Waislamu wa Tanzania hawaijui Dini yao?

Kuna dini na kiongozi wa nchi. Kiongozi wa nchi ni mali ya serikali. Anapofariki serikal husimamia taratibu zote, haijalishi dini yako
Waislamu wanasema kuwa hata akiwa rais, ni lazima azikwe fasta fasta.
 
Kwamba wakristo wanajua Dini yao?😂😂😂😂🤣😂
 
Sio mbinguni, dini imetoka mapangoni shehe
Utaumia ila huna madhara yoyote kwa uislamu, uislamu nikama nafuriko huwezi kuyazuia kwa mkono.......uliza ulaya ujerumani walikua 99% chritianity sasa uislamu uko 22% na is still growing sembuse hi tanzania ni suala la mda tu.
 
waridishwe kwao kwenye sharia tuone kama itapatikana hiyo 22.Wanang'ang'ania ni ulaya fukuza wote.
 
Mmh Ufaransa ina wa kuristu 97% wamepokea ushogaa watanzania wako 30% wakristu wamegomea ushogaa, kwahiyo wataka kuwafuata kwasbb ni wengi na wanajua ukristo kuzidi nyie huku,......?
Wazee ile inaitwa Jamhuri Ya Kikristo Ya Ufaransa au ndio "tunaiomba serikali Elimu itolewe..."?
 
Hamna dini ya waarabu, Uislamu ni Dini ya ulimwengu mzima, na ni hasara kubwa kwa ntu yoyote kuchukuliwa na almouti akiwa bado ajasilimu.
Ya Duniani Ila imeandikwa kiarabu na mafundisho ya kiarabu . Kuw
A serious ? Dini ya kiarabu ww Mbongo amna kitu unajua .
 
Wabongo ni wafuasi tu na hawajuwi lolote kuhusu hizi dini za maboti, usikute watu wengi waliokufa na kuzikwa haraka walikuwa wamezimia tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]akina kipozeo,wanashadadia kweli ndoa za wake wengi,ngono imeshika hatumu kobazini.
Ukisoma sana hivi vitabu vya dini utaona uzinzi wameupa kipaumbele, hizi dini is all about sex tu na kutishiana
 
Dini tumeletewa hizi na Wamisionary na Waarabu kwa Boti hakuna kitu tunajua zaidi ya kuambiwa mchukie mkristo na wewe mchukie muislam hakuna kitu cha maana kitaongelewa hapo...ili dini uzielewe vizuri soma dini na Elimu yake Mzungu pia..
 
Kuna dini na kiongozi wa nchi. Kiongozi wa nchi ni mali ya serikali. Anapofariki serikal husimamia taratibu zote, haijalishi dini yako
Ndio maana hata mazishi yanafanywa kimagharibi ,mapicha ,parade la nguvu ...utafikiri upo Vatican.
 
Nilifikiri hii ni kwa sababu ya Ushia, lakini naona hata Shia wanatakiwa wazike bila kusubiri muda mrefu.
 
Kuna dini na kiongozi wa nchi. Kiongozi wa nchi ni mali ya serikali. Anapofariki serikal husimamia taratibu zote, haijalishi dini yako
Lakini Iran ni nchi ya kidini, ni Islamic Republic. Serikali ni ya kidini. Theocracy.

Kwa hiyo point yako haina mashiko hapo.
 
Vatican inawabariki mashoga kwenye asili ya Ukristo.
Tanzania na Africa inagomea kuwapa baraka mashoga.
Vipi, huku Tanzania tunajua na kufahamu Ukristo kuliko Vatican kwenye makao makuu ya kanisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…