Extrovert24
Senior Member
- Jun 23, 2022
- 144
- 211
Nonsense man
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislamu wanasema kuwa hata akiwa rais, ni lazima azikwe fasta fasta.Kuna dini na kiongozi wa nchi. Kiongozi wa nchi ni mali ya serikali. Anapofariki serikal husimamia taratibu zote, haijalishi dini yako
[emoji23][emoji23][emoji23]akina kipozeo,wanashadadia kweli ndoa za wake wengi,ngono imeshika hatumu kobazini.Waislamu wa Tz ni wale wanawaza makalio ya wanawake tuu
Utaumia ila huna madhara yoyote kwa uislamu, uislamu nikama nafuriko huwezi kuyazuia kwa mkono.......uliza ulaya ujerumani walikua 99% chritianity sasa uislamu uko 22% na is still growing sembuse hi tanzania ni suala la mda tu.Sio mbinguni, dini imetoka mapangoni shehe
Halafu waislamu wala hawazungumzii dini za watu[emoji45]Waheshimu wenzako na dini yao hata kidogo.
Hupungukiwi kitu,Hizi ID sababu hujulikani zisikupe kiburi Mungu anakuona.
Utakuja kupata madhira ukimbilie msilitini na unawatusi watu wa watu.
waridishwe kwao kwenye sharia tuone kama itapatikana hiyo 22.Wanang'ang'ania ni ulaya fukuza wote.Utaumia ila huna madhara yoyote kwa uislamu, uislamu nikama nafuriko huwezi kuyazuia kwa mkono.......uliza ulaya ujerumani walikua 99% chritianity sasa uislamu uko 22% na is still growing sembuse hi tanzania ni suala la mda tu.
Wazee ile inaitwa Jamhuri Ya Kikristo Ya Ufaransa au ndio "tunaiomba serikali Elimu itolewe..."?Mmh Ufaransa ina wa kuristu 97% wamepokea ushogaa watanzania wako 30% wakristu wamegomea ushogaa, kwahiyo wataka kuwafuata kwasbb ni wengi na wanajua ukristo kuzidi nyie huku,......?
Kuwa serious basi. Sisi wengine tunaishi karibu na misikiti.halafu waislamu wala hawazungumzii dini za watu[emoji45]
Bhahahaaa, hatari sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]akina kipozeo,wanashadadia kweli ndoa za wake wengi,ngono imeshika hatumu kobazini.
Ya Duniani Ila imeandikwa kiarabu na mafundisho ya kiarabu . KuwHamna dini ya waarabu, Uislamu ni Dini ya ulimwengu mzima, na ni hasara kubwa kwa ntu yoyote kuchukuliwa na almouti akiwa bado ajasilimu.
Wabongo ni wafuasi tu na hawajuwi lolote kuhusu hizi dini za maboti, usikute watu wengi waliokufa na kuzikwa haraka walikuwa wamezimia tuNi hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta.
Sasa kafariki Rais wa Iran (nchi yenye watu wanaoujua na kuuishi uislamu kukiko waislamu wa buza), amefariki tangu tarehe 19 na leo ni tarehe 22 bado hawajazika, wana aga tu, kesho ndiyo watazika.
Nataka mashehe wangu waje hapa waseme ni nani anaujua uislamu zaidi kati yao na hawa majamaa, ikumbukwe kuwa huyu mzee alikuwa kiongozi wa kidini tena yule mkereketwa, na Iran wana mpaka mchinjaji wa taifa anayechinja watu wanaokana uislamu na kufanya makosa mengine kinyume na sharia.
Ukisoma sana hivi vitabu vya dini utaona uzinzi wameupa kipaumbele, hizi dini is all about sex tu na kutishiana[emoji23][emoji23][emoji23]akina kipozeo,wanashadadia kweli ndoa za wake wengi,ngono imeshika hatumu kobazini.
Ndio maana hata mazishi yanafanywa kimagharibi ,mapicha ,parade la nguvu ...utafikiri upo Vatican.Kuna dini na kiongozi wa nchi. Kiongozi wa nchi ni mali ya serikali. Anapofariki serikal husimamia taratibu zote, haijalishi dini yako
Nilifikiri hii ni kwa sababu ya Ushia, lakini naona hata Shia wanatakiwa wazike bila kusubiri muda mrefu.Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta.
Sasa kafariki Rais wa Iran (nchi yenye watu wanaoujua na kuuishi uislamu kukiko waislamu wa buza), amefariki tangu tarehe 19 na leo ni tarehe 22 bado hawajazika, wana aga tu, kesho ndiyo watazika.
Nataka mashehe wangu waje hapa waseme ni nani anaujua uislamu zaidi kati yao na hawa majamaa, ikumbukwe kuwa huyu mzee alikuwa kiongozi wa kidini tena yule mkereketwa, na Iran wana mpaka mchinjaji wa taifa anayechinja watu wanaokana uislamu na kufanya makosa mengine kinyume na sharia.
Lakini Iran ni nchi ya kidini, ni Islamic Republic. Serikali ni ya kidini. Theocracy.Kuna dini na kiongozi wa nchi. Kiongozi wa nchi ni mali ya serikali. Anapofariki serikal husimamia taratibu zote, haijalishi dini yako
Vatican inawabariki mashoga kwenye asili ya Ukristo.Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta.
Sasa kafariki Rais wa Iran (nchi yenye watu wanaoujua na kuuishi uislamu kukiko waislamu wa buza), amefariki tangu tarehe 19 na leo ni tarehe 22 bado hawajazika, wana aga tu, kesho ndiyo watazika.
Nataka mashehe wangu waje hapa waseme ni nani anaujua uislamu zaidi kati yao na hawa majamaa, ikumbukwe kuwa huyu mzee alikuwa kiongozi wa kidini tena yule mkereketwa, na Iran wana mpaka mchinjaji wa taifa anayechinja watu wanaokana uislamu na kufanya makosa mengine kinyume na sharia.
Ile serikali ni kiislam lknKuna dini na kiongozi wa nchi. Kiongozi wa nchi ni mali ya serikali. Anapofariki serikal husimamia taratibu zote, haijalishi dini yako