Waislamu wa Tanzania, where are Black People?


Aisee!!😁 wakitajagwa waarabu huwa povu linawatoka sana. Why???

Ingelikuwa ndio wale jamaa zenu waabudu sanamu la ukutani ndio wanafungua kanisa msingetokwa povu. Ila kwakua ni waarabu/waislamu povu hiloooo.

Hawatakuwa radhi mayahudi na wakristo mpaka mfuate mila zao

Machallah waarabu Allah aendelee kuwapa zaidi na zaidi, wametujengea misikiti mizuri, zahanati, mashule, visima watu wanapata maji n.k. Istiqama Allah awalipe zaidi na zaidi machallah.
 
Na kitu ambacho Wazungu na Waarabu walicheza sana na akili zetu ,ni kutuletea hizi dini zao,Daa Mungu aingilie kati.
 
Haaaaa haaaaaa ningetamani utembelee waislamu wa ki haya pale bukoba. Wanashinda kwenye Kahawa daily Ati ni waarabu .hafu Muslim hasa wa Zenj wako so brain washed ni Watupu light skin wanaona ndo Kila kitu wao wanasema rangi ya mtume yakhe .
 
Baada ya Anglican-yaani church of England kusimika askofu wa kwanza shonga-waangilikana wa kanda ya ziwa akiwemo wasukuma, waha, wagogo, waangaza wakapitisha azimio la kuwataka ati waingereza waondoke wawaachie dini yao- nilishangaa sana.
 
Haaaaa haaaaaa ningetamani utembelee waislamu wa ki haya pale bukoba. Wanashinda kwenye Kahawa daily Ati ni waarabu .hafu Muslim hasa wa Zenj wako so brain washed ni Watupu light skin wanaona ndo Kila kitu wao wanasema rangi ya mtume yakhe .
Hayati Maalim Seif alipita humohumo hahahahahhhh
 
Hii ni sababu kubwa ya watu weusi kuendelea kuwa vituko ulimwenguni, kwa asilimia 100 akili zetu ni tegemezi (Haziwezi kuamua au kujitegemea katika maamuzi kama binadamu wengine!) Mzee Unatoa mifano ya ajabu kabisa huku ukiwapa credit waarabu sababu waliwapenda weusi! kitu ambacho si kweli hata kidogo na kuwabeza wazungu kisa hadi 1964 walikuwa na ubaguzi madarasani! Ukweli ni kwamba katika historia ya mtu mweusi hakuna Race iliyokuwa kuwa rafiki na watu hawa. Wamekuwa wakifananisha na takataka na binadamu wote ulimwenguni. kwa sasa sisi weusi ni sawa na wafu maana hatuna maamuzi (freedom) kamili katika maisha yetu maana tunatawaliwa kiakili kwenye Dini, uchumi, na jamii. Tujipe pole kubwa! Mtu badala ya kujifunza historia za ndugu zako na kizazi chako unaenda kujifunza historia za watu wa saudi arabia!? au Ulaya? au America! Kweli vichwa vyetu vina bonge la Mav** ndani.
 
Nipe namba ya Bilal ,usije ukawa unatufunga kamba hapa .
 
Huyo mwenye ndevu nyingi wanafanana sana na viongozi wa Taleban walioko Afghanistan ana undugu nao nini?
Wee jamaa una ufala mwingi Sana siku ukijichanganya anga zangu nakupiga bomu la atomic ha ha
 
Machallah waarabu Allah aendelee kuwapa zaidi na zaidi, wametujengea misikiti mizuri, zahanati, mashule, visima watu wanapata maji n.k. Istiqama Allah awalipe zaidi na zaidi machallah.

Kwa hiyo wewe allah amekunyima ? Kwa nini akujengee Binadamu mwingine na siyo wewe kujijengea ? Mungu alikuumba ili uje kujengewa?
 
Nakazia Bilal ndio alikuwa Muazini au mpiga adhana wa msikiti wa mtume na alikuwa miongoni mwa watu wake aliowapenda zaidi ...licha ya kuwa mweusi..
 
Kiongozi nakupa kongole sana kwa kugusa mahala sahihi kwenye suala nyeti sana la kiimani.Kiufupi wakoloni wote walioleta Imani za kidini kwetu sisi watu weusi wamefanikiwa jambo moja kuu la kutokomeza uhasilia wetu.Jambo la imani ni swala la kiroho,lakini sisi Waafrika kwa upungufu wa fikra tumeporwa hadi utambulishe wetu!!.

Leo hii tazama kwa mfano,wale waliokubali uislam basi wamekariri kila kitu,majina kuvaa,kuongea,kutembea,na kila kitu kutoka kwa waarabu,na wale waliopokea imani za Kikristo,basi nao wamecopy vyote.Waafrika tusipozinduka sasa,basi baada ya miaka 100 ijayo tunarudi utumwani zaidi ya utumwa wa mwanzoni!!!.
 
Mungu ni mmoja hakujawahi kuwa na Mungu mwingine Zaid yake.

Alikuwepo kabla ya dunia, alikuwepo baada ya dunia na atabakia.

kwa hyo kea namna yoyote lazma ningemjua Mungu huyu wa Quran na biblia
Unaamini Mungu huyu kwa vile umefundishwa na dini hizi, vinginevyo ungemjua kwa namna nyingine…. kama ni huyu au mwingine.

Ustaarabu ni tafsiri ya nyakati, leo teknolojia imekuletea 'ustaarabu' mwingine.
 
Ka
Kama siyo vya bure maana yake vya kulipia,vya kulipia maana yake vinauzwa,kuuza maana yake biashara..umeelewa ewe ngamia!!?..hiyo biashara ya huduma wanafanya Hadi leo..wanauza elimu,afya Kama wakoloni wenzao wanaoendelea kuchukua malighafi leo..pamba,kahawa nk
 
Kaka yetu Mohammed Said,pole sana kwa kuguswa na swala linalohusu iman,kwa mtu yoyote ni lazima liguse hisia zake!!.

Lakini hebu tujaribu kuacha mihemko na turudi kwenye uhalisia,hivi ni jambo gani kubwa linalotuponza sisi watu weusi (Waafrika) kukubali kupokea mafundisho ya kiiman na kutupa kila chetu tulichonacho?,yaani ilivyo,wale walioupokea uislam basi wamegeuka kuwa waarabu pure kasoro rangi tu,kula,kuvaa,majina,na mienendo yote ya maisha.

Na pia hata wengine nao waliopokea upande mwingine nao ni hivyo hivyo,majina,kuongea na mambo yote ya kijamii ni wazungu tu kasoro rangi!!.

Sasa kaka Said,kuamini ni jambo huru (sheria za duniani) na kila mtu anayo haki kuamini apendacho ili mradi iwe kwa ridhaa yake.Kwa upande wangu,dini zote za mapokeo kutoka kwa wakoloni hakuna hata moja iliyo na afya kwa mustakabali wa mtu mweusi kwa siku za usoni!!.

Sababu sioni mantiki,iweje mungu awe ni huyo huyo alieumba ulimwengu wote,sasa kivipi afanye upendeleo kwa wazungu na waarabu eti kuja kutufundisha sisi kumuhusu yeye?,waislam kwenye iman yao wana mitume zaidi ya 125,lakini wote waliteremshwa kwao!!!.Ok tuyaache hayo,maswala ya iman ni mambo ya kiroho,sasa iweje tunaporwa hadi utambulisho (Identity) wa Kiafrika?.

Leo hii kwenye jamii ya mtu mweusi ukizaa mtoto na ukampa jina lenye utambulisho wa Kiafrika,mfano Kitupa,Gumbizi,Marwa,Nalyoto,na mengineyo ya kiasili basi utachekwa na kila mtu kwa kumpa mtoto jina la maajabu na la hovyo.Mtoto mpe jina la Mohammed,Rujaina,Islam,Yussuf,Joseph,Anjel, Good luck na mengine kama hayo ndio utaonekana umeendelea na unakwenda na wakati!!.

Tuamke watu weusi kwani tuendako siko!!!!!!!!!!
 
Tena in liquid form ( uha.........ro ) pfuuuuuu
 
Waislam wa Tanzania wanakula chakula gani Cha kiarabu!?..mwarabu anakula viazi vitamin,kisamvu Cha karanga na matobolwa Kama mnyamwezi wa tabora!?..aliyekwambia mitume/manabii hawakutokea afrika Bali mashariki ya Kati tu Nani!?..
 

Ni ujinga wetu tu, nchi inayoongoza kwa Idadi ya Waislamu Duniani ni Indonesia, lkn Waindonesia hawajioni Waarabu kama hawa Waafrika wetu, hata Malaysia kuna Waislamu wengi tu lkn hawajioni Waarabu.

Mimi nawajua Wasomali ambao hujiona Waarabu mpaka wakutane na Mwarabu Original wa Syria au Emirate na Saudi wakikataliwa na kuitwa abdi (nigger) ndiyo wanajifanya Waafrika, hata Wasudani wengi tu hujiita Waarabu mpaka wakutane na Mwarabu na kukataliwa ndio watakwambia ni Waafrika.

Kwa kukujibu swali lako ni low IQ tu yetu Waafrika kwani unaweza ukachukuwa Dini yoyote ile na bado ukabakiza utamaduni wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…