Waislamu wa mji wa Dagestan nchini Urusi wavamia airport kuwasaka vyumbani wayahudi baada ya ndege kutua kutoka Israel

Waislamu wa mji wa Dagestan nchini Urusi wavamia airport kuwasaka vyumbani wayahudi baada ya ndege kutua kutoka Israel

wana haki gabni mbona tukiwauliza wayahudi kwao ni wapi ili madai ya HAMAS yaletwe UNO kuungwa mkono hamsemi walikotoka wayahudi. HAMAS hawana madai yeyote ya maana mpaka watakapo kubali kile kilichosemwa katila biblia genesis 4.2.12
Ujinga ni ugonjwa pia wahi hospitali ukatibiwe pole sana
 
Wao wanaamini kila anaempinga Israel ni mwarabu. Hawa Sunday school imewaharibu
Kila nikisoma michango yako hasa kwa hizi topics zilizotawaliwa na hisia za udini zaidi namkumbuka member mmoja kwa jina la #maraliasugu.Mnafanana sana namna ya ujengaji wenu wa hoja na uandishi.Bahati mbaya ni muda mrefu amekuwa kimya sana na wewe umeibuka kumreplace[emoji4]
 
Si rahisi akae kimya akiona eneo lake linabebwa, hapo ndio utata unapokuja, anajua hata akikata tamaa ataenda wapi!? Hako kagaza kenyewe ni 45 km² yaani kama wilaya ya ilala waigawe mara 8 sijui ndio unaipata gaza na kuna watu zaidi ya milioni 2 wanaishi humo.
Si rahisi wao kukubali kutoka, wataenda wapi.
Busara imeshindwa tumika, mataifa yenye nguvu yameegemea upande mmoja,. Wale ni lazima wapambanie roho zao.
Hapa maelezo yako hayana ukweli, ugomvi mkubwa wa hawa ni msikiti wa Al Aqqsa ambao ndiyo msikiti ulipo jengwa na Ibrahim, na ndipo walipozikwa Ibrahim, Sarah, Zacharia na wengineo, msikiti huo uko ndani ya Israel, wao waPalestina hua wanaenda kuabidu hapo na ni msikiti wa tatu kwa umaarufu hapa Duniani, sasa kama ujuavyo waarabu au Imani hiyo, ha inapenda kulazimisha jambo, yani kiufupi kulingana na maamuzi ya wenye Ardhi hiyo Wana uwezo hata wa kubadilisha matumizi ya eneo hilo maana nchi ni yao, lakini hua wamepaacha na waPalestina huenda kuabudu hapo

Wanacho jichamganya wanadai eneo hilo la msikiti ni halali yao Kwa sababu Ibrahim alikua ni mtu wa wa-Islam ... Unaona huo ujinga wanao fanya?

Yani ni sawa na wewe sasa hivi uende ule msikiti mkubwa pale Dodoma karibu na kiwanja cha Jamhuri useme hiyo ni Ardhi ya wa-Islam na waArabu na siyo eneo la wagogo, utaeleweka??

Bado wanafanya vita na taifa lenye nguvu kulio wao, na wanajua, Israel ni taifa dogo lakini nguvu yake kivita, kiuchumi ni sawa na China, America, Russia na mataifa yote yenye nguvu, Israel ni sawa na mataifa hayo, Israel ndiyo yenye Satellite, vyombo vya teknolojia hata vilivyoko America na nchi rafiki za America zote ni vyombo vya kitaalamu kutoka Israel, ni watu wenye mbinu za ajabu

Miaka ya 60 ile ilivamiwa na majeshi ya Misre, Jordan na Siria, tena katika siku maalumu ya Israel ikiwa kwenye maombi yao maalumu, maombi ya Yomk pull waitavyo wao, lakini walinyanyuka na waliyapiga hayo majeshi yote yakakimbia, na kipindi hicho Israel ilikua na watu laki 6.5 tu wananchi pamoja na jeshi

So ndugu, Palestina inatafuta vifo vingi visivyo na sababu kwa sababu za Imani, swala la Ardhi kwao ni dogo sana, sababu kubwa ni huo Msikiti
 
wana haki gabni mbona tukiwauliza wayahudi kwao ni wapi ili madai ya HAMAS yaletwe UNO kuungwa mkono hamsemi walikotoka wayahudi. HAMAS hawana madai yeyote ya maana mpaka watakapo kubali kile kilichosemwa katila biblia genesis 4.2.12
Ushafika Israel ndugu?? Ni wazungu wale kwao Europe.
 
Dunia imejaa udwanzi sana wayahudi wameuliwa dunia ipo kimya sasa kichapo cha kisasi kinafanyika ndio wanapiga kelele. Acha wachapwe tu. Na jamaa wanataka Gaza iwe parking ya magari.
Ujinga ni mzigo pole sana
 
Back
Top Bottom