiyeonekana.” [Wakolosai 1:15]

“Basi kwa Mfalme wa milele, asiyeweza kufa, asiyeonekana, Mungu pekee, na iwe heshima na utukufu milele na milele. [1 Timotheo 1:17]

Ambaye hakuna mtu aliyemwona wala awezaye kumwona.” [1 Timotheo 6:16]

YESU NI MTUMISHI WA MWENYEZI MUNGU, HIVYO YEYE SI MUNGU!

Yesu (AS) akasema; “Kama vile Mwana wa Adamu hakuja kutumikiwa, bali kutumika.” [Mathayo 20:28]

“Tazama mtumishi wangu (Yesu), niliyemchagua.” [Mathayo 12:18]

"Mungu wa Ibrahimu na wa Isaka, amemtukuza mtumishi wake Yesu." [Matendo 3:13]

"Kwa maana ni kweli juu ya mtumishi wako mtakatifu Yesu, uliyemtia mafuta." [Matendo 4:27]
YESU ALIKUWEPO KABLA YA KUZALIWA
Ufuatao ni ushahidi wa kibiblia kwamba YESU KRISTO ni Mungu.
Yohana 8:58
Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye IBRAHIMU ASIJAKUWAKO, MIMI NIKO.
NIKO ni jina la Mungu peke yake. Tunakutana na jina hilo pale Musa alipoongea na Mungu na kutumwa kuwakomboa wana wa Israeli kutoka Misri. Imeandikwa:
Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n’nani? Niwaambie nini? Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO (Kutoka 3:13-14).
Mwanadamu yuko kwa sababu Mungu alisababisha awepo. Gari liko kwa sababu injinia au mbunifu alisababisha liwepo. Nyumba ipo kwa sababu fundi alisababisha iwepo. Lakini Mungu YEYE YUKO TU!! Hayupo kwa kusababishwa na yeyote! Ndiyo maana akasema MIMI NIKO AMBAYE NIKO! Yesu ni NIKO. Kwa hiyo, Yeye ni Mungu.
 
Mjadara unaenda vizuri sana

Okay,

Kwanza tambua kwamba bwana Jagina

Jina (MUNGU) = na cheyo, yaani, ni kiti kinachosubiri mwenye hiyo mamlaka kukikaliwa

Ni sawa na kiti cha (Rais) Rais ni nafasi na au cheyo na siyo jina la mwenye Cheyo, mwenye Cheyo analo jina lake kamili, na anapoondoka kwenye nafasi hiyo, bado haibadirishi neno Rais! Yesu kuja duniani na kuvaa mwili, hakukumbafirisha kubaki kwenye nafasi hiyo kama (NENO) Ambaye ndiye MUNGU

Ndiyo maana kuna miungu wengi, na hata nafasi au cheo cha urais, kinaeweza kuwepo na nagasi hizo nyingi, lakini mwenye mamlaka makuu ni yule rais wa marais

ninakurejeza tena katika kitabu cha Yohana 1:1-14 hasa hasa ule wa 14 pekee

utakuja kugundua kuwa, anayejipambanua kwenye hiyo nafasi (CHEO) cha nafasi ya Uungu ndiye huyo (NENO) ambaye alikuja dunuani, kisha akavaa mwili huo ambao hata wewe unao, inamalizia kusema, nasi tukauona utukufu wa MUNGU

Ingaweje unamkataa Yohana kwamba hatambuliki na ili tu kuhalarisha kile kilichoko kwenye moyo wako
Hiyo ni kwa mujibu wa biblia au injili ya bulelaa?
 
YESU ANA MUNGU, KWA HIYO SI MUNGU!

“Yesu akamwambia, Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba yangu; na kwa Mungu wangu, na Mungu wenu.” [Yohana 20:17]

“Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo…” (1 Petro 1:3)

“Wakati huo Yesu, akijawa na furaha kwa Roho Mtakatifu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na elimu, ukawafunulia watoto wadogo. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyokupendeza.” ( Luka 10:21 )

Yesu (AS) alisema, “Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. [Yohana 17:3]

"Yesu akawajibu, akasema, Mafundisho yangu si yangu, bali ni yake yeye aliyenipeleka." [Yohana 7:16]
Unaelewa ninapo kwamba YESU NI MUNGU KAMILI NA NI MWANADAMU KAMILI??
👇👇
John 1:1,3,14
[1]In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

[3]All things were made by him; and without him was not any thing made that was made.
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

[14]And the Word was made flesh, and dwelt among us, (and we beheld his glory, the glory as of the only begotten of the Father,) full of grace and truth.
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
 
MUNGU HAWEZI KUONEKANA KWA MACHO. HAKUNA ALIYEMWONA MUNGU, KWA HIYO YESU SI MUNGU!

Yesu (AS) akasema; "Hakuna mtu ambaye amemwona Mungu wakati wowote." [Yohana 1:18]

Yesu (AS) akasema; "Si kwamba mtu amemwona Baba." [Yohana 6:46]

“Hakuna maono yanayoweza kumshika, bali Yeye hushika maono yote. Yeye ni Al-Latiif (Mpole na Mpole), Mjuzi wa kila kitu.” [Qur’ani 6:103]

“MUNGU akaendelea, “Lakini huenda usinione uso wangu. Hakuna anayeweza kuniona na kuishi.” [Kutoka 33:20]

“Mungu asiyeonekana.” [Wakolosai 1:15]

“Basi kwa Mfalme wa milele, asiyeweza kufa, asiyeonekana, Mungu pekee, na iwe heshima na utukufu milele na milele. [1 Timotheo 1:17]

Ambaye hakuna mtu aliyemwona wala awezaye kumwona.” [1 Timotheo 6:16]

YESU NI MTUMISHI WA MWENYEZI MUNGU, HIVYO YEYE SI MUNGU!

Yesu (AS) akasema; “Kama vile Mwana wa Adamu hakuja kutumikiwa, bali kutumika.” [Mathayo 20:28]

“Tazama mtumishi wangu (Yesu), niliyemchagua.” [Mathayo 12:18]

"Mungu wa Ibrahimu na wa Isaka, amemtukuza mtumishi wake Yesu." [Matendo 3:13]

"Kwa maana ni kweli juu ya mtumishi wako mtakatifu Yesu, uliyemtia mafuta." [Matendo 4:27]

Unaelewa ninapo kwamba YESU NI MUNGU KAMILI NA NI MWANADAMU KAMILI??
👇👇
John 1:1,3,14
[1]In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

[3]All things were made by him; and without him was not any thing made that was made.
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

[14]And the Word was made flesh, and dwelt among us, (and we beheld his glory, the glory as of the only begotten of the Father,) full of grace and truth.
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
Boss! Anakuelewa fika, ila kwa sababu ya jinsi ambavyo wameelekezwa wakatae tu kuuhusu Uungu wa Yesu, basi tu
 
Unaelewa ninapo kwamba YESU NI MUNGU KAMILI NA NI MWANADAMU KAMILI??
👇👇
John 1:1,3,14
[1]In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

[3]All things were made by him; and without him was not any thing made that was made.
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

[14]And the Word was made flesh, and dwelt among us, (and we beheld his glory, the glory as of the only begotten of the Father,) full of grace and truth.
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. (NIV)

Huenda ‘ushahidi’ wa uungu wa Yesu ulionukuliwa sana ni Yohana 1:1 na 14, “Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, na Neno alikuwa Mungu… Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.”

Hata hivyo, maelezo haya hayakutolewa na Yesu Kristo, wala hayakuhusishwa naye na mtunzi wa Injili kwa mujibu wa Yohana.

Hivyo, mistari hii haiundi ushahidi wa uungu wa Yesu, hasa hasa kuzingatia shaka inayoshikiliwa na wasomi wa Kikristo juu ya Injili ya Nne.

Wasomi wa Biblia waliotunga Injili tano: “Picha mbili zilizochorwa na Yohana na muhtasari wa injili (yaani Injili ya Mathayo, Marko na Luka) zote mbili haziwezi kuwa ubainifu wa kihistoria.

Neno lilohusishwa na Yesu katika Injili ya Nne limeundwa na wainjilisti kwa sehemu kubwa, na linaakisi mwendelezo wa lugha ya jamii ya Wakristo wa Kiyohana.

Neno la Kigiriki lilotumiwa na mtunzi wa Injili ya Nne asiyejulikana kwa “neno” ni logos.

Kwa kufanya hivyo, huyo mtunzi anamtambulisha Yesu kwa logos la wanafalsa wapagani wa Kigiriki, neno ambalo lilikuwa na lengo takatifu na thabiti lililojitokeza ulimwenguni, huyo mtunzi akalipangilia neno hilo na kulipa mfumo na maana.

Wazo la logos katika fikra za Kigiriki huenda linarejea nyuma, kwa uchache hadi kwa mwanafalsafa wa karne ya sita BC, Heracleitus, aliyependekeza kuwa, kulikuwa na logos ulimwenguni anayetenda kwa mwanadamu kulingana na nguvu ya hoja.

Baadaye, Stoics analitambulisha logos kuwa ni tendo, mantiki, na kanuni ya kiroho inayosambaa katika ukweli wote.

Mwanafalsafa wa Kiyahudi anayeongea Kigiriki, Judaeus Philo wa Alexandria (15 BC -45 CE), amefundisha kuwa logos alikuwa ni mpatanishi baina ya Mungu na ulimwengu, kwa kuwa na sifa mbili za uwakala wa Mungu na ulimwengu, na kuwa na sifa mbili za uwakala wa viumbe na wakala wa ambaye kupitia kwake akili ya mwanadamu inaweza kumfahamu Mungu.

Maandiko ya Philo yalihifadhiwa na kutunzwa na kanisa, na kueneza ufunuo kwa mafundisho ya kistaarabu ya tiolojia ya kifalsafa ya Kikristo. Aliacha mafundisho ya fikra za Kipilato wakichukulia logos (Neno) na kuliita “mtoto wa kwanza wa kuzaliwa na Mungu.”

Utambulisho wa Yesu kwa logos, uliendelezwa katika kanisa la kwanza ikiwa ni tokeo la majaribio yaliyofanywa na wanatiolojia wa kwanza wa Kikristo pamoja na watetezi kuielezea imani ya Kikristo kwa istilahi ambayo ingekuwa wazi kwa ulimwengu wa Wayunani.

Zaidi ya hayo, ilikuwa ni kuwavutia wasikilizaji wao na mtazamo wao kuwa Ukristo ulikuwa unashinda, au mrithi wa wale wote waliokuwa wanafalsafa bora wa kipagani.

Kwa hiyo, katika kazi zao za utetezi na ubishani, Mapadri wa Kikristo wa kwanza wameeleza kuwa Yesu alikuwa ni logos aliyekuwepo hapo kabla.

Neno la Kigiriki lililotumika kwa maana ya ‘Mungu’ katika hiyo ibara ni “na Neno lilikuwa kwa Mungu,” lipo katika mtindo wa “definite form- yaani mtindo uliowazi, au unaofahamika” batheos, Linalomaanisha “Huyo Mungu, au Mungu maalum”.

Hata hivyo, katika ibara ya pili “na Neno alikuwa Mungu”, neno la Kigiriki lililotumika kwa maana ya ‘Mungu’ katika ibara lipo katika mtindo wa “indefinite form- yaani mtindo usiowazi, au usiofahamika” tontheos, Linalomaanisha ‘mungu yoyote, yaani mungu asiyejulikana, au mungu yoyote asiye maalumu’.

Kwa hiyo, Yohana 1:1, kwa uwazi zaidi ilipaswa itafsiriwe, “Hapo Mwanzo kulikuwa na Neno, na hilo Neno lilikuwa kwa Mungu, na hilo Neno lilikuwa mungu mwingine.”

Kwa hiyo, kama hilo neno lilikuwa mungu mwingine kwa ufahamu wa kifasihi, itamaanisha kuwa kulikuwa na miungu miwili na sio mmoja. Hata hivyo, katika lugha ya Kibiblia, neno ‘mungu – asiyefahamika’ linatumika kwa maana ya istiari ili kuashiria nguvu.

Kwa mfano, Paulo alimtaja shetani kuwa ni ‘mungu – asiyefahamika’ katika 2 Wakorintho 4:4, "ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."

Pia, Musa alitajwa kama ni ‘mungu – asiyefahamika’ katika Kutoka 7:1, "BWANA akamwambia Musa, Angalia, nimekufanya wewe kuwa Mungu kwa Farao; na huyo ndugu yako Haruna atakuwa nabii wako.
 
Back
Top Bottom