bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Pole sanaHii dini imejawa na mazombi na vibwengo kibao kichwani sifuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaHii dini imejawa na mazombi na vibwengo kibao kichwani sifuri
Ujinga ni ugonjwa pia wahi hospitali ukatibiwe pole sanawana haki gabni mbona tukiwauliza wayahudi kwao ni wapi ili madai ya HAMAS yaletwe UNO kuungwa mkono hamsemi walikotoka wayahudi. HAMAS hawana madai yeyote ya maana mpaka watakapo kubali kile kilichosemwa katila biblia genesis 4.2.12
Nyie mna akili sana mpakaIla waislamu sijui kwanini hawana akili kiasi hiki jamani
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Dunia imejaa udwanzi sana wayahudi wameuliwa dunia ipo kimya sasa kichapo cha kisasi kinafanyika ndio wanapiga kelele. Acha wachapwe tu. Na jamaa wanataka Gaza iwe parking ya magari.Mbona ni wapuuzi hivyo? Kwa hiyo walitaka wayahudi wakishambuliwa watulie tu kama maboya
Waarabu wapo wengi Sana ulaya utafika kipindi watapigwa ban warudi kwenye nchi zao
Usiwapangie wewe nani anakupangia kupost humu.Mbona ndani ya Russia kuna Jews wengi sana. Kwanini wawasubir wanaotokea Israel
Fini inayokuambia kuwa ukiua unaenda peponHii chuki ni nzito mnoo
Kwakua mumeo muislamu alikupiga talaka tatu?Waislamu hawajawahi kujitambua
Kila nikisoma michango yako hasa kwa hizi topics zilizotawaliwa na hisia za udini zaidi namkumbuka member mmoja kwa jina la #maraliasugu.Mnafanana sana namna ya ujengaji wenu wa hoja na uandishi.Bahati mbaya ni muda mrefu amekuwa kimya sana na wewe umeibuka kumreplace[emoji4]Wao wanaamini kila anaempinga Israel ni mwarabu. Hawa Sunday school imewaharibu
hivi rashya ipo uropa kumbe?Waarabu wapo wengi Sana ulaya utafika kipindi watapigwa ban warudi kwenye nchi zao
Ukimuua nani?Fini inayokuambia kuwa ukiua unaenda pepon
Hapa maelezo yako hayana ukweli, ugomvi mkubwa wa hawa ni msikiti wa Al Aqqsa ambao ndiyo msikiti ulipo jengwa na Ibrahim, na ndipo walipozikwa Ibrahim, Sarah, Zacharia na wengineo, msikiti huo uko ndani ya Israel, wao waPalestina hua wanaenda kuabidu hapo na ni msikiti wa tatu kwa umaarufu hapa Duniani, sasa kama ujuavyo waarabu au Imani hiyo, ha inapenda kulazimisha jambo, yani kiufupi kulingana na maamuzi ya wenye Ardhi hiyo Wana uwezo hata wa kubadilisha matumizi ya eneo hilo maana nchi ni yao, lakini hua wamepaacha na waPalestina huenda kuabudu hapoSi rahisi akae kimya akiona eneo lake linabebwa, hapo ndio utata unapokuja, anajua hata akikata tamaa ataenda wapi!? Hako kagaza kenyewe ni 45 km² yaani kama wilaya ya ilala waigawe mara 8 sijui ndio unaipata gaza na kuna watu zaidi ya milioni 2 wanaishi humo.
Si rahisi wao kukubali kutoka, wataenda wapi.
Busara imeshindwa tumika, mataifa yenye nguvu yameegemea upande mmoja,. Wale ni lazima wapambanie roho zao.
Duuuh [emoji15][emoji2960]Hii dini imejawa na mazombi na vibwengo kibao kichwani sifuri
Ushafika Israel ndugu?? Ni wazungu wale kwao Europe.wana haki gabni mbona tukiwauliza wayahudi kwao ni wapi ili madai ya HAMAS yaletwe UNO kuungwa mkono hamsemi walikotoka wayahudi. HAMAS hawana madai yeyote ya maana mpaka watakapo kubali kile kilichosemwa katila biblia genesis 4.2.12
Ujinga ni mzigo pole sanaDunia imejaa udwanzi sana wayahudi wameuliwa dunia ipo kimya sasa kichapo cha kisasi kinafanyika ndio wanapiga kelele. Acha wachapwe tu. Na jamaa wanataka Gaza iwe parking ya magari.
Pia wapo na Maisilamu.Ni lugha tu isikutishe
wapo Mashia, Mabaniani, ma Budha n.k